Kuna kusaidia wanafamilia hii inaeleweka inabidi ujitoe, lakini sasa kuna hawa ndugu nao huwa wanajikuta sawa na familia tena akilini mwao wanajipa hadhi ya lazima wasaidiwe,
Huwa naona kuna baadhi ya koo na makabila yani wakiona ndugu yao katoboa basi wanachofikiria ni kwamba ni lazima ndugu...
Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
MATUNZO KWA MWENZA SIO HISANI BALI NI LAZIMA.
Je wajua kuwa mume au mke kutoa matunzo kwa mwenza wake ni lazima kisheria?
Soma hapa upate majibu.
Tulio wengi tunadhani kuwa kutoa matunzo kwa wenza wetu ni hisani tu kama namna ya kuwasaidia au kuonesha upendo tu dhidi yao na wala sio jambo la...
samia_suluhu_hassan
Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Malkia Elizabeth II. Kwa niaba ya Watanzania wote, natuma salamu za pole kwa Familia ya Kifalme na raia wote wa Uingereza. Malkia atakumbukwa duniani kote kama nguzo ya Amani, Umoja na Utulivu.
Kwa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu na kinachangia 80% ya pato la Taifa, ni vyema Serikali ikalifanya somo hilo kuwa la lazima ngazi zote za shule.
Pia kwa upande wa TEHAMA tunaona jinsi ambavyo dunia inakimbia kwenda kwenye mapinduzi ya Kiteknolojia na ndio msingi wa maendeleo wa...
Anaandika, Robert Heriel
Mambo ya kubembelezana hakuna hapa. Kwanza muda mchache na maisha mafupi huo muda wa kubembelezana tutautoa wapi. Kama hawezi kukugharamia piga chini. Usiwe na jicho la huruma hata siku moja. Mimi kaka yenu, naam ndiye baba yenu ninaelewa ninachokisema. Hutaki acha...
Wanaume wa Dar kwa hali ngumu atakupenda mtapiga story halafu muda kidogo utasikia babe nataka nijue kama unanipenda kweli naomba elfu 35 ili na wewe nikianza kutoa zangu ujue ni za kudumu. Nitakutunza mpaka ufurahi.
So ukitaka mpenzi Dar lazima ujitoe kipesa atakuambia good day.
Naweza kuliita hili sakata la tozo kama kaa la moto!
Wakati watawala wakijaribu kwa kila namna kutetea tozo hizo zilizoidhinishwa na waheshimiwa wabunge wetu, upande wa pili wa wananchi wanazipinga vikali tozo hizo na hata kudiriki kuziita kuwa ni "day robbery".
Wakati huo huo wale...
UTANGULIZI.
Ni miaka mingi sasa, kuna ukakasi katika mfanano wa Matokeo ya Kidato cha Nne na Sita, Licha ya kuwepo mfanano huo kuna Utofauti wa Matokeo hayo baina ya Skuli na Skuli, wilaya na wilaya, Mkoa na mkoa hata katika ngazi ya Taifa ambapo kuna baadhi ya Skuli zinaonekana kung'ra huku...
Tanzania imepitia katika hatua kuu tatu kwenye mikakati ya kufanikisha maendeleo. Hatua ya kwanza ilianza mara baada ya kupatikana uhuru, hadi mwaka 1967 lilipotangazwa azimio la Arusha. Katika kipindi hiki, Tanzania ililenga zaidi katika kujenga umoja, mshikamano na heshima kitaifa. Nchi...
Naam, moja ongeza moja ni tatu. Katika juhudi (effort) huwa ipo hivi; zikiunganishwa jitihada zaidi ya moja, matokeo yake huwa ni makubwa kuliko ile jumla yake ya kihesabu tu.
Uliwahi kutokea ubishi huko Ulaya ya karne hizo. Wamiliki wa farasi walibishana kuhusu nini kitatokea endapo farasi...
Habari za muda huu wanajamvi......
Matumizi ya VITAMBULISHO vya NIDA dhumuni lake lilikuwa zuri ila Sasa limekuwa ni hangs linalo sumbua watu Kila uchao.
Mimi nilifanikiwa kupata kitambulisho hiki tangu 2016, lakini kitambulisho hiki kilikuja kikiwa kimekoseaanilifatilia kwakuwa kitambulisho...
PESA YA MWANAMKE ILIVYOTAMU LAZIMA NIILAMBE; HUO NDIO MSIMAMO WANGU!
Anaandika, Robert Heriel
Ujumbe huu ni Kwa Hustlers wote. Vijana wote mliotokea kwenye Familia Masikini! Usiogope Kula au kutumia pesa ya Mkeo.
Ati nisiitegemee pesa ya mwanamke, Nani kasema?
Pesa ya mwanamke lazima Taikon...
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu wana JF wenzangu na watanzania wenzangu, ili chama cha CCM kiweze kushindwa katika uchaguzi mkuu wa 2025 au 2030, yanahitajika mambo matatu.
1) Kwanza: kinahitajika chama imara cha upinzani...
Kuna wakati itabidi uachane na mbia wako (Business Partner) wa biashara ambaye mlipanga kufika mbali sana. Kuna wakati itabidi uachane na bosi wako ambaye ndiye alikusaidia kukufundisha kazi hapo mwanzo.
Kuna wakati itabidi uachane na mtu uliyekuwa unampenda sana na ulidhani utakuwa naye kwa...
GAMES AND SPORT
eneo hili ni pana sana na lina mambo mengi sana ndani yake na kundi kubwa 98%ya wakazi wa dunia lazima wawe kwenye eneo hili kila siku mchana na usiku ukiwekeza hapo uaona mafanikio lina mabilionea wengi sana duniani hapa
SCIENCE
Eneo hili si la kila mtu anaweza kuwekeza bali...
Habari wadau!
Ushauri wangu kuna watu wanaweza kuupuuza! Lakini itakuwa na maana tukijadili humu kwa pamoja!
Hakuna aliyesalama hata ukijihesabia haki kwa utajili/cheo na Mali ulizo Nazo.
Huko barabarani hata viongozi hupatwa ajali, hata matajili hupatwa ajali, wachungaji hupatwa ajali n.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.