kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi

    Hodi hodi! Wenye mji, kwa mara ya kwanza kuwa member wa Jamiiforums, ingawa nilikuwa msomaji mzuri wa mahubiri yenu. Naomba mnikaribishe
  2. Optimists

    JamiiForums Tanzania Nakuja Dar es Salaam kwa mara ya kwanza, nipeni muongozo huu

    Wakuu habari! Mimi ni mtanzania kijana nilie graduate chuo mwaka huu nikitokea mkoani kanda ya ziwa, kwanza niweke wazi kutokana na trend ya ajira ilivyo nchini nimeamua kupambana na kuhangaika mwenyewe katika nyanja ya kujiajiri maana nikitegemea ajira ya serikali naweza kufa njaa na ndoto...
  3. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe Kujenga Interchange Road ya Kwanza Jijini Harare

    Serikali ya Zimbabwe imepata dola milioni 85 kujenga barabara yake ya kwanza ya ubadilishanaji (Interchange Road), Mbudzi Interchange Road jijini Harare. Serikali ilitangaza mipango na usanifu uko katika hatua za mwisho na ujenzi utaanza ndani ya muda mfupi. Viongozi wetu kaeni mkao mzuri...
  4. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

    Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu...
  5. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Wale tulioachana na Ma- X kwa ugomvi, ulimuonaje ulipokutana naye tena?

    Kuna wale ambao tuliachana na ma-Ex zetu na kuwafanya marafiki na kuishi nao vyema kwa kubadilishana nao Ideas tofauti za maisha Na kuna wale ambao tuliachana nao kwa Visa, Usaliti, Chuki, Fumanizi,chuki ,uhasama na Ugomvi mkubwa kifupi ni makando kando tele Mimi ninaye mmoja , nadhani katika...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Msanii Wizkid ameweka rekodi ya kuwa msanii Mwafrika wa kwanza kufikisha zaidi ya Streams Milioni 300 katika Audiomack

    Msanii Wizkidayo Ameweka Rekodi Ya Kuwa Msanii Muafrika Wa Kwanza Kufikisha Zaidi Ya Streams Milioni 300 Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Audiomack, Audiomack Wameshare Taarifa Hiyo Katika Ukurasa Wao Wa Instagram Huku Wakimpongeza Msanii Huyo Kuweka Rekodi Hiyo. Saa moja Baada Ya Wizkid...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali: Chaguo la pili na tatu kidato cha kwanza kuwa historia, wanafunzi kuanza masomo kwa pamoja

    Leo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameeleza kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu inakwenda kuandika historia kwa kufuta suala la wanafunzi wanaoingia kama changuo la pili na la tatu (Second and Third Selection) kutokana na upungufu wa madarasa...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Chakula kwanza

  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kalemani: Mwenge haujawahi kuzimiwa kwenye wilaya hii ni mara ya kwanza Chato

    Huwashwa Mkoani na kuzimwa mkoani. Amesema Kalemani na kudai kuwa hii ni fursa kubwa kwa Chato. Hivyo Chato kama wilaya imepata fursa kubwa sana kwa mwenge kuzimwa hapa wilayani Chato.
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Barrick yaendelea kufanya makubwa. Yaleta mtambo wa 'PhotonAssay' unaotumia Roboti. Ni wa kwanza barani Afrika na upo Tanzania Pekee!

    Wanabodi, Mambo mengine wala hata hatujui Kiswahili chake, hivyo wale wenzangu na mimi ambao lugha za watu hazipandi, mnisamehe. NEWS OCTOBER 10, 2021 Barrick Commissions Africa’s First PhotonAssay Laboratory Press Release All amounts expressed in US dollars unless stated otherwise Bulyanhulu...
  11. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ukitaka kuwa mzalendo kwa nyakati hizi basi cha kwanza lazima uwe mbumbumbu haswaa.

    Ndio, ni lazima uwe mbumbumbu asiyeweza kupata taarifa ya mambo yanavyoenda hapa nchini hasa upande wa siasa, na hata ukizipata basi usiwe na uwezo wa kuchenjua mbivu na mbichi. Uzalendo ni kama imani, ili uwe na imani thabiti pale mbele kwenye usukani lazima akae undisputed role model...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar - Public interest, wadau wa maendeleo, mukutano ya ndani ..

    03 September 2021 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Othman Masoud, ofisi ya DPP lazima iwe inachunguzwa kama wenzetu huko Uingereza Ofisi ya Crown Prosecution yaani DPP huchunguzwa inavyofanya kazi Umuhimu wa katiba Mpya upo. Kasoro za kikatiba zipo katika nyaraka za kikatiba...
  13. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Mashonda (Marekani) ndio Mwanaharakati wa kwanza kutoa Kitabu Cha Talaka baada ndoa.Na kuachika, leo Ni Mpweke.

    Kitabu chake Mashonda tifrere Mwanamuziki wa kike Nchini Marekani, kimejikita zaidi katika changamoto za ndoa na jinsi ya kutuliza nafsi unapopewa Talaka ndani ya ndoa. Nimetambulisha video yenye sura yàke. Kitabu Ni Kama unavyoona kava. Nitakiwasilisha TANZANIA.
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka: Vijana gombeeni nafasi za CCM mwakani

    Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amewataka vijana wanachama wa CCM kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za chama hicho mwaka 2022. Uchaguzi mkuu wa CCM kugombea nafasi kuanzia ngazi ya tawi, kata, wilaya, mkoa hadi Taifa unatarajia kufanyika mwaka...
  15. Rapherl

    JamiiForums Tanzania Police General Orders(PGO) ni nini, nitaipata wapi?

    Wadau, Mwenye softcopy ya mwongozo wa utendaji kazi katika jeshi la polisi (Police General Order) naomba anisaidie kuiweka hapa au anitumie kwenye email theweeknd9911@gmail.com Asante. ==== Police General Orders (PGO) ni nini? Ni kanuni za mwongozo wa utendaji kazi wa Jeshi na Polisi. Ofisa...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kukutana na CEO Barbara alikuwa na chupa ya Mo Energy

    Barbara Gonzalez, alizaliwa jijini Dar es Salaam miaka kadhaa iliyopita, baba yake akiwa ni raia wa Colombia na Mama Mtanzania. Mbali na kuwa msaidizi wa Mohamed Dewji, pia alikuwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Mohamed Foundation aliyojiunga nayo Aprili, 2016 ambayo hutoa misaada ya huduma za...
  17. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Mbeya kwanza FC special thread

    Kama wewe ni mpenzi wa timu hii ya Mbeya iliyopanda daraja msimu huu karibu tujadili mambo gani muhimu yanatakiwa ili timu hii isishuke daraja.Katika maandalizi ya kuelekea ligi kuu timu hii imechukua kombe liloanzishwa na mkuu wa mkoa wa Mbeya baada ya kuifunga timu ya Ihefu fc.
  18. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Timu ya kwanza kuaga mashindano ya kimataifa kabla ya ligi kuanza

    Naam mnamo tarehe 25 mwezi august mwaka 2019 Simba ilitoka 1-1 na UD songo ikapelekea simba kutolewa kwa goli la ugenini ikapelekea Simba kuanza ligi tarehe 28 august kwa kuichapa ppolisi 3-0 ikiwa haimo kimataifa, nakumbuka mwaka huo hakukuwa na shida ya viporo
  19. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais wa kwanza mwanamke kutoka Tanzania kuhutubia Baraza Kuu la Usalama la 76 New York, tarehe 23|9|2021, fahari iliyoje kwa nchi yetu

    Tanzania baada ya nusu mwongo hatimaye Rais personal wa JMT anatua Umoja wa Mataifa Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita aliyekuwa rais wa JMT Hayati Dk John Pombe Joseph Magufuli yeye alituma wawakilishi marazote. Nikwamara ya kwanza Rais wa JMT anafika mwenyewe Baraza Kuu la Umoja wa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yarusha makombora mawili ya balistiki toka kwenye treni kwa mara ya kwanza

    North Korea kwa mara ya kwanza imefanikiwa kurusha makombora mawili ya balistiki toka kwenye treni. Makombora hayo yalishambulia tageti iliyokuwa baharini umbali wa kilomita 800 toka sehemu iliyorushiwa. Wachambuzi wa mambo wanasema jaribio hilo laonesha kuwa Kim Jong Un anaendelea kuboresha...
Back
Top Bottom