Jerlamarel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 843
- 2,517
Serikali ya Zimbabwe imepata dola milioni 85 kujenga barabara yake ya kwanza ya ubadilishanaji (Interchange Road), Mbudzi Interchange Road jijini Harare.
Serikali ilitangaza mipango na usanifu uko katika hatua za mwisho na ujenzi utaanza ndani ya muda mfupi.
Viongozi wetu kaeni mkao mzuri muangalie namna wenzenu wanavyotengeneza vitu tangible vya kuishi miaka na miaka sio hivi vidaraja mlivyotujengea hapo jiji la joto.