Wale tulioachana na Ma- X kwa ugomvi, ulimuonaje ulipokutana naye tena?

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,372
Kuna wale ambao tuliachana na ma-Ex zetu na kuwafanya marafiki na kuishi nao vyema kwa kubadilishana nao Ideas tofauti za maisha

Na kuna wale ambao tuliachana nao kwa Visa, Usaliti, Chuki, Fumanizi,chuki ,uhasama na Ugomvi mkubwa kifupi ni makando kando tele

Mimi ninaye mmoja , nadhani katika ma-Ex wangu yule sikuthubutu hata kusoma dua njema ihusike kwa namna yoyote kumpatia heri katika maisha yake mpaka siku tunaonana.

Ilipita muda kidogo kama mwaka mmoja ndipo tukakutana tena hii ni baada ya kufungiana Vioo

Niseme ukweli wakati namsalimia Bidada yule,ambaye mwanzo alikuwa miongoni mwa wanawake maridhawa sana kitabia na kimuonekano , nadhani ujana maji ya moto ndiyo ulotuchemshia na kuliunguza tunda tamu la mahusiano yetu.

Binti yule wakati ule nlipomwona

Dalili pekee iliyonifanya nijue kuwa mtu huyo ni Mwanamke ni Furushi la matiti lilikuwa bila mpangilio wowote uwezao kuvutia macho MWANAUME.

Alikongoroka tofauti na uzuri wa mwanzo wakati tupo pamoja kuanzia hapo nikaanza kumuombea kwa Mungu japo arudi katika hali yake ya mwanzo.

Toka hapo SIKUBAHATIKA kumtia tena machoni mpaka keshokutwa

VIPI WEWE ULIMWONA KATIKA HALI IPI EX WAKO KWA MARA YA KWANZA???
 
Hahaha kuna mmoja nilikutana nae kawa teja wa kike, alipataga mshua mmoja hivi drug dealer akampatia mapene mpaka kumuambukiza tabia ya kusnif. Mwengine nilimkuta na kundi la watoto wa tatu njiani katika story akanichana kuwa wale wote wanae na ni single mother kwakweli nuru hakuwa nayo ingawa akili yake imekuwa sasa.
 
Wangu nilipishana nae bila kumtambua,akaniita jina nilivyogeuka akahoji mbona unanipita bila salaam?
Dah!nikaomba radhi nikijua naongea na dada yake mkubwa,kumbe ni yeye kachoka sura imekuwa ngumu mpaka siamini kama ni yeye!na hapo ni baada ya miaka 4 ndio nimemuona ana kwa ana
 
kuna ambao wamefanikiwa kimaisha wako vyema na kuna wengine ambao hawapo vyema, ila sina ubaya nao wote nawaombea kheri
ila issue ya kurudiana or kukumbushiana hapana kwa kweli hata iweje
sawa sawa mkuu hao walifanikiwa kimaisha waangalie kwa jicho la tatu
 
Wangu nilipishana nae bila kumtambua,akaniita jina nilivyogeuka akahoji mbona unanipita bila salaam?
Dah!nikaomba radhi nikijua naongea na dada yake mkubwa,kumbe ni yeye kachoka sura imekuwa ngumu mpaka siamini kama ni yeye!na hapo ni baada ya miaka 4 ndio nimemuona ana kwa ana
😂😂😂😂eti dada yake mkubwa
 
Anastuka shuka kumekucha

Back
Top Bottom