kuzaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuzaliwa ni mzigo!: mzigo mzito sana ambao hakuna aliechagua kuubeba

    Sitakaa kuja kulaumu mtu kwa njia ya maisha aliochagua maana hata kama asingechagua wangemchagulia tu. LIFE'S A B+++H AND THEN YOU DIE.
  2. Lijue kusudi lako la kuzaliwa

    Lijue Kusudi Lako la Kuzaliwa Njia halisinunayo paswa kuipita ili kugikia kilele cha ndotobzako . Mfahamu mpenzi wako kwa undani. Elewa siri zilizojificha kuhusu familia na ukoo uliozaliwa. Zifahamu sababu za changamoto unazopitia mara kwa mara — na njia sahihi za kukabiliana nazo — kupitia...
  3. Lijue kusudi la wewe kuzaliwa hapa duniani kama binadamu

    Wewe hukuzaliwa hapa duniani kama jiwe, mti, mdudu wala mnyama; ulizaliwa kimaalumu kabisa kama binadamu kwa LENGO au KUSUDI maalum; unatakiwa ulijue na ulitimize kabla hujaondoka kwenye uso wa hii dunia kurudi ulikotoka! Haupo duniani ili mradi hupo tu, la hasha, hupo kwa ajili ya KAZI AU WITO...
  4. M

    Nahitaji Cheti Cha Kuzaliwa

    Nahitaji mtu ambaye anaweza kunisaidia kupata cheti changu cha kuzaliwa harafu akanitumia haraka iwezekanavyo. Scammers usipoteze muda wako, malipo yatafanika face to face na mtu wangu ambaye yupo bongo. Nahitaji mtu mwenye uzowefu na anajua kitachotakiwa kufanyika. Kwa bahati mbaya niliondoka...
  5. Dudu Baya ajuta kuzaliwa mtu mweusi

    Akihojiwa na MaxMedia aliyekuwa msanii maarufu wa bongo flavour Dudu Baya anajutia kuzaliwa mtu mweusi. Kauli Yake. I hate blacks. Mimi najuta kuzaliwa jitu jeusi. Nachukia sana majitu meusi. Yani jitu jeusi kugewa hela kamuue max ni jambo la kawaida halafu wazungu wamekaa wanachekelea. We are...
  6. Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa

    Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa Ni ajabu, dunia inavyojikanganya. Watu wengi wanakana kuwepo kwa Yesu Kristo, wanabeza mafundisho yake, na wanajifanya hawamwitaji. Lakini kila siku wanathibitisha kuwa maisha yao bado...
  7. H

    Natengeneza tin certificate, cheti cha kuzaliwa, lessen ya biashara

    Kwa wale wenye uhitaji WA tin certificate, vyeti vya kuzaliwa na lessen za biashara nakutengenezea Kwa bei nafuu Sana ...nichek 0761808489 Kwa wasap au normal SMS... Huduma NI uhakika
  8. KHERI ya kuzaliwa Kipenzi changu Binti Kimoso

    Kheri ya kuzaliwa Binti Kimoso! Mungu akupe maisha mazuri yenye KHERI nyingi Sana katika mapito yako. Kwangu umekuwa Baraka Sana. Wewe ni Mama wa Watibeli. Watibeli wanajivunia kuwa na mama kama wewe. Nakupenda Sana Binti Kimoso. Binti Kimoso ni Mmoja tuu. Mtoto mzuri kila idara. Mwaah!
  9. Heri ya mfanano wa kuzaliwa kwangu

    Msinishangae sana Ile kasumba ya mwanaume kusherehekea birthday ni ushamba sio ya maana kila mtu ana vitu vyake vinavyo mpatia furaha Leo nimeongeza mwaka mmoja naomba mnipigie makofi 🎂🎈
  10. Kuzaliwa kwa Bikira Maria pamoja na malezi yake

    Habari zenu wakuu, Leo nataka tujifunze yaliyotokea wakati wa kuzaliwa kwa Bikira Maria pamoja na malezi yake hadi pale alipotokewa na malaika na kujulishwa kuhusu kumzaa Yesu. SURA YA 1 1 Uzazi wa Mariamu 7 Yoakimu baba yake na Ana mama yake wanakwenda Yerusalemu kwenye sikukuu ya kuweka wakfu...
  11. Waziri Kombo ashiriki hafla ya kumbukumbu ya siku kuzaliwa ya mfalme wa Japan

    WAZIRI KOMBO ASHIRIKI HAFLA YA KUMBUKUMBU YA SIKU YA KUZALIWA YA MFALME WA JAPAN Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika hafla ya kusheherekea miaka 65 ya kuzaliwa Mtukufu Naruhito, Mfalme wa Japan iliyofanyika katika...
  12. Kuna faida gani kumpaka mtoto aliyezaliwa damu ya uzazi?

    Kuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua. Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi. Wanasema punde mama anavyokabidhiwa mtoto wake basi hufanya kitu hiki huku akinenea maneno. Inasaidia mtoto asipate husda yoyote...
  13. Kitu gani hujawahi kuona tangu kuzaliwa?

    Ni vingi lakini hivi ni baadhi, -Mmasai albino -Mwanajeshi albino -Ambulance ikiwa sheli (kituo cha kujazia mafuta) Najua hata nyie vitinda mimba hamjawahi kuwaona mama zenu wakiwa wajawazito :D -Kwa upande wako wewe hujawahi kuona kitu gani?
  14. Heri ya Siku ya Kuzaliwa Young Africans (Yanga SC )

    Leo mtani wetu klabu ya Yanga imetimiza miaka kadhaa tangu kuanzishwa,, ingawa imeangukia siku mbaya baada ya Jana kuangukia pia baada ya kutoa sare na Jkt ya masau bwire ila ndio hivyo maisha lazima yaendelee TU hakuna namna. Nawaza TU hapa sherehe na shamra shamra zitafanyika kweli??, au...
  15. Je, WCB inaenda kuzaliwa upya au inaelekea kwenye kifo?

    WCB moja ya lebo zilizofanya vizuri na wanaendelea kufanya vizuri kwenye kiwanda cha muziki Tanzania na hata nje ya mipaka. Ila hapa kati ni kama lebo ilianza kudorola haswa baada ya kuondoka wasanii wao powerful, Harmonize na Rayvanny. Ile nguvu ya WCB kuisikia kila kona ya nchi imepungua...
  16. Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano

    Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano wa chama. Hii ni ofisi ya CCM Kata ya Manzese ambayo muonekano wake ni bora na yenye kuvutia. Asante Dotto Magari kwa kututembelea na...
  17. Upendo toka Manyara: Sherehe ya Kumbukizi Kuzaliwa Rais Samia Suluhu

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga akikata keki ikiwa ni ishara ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan iliyofanyika Kiteto, Manyara. Sambamba na hilo wakazi wa Mji wa Kibaya walijitokeza kwa wingi katika upandaji wa Miti 500...
  18. A

    Huu ujumbe wa RITA kwenye kuhakiki cheti cha kuzaliwa una maana gani

    Hellow wakuu, naomba msaaada hapa kwenye cheti cha kuzaliwa wakati wa uhakiki una maana gani leo siku ya tatu bado inasumbua aisee halafu ndugu yangu anataka kuomba chuo, pia muda wa maombi unaisha aisee
  19. R

    Uhuru wa Mahakama: Mahakama yasitisha amri ya Trump ya kuzuia uraia wa kuzaliwa Marekani

    UHURU WA MAHAKAMA Kwako Ibrahim Juma , CJ. MH. JAJI MKUU NAOMBA UPITIE UONE KAMA KUNA HAJA YA KUIGA MFANO HUU WA MAHAKAMA HURU Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, John Coughenour, ametoa agizo la muda la kusitisha utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kufuta uraia wa kuzaliwa nchini...
  20. CHALLANGE NJOO UTAJE MAJINA MATATU AU MANNE YA KUZALIWA YA MCHEZAJI WA ULAYA UNAE MUHUSUDU NAANZA

    1. JUDE VICTOR WILLIAM BELLINGHAM 2. LAMINE NASRAOUI YAMAL EBANA 3. PHILP WALTER FODEN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…