Hellow wakuu, naomba msaaada hapa kwenye cheti cha kuzaliwa wakati wa uhakiki una maana gani leo siku ya tatu bado inasumbua aisee halafu ndugu yangu anataka kuomba chuo, pia muda wa maombi unaisha aisee
UHURU WA MAHAKAMA
Kwako Ibrahim Juma , CJ.
MH. JAJI MKUU NAOMBA UPITIE UONE KAMA KUNA HAJA YA KUIGA MFANO HUU WA MAHAKAMA HURU
Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, John Coughenour, ametoa agizo la muda la kusitisha utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kufuta uraia wa kuzaliwa nchini...
Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje.
Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
Kuzaliwa baharini ni tukio la nadra linalochochea maswali ya kisheria na kijamii kuhusu utambulisho wa uraia.
Je, mtu anayeona mwanga wake wa kwanza akiwa majini, anahesabika kama raia wa nchi gani? Swali hili linaibua changamoto za kipekee, huku majibu yake yakitegemea vigezo mbalimbali...
Ikiwa Leo ni Kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu, Umri ukiwa umesogea sana nimeona niwaachie ujumbe kidogo
Maisha yanapokupa baraka nyingi usikimbilie kusema wenzako ni Wavivu, watu wapo kimya hawasemi tu ila wanapigana vita nyingi sana na wanafeli ila hawalalamiki, ukipata shukuru.
Mwanangu wewe...
Samahani nlikuwa nahitaji kujua jinsi ya kuadd attachnment kwenye sytem ya rita ya kuomba cheti cha kuzaliwa nlikuwa nimeshalipia hadi control number sasa natakiwa niongeze barua ya serikali za mitaa.
Binadamu kumbuka u mavumbi wewe na mavumbini utarudi,
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake hapa duniani ni chache Sana,
Ushawahi kukutana na hizo quotes? Ndio mfumu WA maisha ulivo yaani kila kiumbe kinachozaliwa mwishowe hufa,
La of nature inatakiwa ikuongoze katika maisha yako ...
Kwanza heri ya krismasi kwenu.
Kama mnavyojua kila kinachozaliwa hata kama kiwe ni mnyama lazima kiwe na kitovu kirefu na baada ya mda hukatika.
Kwa upande wa binadamu kitovu huwa kinahifadhiwa kulimganana kabila au jadi fulani, wengine hupeleka kwa babu au bibi shangazi au mjomba(kuligani...
Anaadika Mo Mlimwengu.
Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza na usione vyaelea ujue vyaundwa. Huwa ni nadra sana kupata viongozi washupavu kariba ya Dr Nchimbi. CCM inajivunia uwepo wake kwenye chama kama injini . Ni miongoni mwa watu ambao walipikwa wakapikika na wakaokwa tangu UVCCM na leo...
Katika Uislamu, kuzaliwa kwa Nabii Issa (Yesu, AS) kunahusiana na muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu. Qur'an inamwelezea Nabii Issa kuwa ni miongoni mwa Manabii watukufu waliotumwa kwa Wana wa Israeli. Kuzaliwa kwake ni tukio maalum linaloonyesha uwezo wa Mwenyezi Mungu.
Kuzaliwa kwa Nabii Issa...
Siku chache zijazo, waumini watasherehekea kuzaliwa kwa Yesu aka Kristo aka Issa Masihi aka Mwana wa Joseph aka Mwana wa Maria aka Issa bin Mariam aka Son of Man aka Mwana wa Adam aka Mwana wa Mungu aka Mkombozi aka Kristo au mpakwa mafuta aka Neno aka Mwana kati ya watatu waundao Mung nk. Kama...
Kuna watu wapo wakilalama naakufikia kusema wanajuta kuzaliwa watanzania wanatamani wangezaliwa nchi zingine bila kujua kila mwanadam amepangiwa ridhiki yake hapa Duniani na vyote tunavyoangaika navyo tunakuja kuviacha
Ukimwona unaweza sema ana 60. Daaah... Jamaa ana kula nini? Huyu jamaa leo kafikisha miaka 75. Na ana nguvu fresh tu. Na huko Mashariki ya Mbali wanamchukia sana.
Pia na wakazi wa Mashariki ya mbali waliopo Tandale kwa Tumbo,Buguruni kwa Mnyamani, Manzese kwa Mfuga Mbwa, kwa Mtogole na viunga...
Maisha yanaenda kasi sana, yaani sijapata wishes kutoka kwa mtu yeyote hata Wazazi wangu wenyewe naona wameisahau, marafiki na ndugu zangu pia:rolleyes: zaidi nimepata kutoka mitandao ya simu ya mkononi Airtel na Tigo nikaona isiwe tabu labda naweza ambulia toka huku jamvini.
Mwenzeni...
Chanzo kikuu cha taarifa kuhusu maisha ya Muhammad ni Hadith (masimulizi ya matendo na maneno yake), pamoja na Sirah (wasifu wake) zilizoandikwa baada ya kifo chake.
Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kisayansi, kama vile maandiko ya kisasa ya kihistoria au vielelezo vya kianthropolojia...
Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa na sifa nyingi za kipekee ambazo zimekuwa mfano wa kuigwa kwa Waislamu na wanadamu wote. Baadhi ya sifa zake kuu ni:
Uadilifu na Uaminifu (Al-Amin)
Mtume Muhammad alijulikana kwa uaminifu na uadilifu wake tangu utoto. Alipewa jina la "Al-Amin" maana yake ni...
Waziri mkuu wa India, Narendra Modi amesherehekea pamoja na kufanya ibada baada ya kuzaliwa ndama wa ng'ombe mwenye alama nyeupe kichwani katika makazi yake ya 7, Lok Kalyan Marg. Modi alisema makazi hayo yamebarikiwa kwa ujio wa ndama huyo aliyempa jina la Deepjyoti(mwali wa moto).
Katika dini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.