kuzaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roboti Wa Nape

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gharama za kuzaliwa Mwanaume.

    Ehee Mungu tusaidie wanaume kwa kutupa afya njema tupambanie ndoto pamoja na familia zetu
  2. Natafuta Ajira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuzaliwa mwanaume ni hatia

    Nimekumbuka mtani kwetu miaka ya nyuma, alitokea mwizi mwanamke, alikamatwa bila kupigwa hata kibao tu walitokea watu wakazuia asipigwe. Baada ya yule dada kuhojiwa alitoa story ya simanzi pale akachangiwa sembe, mchele, sukari na vyakula vingine vingi akale na familia yake, akapewa na nauli ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa na kifo ndiyo ukweli pekee katika maisha! Mengine yote afanyayo binadamu katika maisha yake ni maigizo

    Vitu pekee ambavyo ni ukweli ni viwili tu kwa mwanadam (kuzaliwa na kufa) Maisha mengine yote ya mwanadamu ni maigizo! Chochote afanyacho binadam huwa ni kama scene tu havina ukweli wowote kiuhalisia! Kwa mfano: Ukiangalia watoto wanavyochezea makopo au wanavyoigiza kibaba baba au kimamamama...
  4. that-official

    JamiiForums Tanzania Ni muda gani RITA wanachukua kuchakati taarifa zako na kurudisha majibu?

    Habari Wana jamii. Naomba kuuliza ni mda gani RITA wanachukua kuchakati taarifa zako na kurudisha majibu? Mfumo wa Sasa upo kitechnology Zaidi, mtu anaeweza kuomba cheti online kwa kutumia simu yake. Je kama taarifa sio sahihi ni namna gani wanarudisha majibu? Ni mwezi Sasa unapita toka...
  5. Mwanamke wa mithali 31

    JamiiForums Tanzania Heri ya kumbukizi ya siku ya Kuzaliwa kwangu

    Nimeipokea miaka 27 nikiwa (happy) happily regardless of the future...... Nisaidieni kuniwish basi
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vitu kama vyeti vya kuzaliwa na barua ya maombi ya kazi vimepitwa na wakati kwenye mfumo wa kuajiri

    Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena? Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kinanchoitwa uhakiki wa cheti cha kuzaliwa na RITA kina maana gani?

    Nimepata mfadhaiko nilipopata taarifa kutoka kwa kijana wangu, kuhusu hitaji mojawapo la kuomba mkopo anatakiwa awe na hitibati ya uhakiki wa cheti chake chakuzaliwa, sasa inakuwaje cheti ambacho kimetolewa na hao RIta wanataka tena kihakikiwe kwa gharama ya 6000? kwanini kuwe na cheti...
  8. Magical power

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa

    Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa. Mpaka sasa, Bakhresa sidhani kama amewahi kunywa: 👉🏾 Azam Energy 👉🏾 Azam cola 👉🏾 Azam Embe 👉🏾Azam Malta Bakhressa hajawahi ku motivate vijana wa Kitanzania kupitia media...
  9. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinanyima raha kama kuzaliwa peke yako

    Hakuna kitu kinaninyima raha maishani kama kuzaliwa peke angu kwenye tumbo Moja🥺 Najua ni mipango ya Mungu ila huwa naumia sana. Natamani ningekuwa na ndugu wa damu hasa wa kike wa kushare nae mambo yangu binafsi kwenye shida na raha kwa sababu Kuna mambo ambayo kabla mtu huja share na mzazi au...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Je ni sawa kuagiza cheti kipya Cha kuzaliwa kama Cha mara ya kwanza kimekosewa?

    Habari Wana JF cheti changu Cha kuzaliwa kimekosewa spelling tu kwenye jina la baba na ukoo sasa nauliza ni sawa nikiagiza cheti kipya au ni mpaka nifate taratibu za kubadili? Maana Niko mbali na nilipochukulia cheti na taratibu zinasema niende nilipochukulia
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mapacha wanne waliozaliwa siku moja watimiza miaka 83 ya kuzaliwa

    Wadau hamjamboni nyote? Mapacha wanne Leo wanasherehekea kutimiza miaka 83 ya kuzaliwa kwao Ujumbe wao: we are quadruplets, today we turned 83, we are waiting for congratulations from you 🥹🎂
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa na kutunzwa kwa tembo vijana

    Wakati wa kuzaa unapokaribia, jike atatafuta mawasiliano ya karibu na mwanamke mwingine katika kitengo cha familia yake kwa ajili ya ulinzi wakati wa leba. Wakati mwingine familia nzima huzunguka mwanamke anayejifungua, na kumlinda kutoka pande zote. Wanawake huzaa wakiwa wamesimama. Kuzaliwa...
  13. Trainee

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada nikiingia RITA cheti cha kuzaliwa simu inaandika DNS_PROBE_FINISHED_NXDOMAIN

    Nimeomba msaada Google nikaambiwa; How Do You Fix DNS_PROBE_FINISHED_NXDOMAIN? Release and Renew IP Address. Restart DNS Client Service. Change DNS Servers. Reset Chrome Flags. Disable VPN and Antivirus Temporarily. Check Your Local Hosts File. Check DNS of Your Domain. Restart Your Computer...
  14. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unnanzaje kusherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa

    Unakuta mwanaume kabisa tena mtu mzima unaweka status kibao eti kumbukizi ya siku ya kuzaliwa, 'Birthday Party' ni kwa ajili ya wanawake na watoto, mwanaume hupaswi hata kujua kama ulizaliwa. Nb. uzi tayari :DojaDance:
  15. ladyfurahia

    JamiiForums Tanzania Furahia pamoja nami katika kumbukizi ya kuzaliwa kwangu

    Habari wadau wangu, Namshukuru Mungu kuiona siku ya leo wengine hawapo duniani ila ni mapenzi ya Mungu kuniweka hadi leo kufurahia siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu kwangu naona ni neema ya ajabu mno kuona siku hii. Namshukuru Mungu kunipa afya njema na kunipa tumaini jipya basi enjoini...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kula pilipili wakati wa Ujauzito kunafanya mtoto kuzaliwa na macho mekundu

    Habari JamiiCheck, Mimi ni mjamzito, nimekuwa nasikia kuwa ulaji wa pilipili wakati wa Ujauzito kunafanya mtoto kuzaliwa na macho mekundu. Nisaidieni kuhakiki hii maana napenda sana kula pilipili lakini naogopa mwanangu kuzaliwa na macho mekundu.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete atumia siku yake ya kuzaliwa kusambaza upendo kwa wengine, afikisha miaka 45

    Kila ifikapo Aprili 16 ni Kumbukizi ya Kuzaliwa ya Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete. Kwenye Siku yake hii ya Kuzaliwa mwaka huu 2024, Kikwete ameitumia kusambaza upendo kwa wananchi mbalimbali kwa kutoa vyakula mbalimbali. Kikwete...
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Nyerere day 13-4- na siyo 14-10-? Je, ikumbuke siku ya kufa au kuzaliwa?

    Happy birthday Mwalimu Nyerere #Tanzania We will appreciate your contribution to the building of the Nation and Africa Miaka 102 iliyopita alizaliwa Julius Kambarage Nyerere! Leo ndo ilitakiwa iwe #NyerereDay Archive: Siku ya leo ndio ingefaa kuwa Nyerere Day au ile ya Mwezi wa kumi? Je, siku...
  19. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya kuzaliwa ukiwa mbinguni Mwl Julius Kambarage Nyerere, angetimiza miaka 102 leo

    Leo ni mfanano wa siku ya kuzaliwa kwa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere. Kama angelikuwa hai basi leo angekuwa anatimiza miaka 102 yankuzaliwa kwake. Heri ya kuzaliwa kwako Mwl. Julius Kambarage Nyerere
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wote watatu wa Griezmann wanasherehekea siku yao ya kuzaliwa leo

    Antoine Griezmann ana watoto watatu na wote wamezaliwa April 8 miaka tofauti, hivyo basi leo wanasherehekea siku yao ya kuzaliwa. Wakwanza ni Mia Griezmann alizaliwa April 8 ya mwaka 2016. Wa pili ni Amaro Griezmann yeye ni wa April 8 ya mwaka 2019. Wa tatu ni Alba Griezmann yeye alizaliwa...
Back
Top Bottom