kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania 17 wajeruhiwa katika shambulizi la hospitali ya kujifungua Ukraine - maafisa

    Takriban watu 17 wamejeruhiwa na shambulizi la angani la Urusi kwenye hospitali ya Mariupol, kulingana na utawala wa kijeshi wa Ukraine katika eneo la mashariki la Donetsk. Wafanyikazi na wanawake walio katika harakati za kijifungua walikuwa miongoni mwa waliojeruhiwa, maafisa walisema. Pavlo...
  2. JamiiForums Tanzania Familia ya watu 10 kutumia milioni 3 kwa mwaka kwa manunuzi ya vyakula

    Kuna mama alituekeza maisha ya familia yake. Yeye na mume wake wamebarikiwa kupata watoto wanne. Walichukua jukumu la kulea watoto wawili wa ndugu waliofiwa na wazazi wao. Msichana wa kazi na kijana wa shamba. Waliamua kuondoka mjini miaka mitano iliyopita baada ya kununua eneo la ekari tano...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wazoefu wa kutumia Aliexpress

    Naomba kujua kama ukitumia Aliexpress kuagiza mzigo kuwa uwezekano wa kutumia agent wengine wa usafirishaji tofauti na options ambazo Aliexpress wanakuwa wameziweka... Yani kwa mfano nataka kuagiza mzigo ila nahitaji kutumia Silent Ocean kusafirisha mzigo wangu, je ni hatua gani natakiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu auponda mpango wa kutumia viberenge kupanda Mlima Kilimanjaro

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wadau wanaopendekeza matumizi ya viberenge katika kupanda Mlima Kilimanjaro kutathimini kwa kina mpango huo ambapo ameonyesha kutoridhia mikakati hiyo. "Nasikia mnataka kuweka kiberenge cha kupanda Mlima Kilimanjaro, mnataka kuua mlima? Mkiweka...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ukurasa Maalumu wenye picha za Rais wa Urusi, Vladimir Putin

    Yuko kikazi zaidi. Kama wanadhani ana-beep, basi wasubiri kupigiwa. Russian Prime Minister Vladimir Putin rides a horse during his vacation outside the town of Kyzyl in Southern Siberia on August 3, 2009. AFP PHOTO / RIA-NOVOSTI / ALEXEY DRUZHININ (Photo credit should read Alexsey Druginyn/AFP...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya router yangu iweze kutumia laini zote

    Nina router ya Home Internet ya Tigo sasa kwa wale wenye ujuzi wa ku unlock niweze kutumia kwa laini zote nahitaji msaada please.
  7. JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza tarehe kuanza kutumia mita zisizohitaji kuingiza ‘token’

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kwamba kuanzia Julai mwaka huu litaanza kutumia ‘smart meters’ za umeme, ambapo mteja akinunua umeme utaingia moja kwa moja na umeme utawaka. Maelezo hayo yametolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande akisema kwamba suala hilo limekuwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Duh! Kila nikihakiki bidhaa kutumia Hakiki ap ya TRA inaniambia verification failed

    Nimejaribu kuhakiki bidhaa kwa kutumia ap ya Hakiki Stamp ya TRA nimekuta kila bidhaa feki. Unachotakiwa kufanya scan bar code au QR code iliyopo kwenye bidhaa.Ap inawasha camera ya simu, hakikisha QR code au bar code inakuwa kwenye target ya camera, bila ya kutingishika, kama huwezi ingiza...
  9. F

    JamiiForums Tanzania TARURA, hii biashara mliyoanzisha ya maegesho ya kulipia kwanini msingetenga na kuandaa maeneo maalum badala ya kutumia barabara zetu?

    Kwanza nawapa kongole mamlaka ya usimamizi wa barabara za mjini na vijijini (TARURA) kwa kuanzisha na kurahisisha huduma za parking kwa njia ya kulipia hususani maeneo ya miji na majiji makubwa hapa nchini. Mapungufu makubwa niliyoyaona hapa ni Parking space nyingi ziko katika barabara ambazo...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje magazeti yote ya leo kutumia picha moja?

    Magazeti karibu yote kwenye front page yameweka picha ikimuonesha askofu Niwemguzi akimuinamia SSH, je hii picha imetoka wapi na kusambazwa na nani. Je ina uhusiano na kujilinganisha na Mungu? 7
  11. JamiiForums Tanzania Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu, majiji si makubwa na vituo vipo karibukaribu

    Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu,majiji sio makubwa vituo vya mabasi viko karibu karibu hayana ukubwa kivile. Mfano ndege ya Boeing haiweze ruka Dar to Zanzibar injini itaharibika sababu Dar to Zanzibar kwa Ndege ya Boeing ni dakika saba ina maana ikianza tu kuruka angani...
  12. JamiiForums Tanzania Kama umewahi kutumia haya majani ya chai na bado upo kwenu unagombea rimoti ya tv na wadogo zako jitafakari

    Maisha yana safari ndefu sana usipofunga mkanda haswa unaweza zeekea nyumbani hasa kwa sisi tuliotoka kwenye familia masikini. Nakumbuka wakati nimepata ajira kampuni Fulani ujira ulikuwa mdogo sana licha ya elimu niliyo nayo ilinibidi nifanye hivyo hivyo mshahara ulikuwa 200k kwa mwezi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Malezi: Mnaotumia condom wasaidieni wanaopaswa kutumia P2 kesho msikose watoto

    Kununua na kutumia kondom unachangia uchumi, unadhibiti magonjwa na unalinda mimba zisizotarajiwa. Hakuna side effects kwenye via vya ndani vya uzazi na ni njia salama. 2. Watoto wangu Mnaotumia P2/ 72 hrs na nyingine nawapongeza kuchangia uchumi na kudhibiti mimba zisizotarajiwa. Ila amkwepi...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba utushirikishe mbinu wanazoweza kutumia waliojiriwa kumiliki nyumba ya kwanza

    Habari, Naitwa Aliko Musa. Ninaishi mkoani Mbeya. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi kuhusu uwekezaji katika ardhi na majengo. Mejesho kutoka kwa wasomaji wa makala zangu kwenye mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG umeonyesha wengi hushindwa kumiliki ya kwanza kutokana na sababu mbalimbali...
  15. JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kufanya biashara kwa kutumia Cheki(Check,Cheque)

    Wajasiriamali wengi wadogo hufanya biashara kwa kutumia CASH.Akienda kununua mzigo kariakoo anaenda na cash,akaenda kulipa wafanyakazi anaenda na cash.Kila kitu wanatumia Cash.Swali la kujiuliza ni Je ku na faida gani mtu kutumia Check badala ya Cash? Nianze kwa kueleza kidgo check ni...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Analoshindwa Putin aliliweza Magufuli kwa kutumia zawadi ya tausi watatu kwa Museveni na Kenyatta

    Video ya Vladmir Putin akihojiwa na waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya magharibi inatembea mitandaoni. Putin anajitahidi sana kujenga hoja za kujibu maswali lakini kama kawaida yake anarudia makosa yale yale ya miaka yote. Putin aidha hana team nzuri ya Diplomasia au anaogopwa na...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Wasanii wanatengeneza mapambo kwa kutumia siagi za rangi (butter sculptures) katika mji mkongwe, Lhasa. Huu ni usanii wa jadi wa utengenezaji wa sanam

    Wasanii wanatengeneza mapambo kwa kutumia siagi za rangi (butter sculptures) katika mji mkongwe, Lhasa. Huu ni usanii wa jadi wa utengenezaji wa sanamu mkoani Tibet kwa kutumia siagi.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kimenuka! Rais Putin atoa kitisho, asema anaweza kutumia nguvu za kijeshi kwa Marekani na NATO kutokuzingatia mistari miekundu (red lines) za Urusi

    Jisomee mwenyewe hapa! Siku zote vita kubwa huanzaga kama utani vile na kama haitatokea vile, lakini mwisho wa siku huwa ni mlipuko mkubwa wa vita. Hatimaye Urusi inaelekea kuchoka kuoneshwa ubabe na Marekani kwa kutishiwa vikwazo. Anadai wakiendelea kupuuza red lines zake, "liwalo na liwe"...
  19. JamiiForums Tanzania Nimemsikia Makamba akijaribu kutisha wabunge kwa kutumia jina la 'Rais Samia' badala ya kueleza udhaifu wake

    Anasema hata kama una matatizo na Mh. Samia kuwa rais au yeye (Januari) kuwa waziri tutafute jambo jingine siyo mambo ya nje. Hii ndiyo rubbish ya Januari. Katika mjadala ule hakuna aliyemshambulia rais Samia. Januari anaanza kueleza underperfomance ya wizara anayoiongoza. TANESCO iko chini...
  20. JamiiForums Tanzania Mara: Bibi kizimbani kwa tuhuma za kumuua mjukuu kwa kutumia Tsh. 2,000 bila ruhusa

    Nkwandu Kayenze (76) Mkazi wa Kijiji cha Natta Wilayani Serengeti mkoani Mara amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Serengeti kwa tuhuma ya mauaji ya mjukuu wake Matoja Deus (11) ambaye anadaiwa kumpiga hadi kufa baada ya kutumia Shilingi 2,000 bila idhini yake. ITV
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…