Hivi karibuni, ugonjwa wa monkeypox umeendelea kuenea katika nchi za magharibi. Tangu tarehe 13, nchi 23 zikiwemo Marekani na Uingereza zimeripoti maambukizi zaidi ya 250 yaliyothibitishwa na zaidi ya maambukizi 100 yanayoshukiwa kwa WHO. Hata hivyo, Reuters, BBC, ABC News na vyombo vingine vya...
Leo ijumaa pesa ya Urusi Ruble imezidi kupaa kwa thamani ikilinganishwa na fedha zingine kama dola na Euro. Kwa sasa dola moja ni ruble 57.67.
Ikumbukwe kuwa kabla ya vita dola moja ilikuwa sawa na ruble 82, na mwanzoni mwa vita baada ya Urusi kuwekewa vikwazo lukuki vya kiuchumi, fedha yake...
Kumradhi wadau naomba mwenye uelewa wa kina kuhusu jambo hili anielimishe kidogo.
Kwa mtazamo wangu kufanya siasa ni jambo ghali sana, hasa unapofanya siasa ukiwa hauna serikali wala wawakilishi wanaopelekea walau upate ruzuku.
Ili ufanye siasa ni lazima uwe na mahali pa kuanzia yaani uwe...
Ukraine inalalamika kuwa Russia inatumia silaha nzito mno, TOS-1A Thermostatic Rockets (vacuum bombs), ktk mapigano huko Donetsk.
Kwa mujibu wa Marekani, silaha hizo ni special kwa kuangamiza ngome za kijeshi zilizo kwenye mahandaki chini ya ardhi na maadui waliojificha kwenye bunkers. Silaha...
Nchi kama misri na Southa Afrivca zina pata pesa nyingi kupitia utalii wa mali kale historia.
Angalia senema ya Royal tour haijakuwa na nia tjabiti kupromote utalii bali usanii wa kutafuna pesa za wananchi.
Inaonyesha viongozi wanavua samaki na wachimba migodi wanazama mgodini for what...
Mkuu wa Idara ya Habari maelezo amesema zoezi la Anuani za makazi zilipangwa kutumia Tsh. Bilioni 740 lakini Rais Samia aliishusha hadi Tsh. Bilioni 28.
Kutokana na bajeti wananchi wametakiwa kuchangia baadhi ya huduma ikiwemo huduma ya kuwekewa vibao ambapo tafiti zimeonesha wananchi wanalipia...
Jana wakati waziri wa ujenzi na uchukuzi anahitimisha hoja zake kimsing iangetueleza mpango wa kujenga barabara kuunganisha wilaya zetu na mikoa kuliko kuelezea mradi wa SGR. Huu mradi ni wazi watanzania wengi hawajaufurahia kwani hauwagusi watanzania wengi unapitia sehemu chache sana...
Kuna mlolongo mrefu sana ili Mabomu ya nuclear yatumike. Sio maamuzi ya mtu mmoja, wawili, watu tu hapana.
Kunahitaji maamuzi ya kina na ya watu wengi. Bado rais wa nchi kama Putin hana maamuzi ya moja kwa moja ya KUTUMIA nuclear. Yeye kama kiongozi anaweza kuamua lakini kikwazo kikawa kwa...
Hii inasaidia sana kuwa productive na kuweza kufocus na mambo muhimu badala ya kukesha instagram au ukicheza candy crush saga.
Ingia settings
bofya screen time
turn on screen time kama hujawasha
bofya App limits
bofya add limits
chagua application yako
kisha set muda wako unaotaka utumie hiyo...
Na huyo Demu wake wa hapo ndiyo aliyepandikizwa Kummaliza na Klabu moja waliyocheza nayo na akakabwa vilivyo na Mkongo Mwenzake.
Halafu Yanga SC hakikisheni yule Dogo ( Mganga wenu ) ambaye huwa anaingia na Njiwa Mweupe kila mliposhinda Mechi zenu mnamlipa Pesa zake kwani Password ya Ushindi...
katika mijadala ya hapa na pale inayohusu maendeleo hata humu ndani jamiiforums huwa inakuwepo mijadala ya wakinga kuwa moja ya kabila linalojitahidi kwenye anga za biashara licha ya kuwa kabila dogo kwa idadi yao ndogo.
Sasa kunakuwaga na tabia flani hivi unakuta mjadala unavyoendelea pakiwa...
Jamaa zetu Chadema wanakasumba mbaya sana. Walishazoea siasa za kubebwa. Wakikutana na mtu anayejua kuwabana kisiasa kama Paulo Makonda au Mwita Waitara wao huwa wanaleta chuki zisizo na mashiko.
Mtu hata kama hana hatia za ujambazi watafurahi tu aingie lupango kisa tu wameshamchukia.
Tuweke...
SERIKALI HAINA UWEZO WA KUPUNGUZA HIZI BEI ZA MAFUTA?
Na Elius Ndabila
0768239284
Nimesoma bei mpya ambazo zinaongeza maumivu mara dufu kwa mtu wa chini. Nimesema zinaongeza maumivu kwa mwananchi wa Chini kwa kuwa natambua wengine wanaotumia sawa sawa kodi za wavuja jasho maumivu hayawafikii...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na idadi kubwa ya shule za msingi na zile za awali zikiongezeka, hiyo imeendana sambamba na ongezeko la ratiba ya masomo kwa wanafunzi.
Zamani ilizoeleka wanafunzi wanaotumia muda mwingi shuleni ni wale wanaosoma bweni, lakini hivi sasa hata wale wanaosoma ‘day’...
Maeneo ya Kirumba, Ilemela, Igogo na sehemu za Igoma uhalifu ulikuwa mwingi kiasi cha wananchi kuchukua sheria mkononi na kuanza kuua vibaka kwenye ofisi za serikali. Hii ni sababu Jumanne Muliro huwa hana mikakati ya kudhibiti uharifu kwa kutumia jamii zaidi ya nguvu za kipolisi ambazo hazina...
Wakuu naomba kuuliza Mimi ninaishi Mbeya.
Je, utaratibu upoje kama nataka kutumia gari kutoka Malawi au Zambia ikiwa na usajili wa Malawi, kuna namna ya kulipia iwapo nataka kutumia kwa miezi kadhaa then narudisha.
Msaada tafadhali
Msemaji mkuu wa chombo cha habari cha Urusi RT bi Margarita Simonyan, amesema wakati mataifa ya Nato yakitafuta kuishinda Urusi katika vita lakini wajue kuwa Urusi haitakuwa na njia nyengine isipokuwa kuangamiza sehemu iliyobaki ya Ukraine kwa sialaha za nyuklia.
Wakati huo huo Marekani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.