kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Video Editors na Content Creators: Una edit video zako kwa kutumia software gani?

    Wanaopenda kuedit video, for fun au kwa biashara. Unatumia software gani? Free, paid au cracked? Natumia Windows Laptop sio Mac. 16 GB RAM inatosha au nipande juu? Kwa sasa najifunza color grading, Natumia CapCut na LUT za watu najaribu kufanya mwenye mdogo mdogo, inafaa kwa kufanya manual...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Dua Lipa ashtaki Samsung $15M kwa kutumia picha zake kwenye Maboksi ya TV

    Staa wa muziki wa Pop duniani, Dua Lipa, ameishtaki kampuni ya Samsung akidai fidia ya dola milioni 15 (takriban shilingi bilioni 40 za Kitanzania), akituhumu kampuni hiyo kutumia picha yake kwenye maboksi ya TV huko nchini Marekani bila ridhaa yake. Katika kesi hiyo iliyofunguliwa kwenye...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Umewai kutumia kiasi gani kikubwa cha pesa kwenye burudani ndani ya siku moja?

    kiasi gani cha pesa amnacho umewahi kukimaliza kwa siku moja kwenye burudani fulani? Binafsi weekend iliyopita nimetumia arround 1800usd, hapo tunaongelea zaidi ya 4M kuitumia kwa siku moja!
  4. JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini Sh Milioni 30 kwa kutumia nyumba ya mtu kuwa chumba cha kubadilishia nguo

  5. JamiiForums Tanzania Sio vibaya kutumia Tsh 2,000,000/= kutoka kwenye akiba yako kumfurahisha mama yako kwenye hii siku yake

    Post za watsapp status, Insta, Facebook na X hazitoshi. Chomoa angalau 2m toka kwenye akiba yako mfurahishe mama. Spoil her Happy mother's day
  6. JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kiusalama kwa watekaji na genge lao kuendelea kutumia "Plate Number" zisiofuata mfumo rasmi wa nchi

    Maana yake Kuna Ombwe kubwa linatengenezeka . Sina Uhakika Tena Kama Askari Barabarani wanaweza Kuyasimamisha Magari yenye hizi namba. Hawawezi kwa sababu Vichwani mwao na wao wanaamini ni ya Akina Abduli. Kiasi kwamba huu uwazi , Umetengeneza Mazingira Mazuri kwa WATU WABAYA . Leo hiii...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mdau je, ni sahihi kumruhusu mtoto kutumia AI kama nyenzo ya kujifunzia?

    Katika ulimwengu unaoendeshwa na kasi ya maendeleo ya teknolojia, matumizi ya Akili Unde (AI) yameanza kuwa sehemu ya maisha ya kila siku, ikiwemo katika malezi na elimu ya watoto. Wazazi na walezi wanakabiliwa na uamuzi muhimu: je, ni sahihi kumruhusu mtoto kutumia AI kama nyenzo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Makonda anarudia yale yale ya Mobutu: kutumia umaarufu kufunika matatizo ya watu

    Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni, Paul Makonda, ameibuka na ahadi kemkem za kuwaletea Watanzania watu maarufu duniani ili kuwafurahisha. Alianza kwa kuwaahidi wananchi wa jiji la Arusha kwamba angemleta nguli wa filamu na mwanasiasa wa Marekani, Arnold Schwarzenegger, katika sherehe...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kumshawishi mtu afanye kitu unachokitaka kwenye Matangazo Yako, ujumbe wako nk kwa kutumia maneno haya matano

    Rafki mpendwa Leo nakuletea maneno matano yenye Nguvu ya kisaikolojia unayoweza kutumia katika Matangazo, mazungumzo Yako ujumbe wako nk Ili uweze kuwashishi watu wachukue hatua Twende pamoja Neno la kwanza ni Neno WEWE Hili neno wewe Lina Nguvu zaidi kwenye Ushawishi kwa sababu Binadamu...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Je Lengo la Humu Jukwaani kuruhusiwa kutumia emoji 14 pekee ni lipi

    Member humu jukwaani wana hisia mseto hivyo kuruhusu emoji 14 tu, kwenye member wenye hisia na mtazamo mseto ni ku minya uwezo wa ufikiri na reaction za baadae. baada ya kuwa na emoji 14 tu mtu analazimika kutumia emoji moja wapo kati ya hizo itakayo fanania na wazo lake ili iwe m-badala je...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani ya kutumia simu zisizopokea new software updates au security updates?

    Kama kichwa cha uzi hapo juu kinavyoelezea, tuchukulie mfano simu ya Samsung Galaxy S22 ultra ambayo mara ya mwisho imepokea system update mwaka jana huku ikitarajiwa kutokupokea tena security updates ifikapo 2027. Je simu kama hiyo na nyingine nyingi zisizopokea updates tena zina effects gani...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Imekidhi Haja Kutoa Idadi ya Vifo 518, ila Bado Haijakata Kiu!, Aliyetoa Amri Kutumia Za Moto ni Nani?!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo. Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa!. Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Ripoti Imekidhi Haja, ila Haijamaliza Kiu!. Asante kwa Kutoa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Donald Trump baada ya kuona Iran hawawezekani akataka kutumia silaha za nyukilia

    Silaha za nyukilia zilitengenezwa kwa ajili ya kutumika TU,pale nchi itakapokua imezidiwa na baada ya kutumia silaha nyingine zote lakini kushindwa kumshinda adui. Inasemekana Trump alitaka kutumia nyukilia katika vita yake na Iran Generali Dan Caine akamkatalia je hii inaashiria kua Marekani...
  14. JamiiForums Tanzania Naweza kutumia jina la biashara yako na nikakushtaki mahakamani

    Katika safari ya ujasiriamali, hatua ya kwanza kabisa ambayo wafanyabiashara wengi huipuuza ni kusajili jina la biashara yao. Wengi huanza biashara kwa speed kubwa, lakini bila utambulisho rasmi. Ukweli ni kwamba, bila usajili, biashara yako haina ulinzi wa kisheria wala hadhi ya kuaminika mbele...
  15. JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii kuonyesha barabara ikiwa imeharibika imetengezwa kwa kutumia Akili unde

  16. JamiiForums Tanzania Rais ajaye bila kutumia elimination method hatoboi

    Rais ajaye asipoeliminate baadhi ya mafisadi papa kutoka CCM mtandao, basi yatamuwahi na kumueliminate yeye. Masilahi ya kudumu ya CCM mtandao ni kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania na yoyote atakayewapinga kufikia lengo lao hili wana mbinu zote za kumfikia na kumbomoa. Ni either...
  17. JamiiForums Tanzania Jaribu kutumia red royale east west ( mbegu ya papai) kama unataka kulima papai. Na huu ndio muongozo wake

    Good evening Leo ninapenda tuandike kuhusu fursa ya kilimo cha papai. Na,hapa nitagusia zaidi kilimo cha papai hybrid. Katika kilimo cha papai kuna hatua za kuzingatia ili mtu aweze kupata matokeo ya msingi. Hatua ya kwanza ni maandalizi ya shamba na maandalizi ya mbegu ( east west red royale...
  18. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe awataka Ma RC na Ma DC kupunguza idadi ya magari kwenye ziara, ampongeza RC Dodoma kutumia gari moja

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kutekeleza maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kupunguza matumizi ya mafuta kwa kutumia magari machache kwenye ziara za...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna mpango wa kutumia bomba la TAZAMA kusafirisha mafuta humu nchini?

    Bomba la TAZAMA lina urefu wa 1700 kilomita. Linatola Dar es Salaam, Tanzania hadi Ndola, Zambia. Zamani hasa lilikuwa linasafirisha mafuta ghafi. Mwaka 2023 wameliupgrade na sasa linasafirisha Diesel. Asilimia 85 ya diesel kwenda Zambia wanatumia bomba la TAZAMA. Wana mpango waliweke sawa ili...
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Akitokea anayetaka kutumia suala la mafuta kama fursa kujinufaisha, tutamwambia hapana

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…