kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanza kutumia namba za magari za Dijitali

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Fred Matiang’i amesema wananchi wamepewa miezi 18 kubadili Namba za zamani na kuweka mpya ambapo magari Milioni 4.8 yaliyosajiliwa yataingia kwenye utaratibu huo. Muda huo hautahusisha magari mapya ambayo yatatakiwa kusajiliwa na mfumo mpya wa Number Plates...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wavuvi wa Laos wavua samaki kwa kutumia nyavu za jadi zilizotengenezwa kwa mbao

    Tarehe 25 mwezi Agosti mwaka 2022, Visiwa vya ForThousand, Laos, wavuvi wa huko walivua samaki kwa kutumia nyavu za jadi zilizotengenezwa kwa mbao karibu na maporomoko ya Khone yaliyoko kwenye sehemu ya Mto Mekong.
  3. JamiiForums Tanzania Ukraine wafanya mashambulizi makali kwa kutumia HIMARS, mvua ya mizinga Kherson

    Mrusi hana hamu na HIMARS, zinamtesa sana hadi leo, zimewapa jeuri Ukraine kiasi cha wao kuanzisha mashambulizi wenyewe tofauti na awali walivyokua wanapambana kuhimili mashambulizi..... Ukraine appears to have launched a major new offensive against Russian-occupied territory around Kherson, a...
  4. JamiiForums Tanzania NBS waache kutumia jina la Rais kuhamasisha sensa. Wao pia wanajitosheleza!

    Sijafurahishwa kabisa na huu ubunifu wa watu wa takwimu kutumia jina la Rais na viongozi wengine kuhamasisha sensa. Mama Ana Makinda ni mtu mashuhuri, angeweza kutumia hata jina lake au maafisa wengine! Kutumia jina la Rais naona kama haijakaa sawa! Kama iko sawa toa hoja, haya si malumbano ni...
  5. JamiiForums Tanzania Hii ndio mashine ya kuzalisha matairi ya pikipiki kwa kutumia takataka, Tz hazijafika bado?

    Kwakuwa mahitaji ya tairi za pikipiki na makubwa nchini Tz, Ke, bado hatuna hii mashine? Video ina maelezo
  6. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kutumia elimu kupunguza tatizo la ajira

    Elimu kama kama zilivyo sekta muhimu kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla,ni muhimu sana.Jamii nyingi na mataifa mengine yameitumia vizuri na wamefanikiwa sana. Ili elimu yetu iweze kutumika kupunguza tatizo la ajira inapaswa kufanya yafuatayo; (1)Kabla ya kutoa elimu kwa mtoto inapaswa...
  7. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujasiriamali ni njia ya kujikwamua na umaskini kwa kutumia mtaji mdogo

    Unaweza kujikwamua au kujiajiri katika ujasiriamali kwa kutumia mtaji kidogo lakini kwq manufaa makubwa Mfano: Mimi nina bachelor ya masuala ya jinsia katika maendeleo ila bado sijapata ajira serikalini isipokuwa nimejiajiri katika shughuli za uuzaji uji kwa mtaji wa shilingi elf 70000/= kwa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kutumia bil. 600 kwenye sensa ni ufisadi

    Habari ndugu wadau. Mimi nimehesabiwa jana.Lakini nilichokiona kwa karani na taarifa tulizompatia haikuchukua ata dakika 5 na tulikuwa kaya ya watu 9. Sasa nikajiuliza hii ndo kazi watu wamefanya semina wiki 3 kweli??Hakika sijaamini nilichokiona. Hii inamaana tungekuwa makini tungetumia ata...
  9. JamiiForums Tanzania Putin mpaka anatamani kutumia hawa wanajeshi wa Korea Kaskini licha ya njaa yao na unyonge

    Kwa sasa Urusi inaomba msaada wa wanajeshi kutokea popote, hadi wanafuata hawa wa Korea Kaskazini, sema itabidi kwanza walishwe chakula kama miezi miwili ndio waingie kwenye mapambano North Korea offering 100,000 troops to help defeat Ukraine, Russian state media says...
  10. JamiiForums Tanzania Tuko tayari kulipa tozo na kodi aina zote lakini Serikali iwe tayari kusema imeshindwa kutumia rasilimali za nchi hii tulizojaaliwa na Mungu

    Habari! Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza. Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili umridhishe. Options ni 2 tu kwasasa. 1. Kutumia rasilimali zetu kama gas, makaa ya mawe, dhahabu, na...
  11. JamiiForums Tanzania Tarehe ya harusi na tarehe ya kuzaliwa: imedhamiriwa kwa kutumia hesabu

    Wasichana wengi hawawezi kubaki gizani kwa muda mrefu na wanataka kujua haraka iwezekanavyo wakati sherehe ya harusi iliyosubiriwa kwa muda mrefu itafanyika. Sayansi ya hesabu inaweza kusaidia na hili, ambayo inakuwezesha kujua tarehe ya harusi ya baadaye kwa tarehe ya kuzaliwa. Wasichana...
  12. JamiiForums Tanzania Mtandao gani naweza kutumia kwenye Smart Tv hapa TZ

    Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani, kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna...
  13. JamiiForums Tanzania Mtandao gani naweza kutumia kwenye Smart Tv hapa Tanzania

    Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani. Kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna...
  14. JamiiForums Tanzania DAWASA Kutumia Tsh. Trilioni 1.029 kutekeleza Miradi ya Maji 2022/2023

    SERIKALI kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetenga sh. trilioni 1.029 kutekeleza miradi ya maji 13 ya kimkakati katika mwaka wa fedha 2022/2023. Hayo yamesemwa leo Agosti 13,2022 jijini Dodoma na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Russia waanza kupewa mafunzo na Iran jinsi ya kutumia drones

    Aibu sana kwa super power , Iran has begun training Russian officials to use its advanced drones, according to the Biden administration, the latest sign that Moscow plans to use Tehran’s military weapons to try to seize a new aerial advantage in Ukraine. CNN
  16. JamiiForums Tanzania Serikali kutumia Bil. 169/- kujenga VETA 60 nchi nzima

    Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imewekeza Tsh 169bn/- kwenye ujenzi wa vyuo vya ufundi (VETA) 60 nchi nzima.
  17. JamiiForums Tanzania Pamoja na bei ya mafuta kupanda, watu wanaendelea kutumia magari na vyombo vingine vinavyotumia mafuta. Je ni kweli wako vizuri kipesa?

    Kwa maelezo ya waziri mkuu mstaafu mhe. Msuya akiwa kwenye kipindi cha dk 45 cha ITV, ni kama amemaanisha kwamba uwepo wa magari mengi mjini au barabarani ni kutokana na hali za maisha kutofanana. Ni kama vile wanaotumia vyombo hivyo hawaoni tofauti ya kupanda kwa bei. Na kwamba wana hali nzuri...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Njia ya kutengeneza Wateja wa kudumu kwa kutumia 'Business Card' yako katika shughuli ufanyayo

    MUHIMU SOMA🌴🌴🌴🌴🌴 HELLO HABARI YA MUDA HUU BOSS WANGU, JE UMETUMIA KILA MBINU LAKINI HUPATI WATEJA WA KUTOSHA KATIKA BIASHARA YAKO? Basi leo malaika wa Mungu huenda amenileta hapa kwaajili yako, SOMO LA BUSINESS CARD KATIKA KUPATA WATEJA WENGI SANA HAIJALISHI BIASHARA KUBWA AU NDOGO Kwa muda...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama: Uamuzi wa Tume ya Uchaguzi wa Kutumia Usajili wa Kilektroniki Pekee katika uchaguzi wa Agosti 8 ni batili

    Mahakama ya Juu imebatilisha uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) wa uandikishaji wa Wapiga kura kwa Kielektroniki pekee katika uchaguzi wa Agosti 9, na kusema kuwa sababu zilizotolewa na tume hiyo hazitoshi Tume hiyo ilisema kuwa Usajili wa Wapiga kura kwa Makaratasi unaweza...
  20. JamiiForums Tanzania Aliyewahi kutumia huduma ya Tigo business (Post Paid)

    Nimepita huko kwenye ukurasa wao, nikakuta vifurushi vipo hivyo, je huduma ipoje kwa aliyewahi kuitumia njoo utujuze, maana naona kidogo itakuwa nafuu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…