Marekani kutumia nguvu zote ili kuishinda Urusi, bila kuhatarisha damu ya askari yeyote wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa Ukraine

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,664
18,040
Wamarekani ni wabaya! Wameamua kuingia vitani na Urusi kwa kutumia nguvu zao zote kwa maana ya zana za kivita na pesa, lakini hawako tayari kumwaga hata damu ya mtu mmoja wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa ukraine!!

Marekani hawajali Ukraine ikiangamizwa na Urusi, wanachohitaji tu ni kwamba wanajeshi wa Ukraine watumike kufikia malengo ya Marekani ya kuidhoofisha Urusi, bila kujali watamwaga damu kiasi gani cha watu wa Ukraine katika kufikia hilo lengo la Marekani.

Kwa mtazamo wa Marekani, damu ya askari mmoja wa Marekani ina thamani kuliko damu ya watu wote wa Ukraine!

Marekani hayuko tayari kupigana ana kwa ana na Urusi lakini yuko tayari kupigana na Urusi kwa kutumia damu ya watu wa Ukraine!! Kwa bahati mbaya sana rais wa ukraine hana jinsi ya kujinasua katika mtego huo!!
 
Kumbe nchi za Asia zina mazombi pia.Sijui wanauwa watu wao ili iweje.Kwa sifa za nani?
 
US says it is seeking ‘strategic defeat’ for Russia​

The US State Department spokesperson has said Washington is seeking a “strategic defeat” for Moscow in Ukraine that would leave Russia economically weaker and more isolated internationally.
 
Kwa strategy hiyo Marekani anaweza kufanikiwa! Yeye atakachofanya ni ku prolong hiyo vita.Russia atatumia silaha zake zote mpaka atafikia hatua ya kukata tamaa na huenda mwishoni akaomba poo wakati hali ya uchumi itakuwa ni mbaya kiasi cha kuhitaji mikopo kutoka kwenye taasisi za kifedha za dunia.
Akiomba poo ndipo Urusi ikitaka mikopo itaambiwa lazima Putin apelekwe the Hague kwa uharifu wa kivita na huenda Russia ikaambiwa kulipa gharama za uharibifu alioufanya Ukrane.
Nawaza lakini!
 
Kwa strategy hiyo Marekani anaweza kufanikiwa! Yeye atakachofanya ni ku prolong hiyo vita.Russia atatumia silaha zake zote mpaka atafikia hatua ya kukata tamaa na huenda mwishoni akaomba poo.
Akiomba poo ndipo Warusi wataambiwa lazima Putin apelekwe the Hague kwa uharifu wa kivita na huenda Russia ilipe gharama za uharibifu alioufanya Ukrane.
Nawaza lakini!
Alisikika Mlevi mmoja Akisema
 
Urusi sio Libya Wala Iraq Wala nn...

Marekani alimshindwa Urusi pale Syria, sembuse Ukraine??.ambapo Urusi Ina masilahi makubwa kiuchumi, kisiasa, kihistoria, kiusalama, kimkakati???

Duuuuh!!!.
 
Size ya USA Ni Iraq,Libya,Somalia na nchi za dizaini hio lkn sio Russia.

Wajijitutumue Basi waweke hata NO FLY ZONE pale UKRAINE Kama wao Ni wanaume.
Na mrusi size yake ni Ukraine mwezi wa tatu huu kamasi zinamtoka,
Ajitutumue kuweka no fly zone ili kuzuia Ukraine asipate msaada na akina Boris wasiweze kutua kyiv au ajitutumua kumshambulia Marekani ili akome kumsaidia Ukraine asiishie kutoa maonyo tu.
 
Kwa strategy hiyo Marekani anaweza kufanikiwa! Yeye atakachofanya ni ku prolong hiyo vita.Russia atatumia silaha zake zote mpaka atafikia hatua ya kukata tamaa na huenda mwishoni akaomba poo.
Akiomba poo ndipo Warusi wataambiwa lazima Putin apelekwe the Hague kwa uharifu wa kivita na huenda Russia ilipe gharama za uharibifu alioufanya Ukrane.
Nawaza lakini!
Mimi mtu akipost upumbavu kama huu huwa nachukia sana. Yaan nchi inayozalisha silaha waishiwe silaha?? Tanzania tu ilipigana na Uganda na vita ilichukua mwaka mzima na haikuishiwa Silaha itakuwa Urusi?? Umeshindwa kuelewa kama kuna silaha ambazo ni Mass distraction??
Yaan Urusi hana akili ya kujua kuna possibilities za kutokea vita na NATO??
Umeona Urusi akitumia Silaha A kisasa zaidi hapo Ukraine?? Vikombora viwili vitatu na hapo anasubiri raia watoke kwanza.
Vita unayoisikia hakuna chance ya kuondoa raia ni kichapo mpaka raia wanakimbia wenyewe.
 
Mimi mtu akipost upumbavu kama huu huwa nachikia sana. Yaan nchi inayozalisha silaha waishiwe silaha?? Tanzania tu ilipigana Uganda na haikuishiwa Silaha itakuwa Urusi?? Umeshindwa kuelewa kama kuna silaha ambazo ni Mass distraction??
Yaan Urusi hana akili ya kujua kuna possibilities za kutokea vita na NATO??
Umeona Urusi akitumia Silaha A kisasa zaidi hapo Ukraine?? Vikombora viwili vitatu na hapo anasubiri raia watoke kwanza.
Vita unayoisikia hakuna chance ya kuondoa raia ni kichapo mpaka raia wanakimbia wenyewe.
Mkuu Vita ni sayansi siyo kuwa na silaha! Uchumi wa Russia huwezi kuulinganisha na uchumi wa US.
Bila kuwa na uchumi imara huwezi kupigana vita ukashinda kiwepesi.
 
Urusi sio Libya Wala Iraq Wala nn...

Marekani alimshindwa Urusi pale Syria, sembuse Ukraine??.ambapo Urusi Ina masilahi makubwa kiuchumi, kisiasa, kihistoria, kiusalama, kimkakati???

Duuuuh!!!.
Kwako Russia kuivamia nchi nyingine na kufanya mauaji na uharibifu wa kila aina ni sawa ?!. Lazima utakuwa na kasoro kichwani. Nani kampa Russia license ya kuua watu wa mataifa mengine, na kuwapangia lifestyle anayoitaka yeye Russia ?!.
 
Na mrusi size yake ni Ukraine mwezi wa tatu huu kamasi zinamtoka,
Ajitutumue kuweka no fly zone ili kuzuia Ukraine asipate msaada na akina Boris wasiweze kutua kyiv au ajitutumua kumshambulia Marekani ili akome kumsaidia Ukraine asiishie kutoa maonyo tu.
Jamaa ana mikwara saana, alisema mtu akiingilia Ukraine kuipa msaada yeye ataipiga hiyo nchi, mbona hatupi hata kopo hapo UK, France, German? US tusiitaje kabisa.
 
Kwako Russia kuivamia nchi nyingine na kufanya mauaji na uharibifu wa kila aina ni sawa ?!. Lazima utakuwa na kasoro kichwani. Nani kampa Russia license ya kuua watu wa mataifa mengine, na kuwapangia lifestyle anayoitaka yeye Russia ?!.
Miaka 25 Urusi anawahubiria wokovu Ukraine hawakushika hata Aya moja wakaendelea kufukia vichwa vyao chini ya mchanga,,,,,acha tuu washikishwe adabu.
USA huko Syria,somalia, Afghan walipovamia kibari nao hawana.
 
Kwako Russia kuivamia nchi nyingine na kufanya mauaji na uharibifu wa kila aina ni sawa ?!. Lazima utakuwa na kasoro kichwani. Nani kampa Russia license ya kuua watu wa mataifa mengine, na kuwapangia lifestyle anayoitaka yeye Russia ?!.
Hauna akili.. Nyerere alivyoivamia Uganda, alifanya ukatili??

Wewe utakua mtoto wa 2000 huna hulijualo.

Basi hata fatilia fatilia historia ilopita na uone DUNIA unaelekea wapi ,na kwann ilikua ni lazima Urusi aingie kijeshi .

Huna akili kiasi kwamba Hujui, NATO ikuongozwa na Marekani waliivamia Serbia nakuipiga na kupata Nchi ya Kosovo

Huna akili kiasi kwamba hata kukumbuka kua NATO waliipiga Libya Kwa faida zao wenyewe ,hukumbuki.
 
Back
Top Bottom