Aisee kumbe Dunia yaenda kasi hivi kwenye mhimili wake...Kweli nchi za Ulaya ikiwemo Germany (Ujerumani) zimefikia hatua ya kutumia kuni kama chanzo cha nishati?! Yaani wanapasua magogo ya kuni na kuziwasha/choma kama bibi yangu anavyofanya kule Lupembe, Njombe vijijini!
Aisee ni jambo la...
Msemo huu hupendwa sana kutumika hasa na watu kanda ya mikoa ya pwani ya bahari. Utasikia hili sio fungu langu, fulani kapewa fulani kanyimwa.
Hizi ni fikra za kimasikini sana za kumfanya mtu anafikia mpaka kuridhika na hali yake na kushindwa kupambana kwa njia tofauti za kufikia malengo yake...
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Fred Matiang’i amesema wananchi wamepewa miezi 18 kubadili Namba za zamani na kuweka mpya ambapo magari Milioni 4.8 yaliyosajiliwa yataingia kwenye utaratibu huo.
Muda huo hautahusisha magari mapya ambayo yatatakiwa kusajiliwa na mfumo mpya wa Number Plates...
Tarehe 25 mwezi Agosti mwaka 2022, Visiwa vya ForThousand, Laos, wavuvi wa huko walivua samaki kwa kutumia nyavu za jadi zilizotengenezwa kwa mbao karibu na maporomoko ya Khone yaliyoko kwenye sehemu ya Mto Mekong.
Mrusi hana hamu na HIMARS, zinamtesa sana hadi leo, zimewapa jeuri Ukraine kiasi cha wao kuanzisha mashambulizi wenyewe tofauti na awali walivyokua wanapambana kuhimili mashambulizi.....
Ukraine appears to have launched a major new offensive against Russian-occupied territory around Kherson, a...
Sijafurahishwa kabisa na huu ubunifu wa watu wa takwimu kutumia jina la Rais na viongozi wengine kuhamasisha sensa.
Mama Ana Makinda ni mtu mashuhuri, angeweza kutumia hata jina lake au maafisa wengine! Kutumia jina la Rais naona kama haijakaa sawa!
Kama iko sawa toa hoja, haya si malumbano ni...
Elimu kama kama zilivyo sekta muhimu kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla,ni muhimu sana.Jamii nyingi na mataifa mengine yameitumia vizuri na wamefanikiwa sana.
Ili elimu yetu iweze kutumika kupunguza tatizo la ajira inapaswa kufanya yafuatayo;
(1)Kabla ya kutoa elimu kwa mtoto inapaswa...
Unaweza kujikwamua au kujiajiri katika ujasiriamali kwa kutumia mtaji kidogo lakini kwq manufaa makubwa
Mfano: Mimi nina bachelor ya masuala ya jinsia katika maendeleo ila bado sijapata ajira serikalini isipokuwa nimejiajiri katika shughuli za uuzaji uji kwa mtaji wa shilingi elf 70000/= kwa...
Habari ndugu wadau.
Mimi nimehesabiwa jana.Lakini nilichokiona kwa karani na taarifa tulizompatia haikuchukua ata dakika 5 na tulikuwa kaya ya watu 9.
Sasa nikajiuliza hii ndo kazi watu wamefanya semina wiki 3 kweli??Hakika sijaamini nilichokiona.
Hii inamaana tungekuwa makini tungetumia ata...
Kwa sasa Urusi inaomba msaada wa wanajeshi kutokea popote, hadi wanafuata hawa wa Korea Kaskazini, sema itabidi kwanza walishwe chakula kama miezi miwili ndio waingie kwenye mapambano North Korea offering 100,000 troops to help defeat Ukraine, Russian state media says...
Habari!
Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza.
Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili umridhishe.
Options ni 2 tu kwasasa.
1. Kutumia rasilimali zetu kama gas, makaa ya mawe, dhahabu, na...
Wasichana wengi hawawezi kubaki gizani kwa muda mrefu na wanataka kujua haraka iwezekanavyo wakati sherehe ya harusi iliyosubiriwa kwa muda mrefu itafanyika. Sayansi ya hesabu inaweza kusaidia na hili, ambayo inakuwezesha kujua tarehe ya harusi ya baadaye kwa tarehe ya kuzaliwa. Wasichana...
Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani, kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna...
Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani.
Kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna...
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetenga sh. trilioni 1.029 kutekeleza miradi ya maji 13 ya kimkakati katika mwaka wa fedha 2022/2023.
Hayo yamesemwa leo Agosti 13,2022 jijini Dodoma na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...
Aibu sana kwa super power ,
Iran has begun training Russian officials to use its advanced drones, according to the Biden administration, the latest sign that Moscow plans to use Tehran’s military weapons to try to seize a new aerial advantage in Ukraine.
CNN
Kwa maelezo ya waziri mkuu mstaafu mhe. Msuya akiwa kwenye kipindi cha dk 45 cha ITV, ni kama amemaanisha kwamba uwepo wa magari mengi mjini au barabarani ni kutokana na hali za maisha kutofanana.
Ni kama vile wanaotumia vyombo hivyo hawaoni tofauti ya kupanda kwa bei. Na kwamba wana hali nzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.