Kuna watu wanadhania kuwa kiongozi mkubwa basi na akili huwa ni nyingi kuliko wengine!
Hii dhana ni mbaya sana kuwamo kichwani mwa yoyote kwasababu Uongozi ni hekima ya kushauriana na waliochini (waliopo site)!
Ifahamike kwamba waliochini ni wengi kuliko kiongozi mmoja!
Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya mawaziri/Viongozi kupinga ghafla maamuzi ya watendaji waliokochini yao pasipo kushauriana.
Hili jambo linaharibu sana ali na nguvu ya ubunifu kwa watendakazi! (Kuvunjika moyo)
Mfano sakata la bodaboda na bajaji mjini;
Waziri Bashungwa na viongozi wengine hawakutakiwa kabisa kuzuia tangazo kwa matamko ya ghafla mtandaoni (Confusion)!
Walitakiwa warudishe mamlaka hayo kwa mamlaka ya jiji/Halmashauri ilala-dsm kwa maboresho au ahilisho ya katazo lao!
Ifahamike kwamba wakurugenzi na wafanya kazi walioko kwenye halmashauri huwa hawakurupuki kufikia maamuzi yoyote!
Hawa watu ndiyo walioko site, wanaona kero ilipo, wanaona malalamiko yalipo, wanaona uharibifu na ajali zilivyo!
Maamuzi yao yanajumuisha vikao mbalimbali vya maamuzi kabla ya hitimisho!
Katazo la bodaboda na bajaji kuingia jijini ILALA-DSM siyo la Jana, lipo tangu enzi za Magufuli.
Bajaji na bodaboda waliruhusiwa kwa vibali maalumu tu ambapo kwa baadhi ya maeneo, bajaji za walemavu tu ndiyo waliopewa kibali cha kufanya kazi mjini ! ( hivyo kiufupi boda na bajaji haijawahi kuruhusiwa tangu zamani mbona hawakuwahi kupiga kelele?)
Hata hivyo kumekuwepo na changamoto nyingi hata kwa hayo makundi yaliyoruhusiwa mjini;
Utitiri na uholela wa bodaboda na bajaji katikati ya jiji umekuwa chanzo kikubwa cha foleni, ajali, matusi na lugha chafu mjini, kuziba njia za watembea kwa miguu, wizi na uporaji kwa kutumia bodaboda!
Madereva wengi wa bodaboda na bajaji wamekuwa hawazingatii sheria za usalama na kuchangia ajali nyingi.
Hata hivyo usalama wa abiria uko mashakani kwa baadhi ya madereva bajaji wenye ulemavu kushindwa kuzimudu bajaji zao katika msongamano!
Hivyo pamoja na mambo mengine ya kuhakikisha jiji linabaki safi na salama bodaboda na bajaji walistahili kuzuiwa ili kupatiwa maelekezo mengine!
MAAMUZI HAYO Huwezi kuyapinga kwa kigezo cha HURUMA! Kwasababu hata wale machinga walio ondolewa wangestahili HURUMA hii isingewezekana!
Kama kuondoa bodaboda mjini ni ishu basi na machinga waliobomolewa vibanda warudishwe tuone kama tutafika kwa mtindo huo!
Viongozi wajitafakali katika matamko ya kupinga maamuzi ya watendaji yanashusha sana ali na molali ya kazi.
Bashungwa na viongozi wengine hawakutakiwa kupinga kwa style hiyo! Wangerudisha maelekezo kwa halmashauri ya jiji ili ione namna kuboresha katazo!