Serikali iikataze Yanga kutumia alama ya Mwenge, inaudhalilisha

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,061
4,055
Serikali ni lazima iikaripie Yanga na kuilazimisha kuondoa alama ya Mwenge kwenye logo ya club hiyo.

Ni aibu, tunasema Mwenge umulike mpaka nje ya mipaka yetu, lakini Yanga wamekuwa wakienda ugenini na kuwaomba wageni wauzime kwa dharau na aibu. Yanga ni club inayogongwa kimasihara kila kukicha.

Licha ya kwamba serikali haitakiwi kuingilia michezo hususani mchezo wa soka, lakini hili la logo, Mwenge ni mali ya serikali. Na aibu ya Mwenge kuzimwa kila siku ni aibu ya taifa zima, basi Yanga waondoe tu Mwenge kwenye logo yao, ili kama ni kuliwa tunda kimasihara, aliwe yule Mandonga na yule dada wa netiboli na sio Mwenge wetu aisee.

Yanga mnatukeraaaaaa!
 
FeI2Tr9XEAImm4t.jpg
 
Yanga msione aibu, wenzenu Polisi Tanzania wamejisalimisha kwa Nabii wa Hatma, Prophet Clear Malisa, wameachana na mambo ya uchawi na uganga.

Najua mliweka mwenge kwenye logo yenu mkiamini mwenge haurogeki, matokeo yake wenyewe mnayaona.

Mnapigwa nda, nje, pembeni, katikati, yaani mnapigika haswa
 
Back
Top Bottom