Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,054
- 7,265
Mtaalamu Albert Einstein kaacha maswali mengi kuliko majibu kupitia Three dimension (3D) theory, Einstein anasema kwamba kitu chochote kinachokwenda katika mwendo kasi kitaloss gravitation na kucover large space at short time.
Na Ndipo hapa suala la space and time linaleta sintofahamu. Ukitumia speed kubwa sana kuikaribia speed ya mwanga kifizikia 3×10^8m/s una uwezo wa kurudi nyuma ya MUDA(TIME).
Anasema basi mwanadamu atakua na uwezo wa kwenda at the PAST (TIME TRAVELER).
Wataalamu wa Anga na fizikia inawezekanaje hili Jambo kwa dunia ya Sasa? Kuna Siri gani?