kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Serikali pigeni marufuku upimaji na ugawaji wa ardhi kutumia futi. Haiakisi mipango miji

    Kuna dhuluma kubwa na utapeli mwingi unatendeka kwenye kipimo cha futi kinachotumiwa katika upimaji na ugawaji kwa wasiojua. Kipimo cha futi ni cha kufikirika tu na zaidi kinatumika kipimo hicho kuficha ukweli halisi wa udogo wa viwanja vinavyotolewa. Kwa mfano, unakuta kiwanja unaambiwa kina...
  2. R

    Hakuna uwezekano wa kutumia satelaiti kudhibiti uhalifu?

    Habari wanajamvi. Hili wazo nimekuwa najiuliza kama Kuna uwezekano wa kutumia satelaiti ( low orbit satellites) ambazo zinaweza kutupa images za kubaini matukio ya uhalifu kutoka angani na kuwabaini wahusika ili kuondokana na haya mambo ya "watu wasiojulikana". Kama tukio limetokea Magali basi...
  3. Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  4. W

    Ni wakati sahihi sasa wa kutumia majina ya Vladimir na Sergei

    Ndiyo, sisi waafrika wenyewe si tumegoma kutumia majina yetu ya asili na kuyakumbatia majina fulani hivi enzi na enzi na sasa waliotukabidhi hayo majina sasa wanatuletea ushoga milangoni mwetu.........it gets nearer siku baada ya siku. Kutokana na hilo, nafikiria ni wakati sasa wa kutumia...
  5. R

    Tanzania Commercial Bank sasa kuna pension/salary advance kwa kutumia TCB POPOTE MOBILE : Kuna madhara yoyote kutumia huduma hiyo hiyo?

    Sasa unaweza kuvuta pesa kutoka kwenye mshshsra wako au pensheni yako mpaka limit waliyoweka. Huduma hiyo imeanzishwa two days back. Je kuna madhara yoyote kutumia huduma hiyo? Haya mambo ya technology yana siri nyingi! Mfano haya makampuni ya simu yanatuibia sana kwa kula bundle eti kuna...
  6. Wanawake washauriwa kutumia Teknolojia katika shughuli zao

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bagamoyo mkoani Pwani, Mohamed Usinga ameagiza Vikundi vya Wanawake wanaliopatiwa mafunzo ya ubunifu na ujasiriamali na kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC, ambayo bado havijapatiwa mikopo katika Halimashauri hiyo vipewe kipaumbele kwanza ili waweze kujikwamua...
  7. Mbeya: Watu wawili washikiliwa kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha za moto

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Fred Nzunda (40) Mkazi wa Nzovwe Mbeya na John Nsemwanya [40] Mkazi wa Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP...
  8. Simba yaizuia Yanga kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa

    Baada ya CAF kutoa maelekezo kuhusiana na mashindano ya Super Cup, uwanja wa Benjamin Mkapa umefungwa isipokuwa kwa mashindano ya kimataifa pekee. Kwa hiyo mashindano mengine yoyote ikiwemo yale ya Ligi ya NBC yataendelea katika viwanja vingine, kwa hiyo Yanga na Simba watalazimika kutumia...
  9. Njia Tano (5) za Kutumia Kuwekeza Kwenye Ardhi/Nyumba Ukiwa na Mtaji Mdogo

    Bahati ya kununua kiwanja/nyumba kwa bei nafuu sana imejengwa kwenye kanuni maalumu. Kwa kanuni hiyo ni lazima uweke juhudi kubwa. Juhudi kubwa ndiyo ndugu wa bahati ya kununua kiwanja au nyumba kwa bei nafuu. Kumekuwa na ongezeko la thamani (bei) ya ardhi kila mwaka kutokana na kutokuwepo kwa...
  10. Vipi nikikwambia unaweza ukatengeneza logo bila kutumia experience yoyote?

    Leo nitakuelekeza jinsi ya kutengeneza logo ya kampuni yako haya ya mtu bila kutumia ujuzi wowote! fuatilia: Unahitaji kuwa na internet connection na smartphone au laptop. 1. Tutamia tool inaitwa chat gpt katika kutengeneza prompts. Kama huna account create hapa...
  11. Je, kuna shida yoyote kutumia outdated OS ya simu?

    Nawasilisha, simu yangu inanidai kui"update" ila nimeona nipotezee kwakuwa nitakutana na vikwazo vya matangazo ya lazima ambayo yatatokana na launcher na Apps zingine ambazo zitahusishwa kwenye process ya ku"update". Ninachoulizia ni kwamba kuna side effect yoyote unapotumia OS ya aimu ambayo...
  12. Komesha harufu kali ya miguu kwa kutumia VODKA

    TIBA MBADALA NA BUJIBUJI Hamna kitu inakera kama kwenda ugenini huku ukijua wazi kabisa kuwa miguu yako inatema chechex hadi moto unaweza kuwaka kwa harufu Kali. Kama unajijua unapitia tatizo hilo hamna noma, Bujibuji's Remedies inafanya kazi kwa ajili yako. Chukua buku mbili yako, ingia...
  13. Kutumia gari yenye plate number za nchi jirani

    Wadau habarini za leo Naomba kujuzwa je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe nmaba kwa kufanya usajili? Ni taratibu zipi zinatumika kutumia gari hiyo hapa nchini? Mana niliwahi kusikia kuwa...
  14. D

    Uthibitisho wa uwepo wa MUNGU bila kutumia vitabu vya dini

    Nimejaribu kuleta mjadala wa kichwa husika hapo juu.tujadili.kwakutumia logic ya kawaida pamoja na laws of nature ilikuonesha uwepo wa Mungu bila kuhusisha kitabu chochote cha dini fuatilia. Kila kitu kilichopo ulimwenguni kina kuwa na opposite yake mfano uongo kuna ukweli giza kuna mwanga...
  15. U

    Hivi ni kweli naweza kuingiza hela kupitia blog bila kutumia Google Adsense?

    Ni kweli kuwa unaweza kuingiza fedha au kujiingizia kipato bila kuwa na Google Adsense.Narudia tena ni ukweli. Baada ya kumaliza masomo ya advance nilizindua kitabu changu cha pili kiitwacho OPEN THE DOORS OF SUCCESS IN YOUR ACADEMICS. Lakini ndoto zangu zilikuwa ni kuwa mwandishi mkubwa wa...
  16. Kanisa la Anglican la Uingereza (Church of England) linajadili kutumia maneno yanayomhusu Mungu yasiyowakilisha jinsia yoyote (gender neutral terms)

    Kanisa la Anglican linajadili uwezekano wa kutokutumia jinsia pale unapotaja Mungu. Yaani mungu sio baba ama mama. Lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha kwamba dini inaendana na muda na wakati wa sasa na dini inakua jumuishi. Dini kua jumuishi ama inclusive ni kutambua haki za mashoga na watu...
  17. Tumpinge Lissu kwa hoja. Kutumia ulemavu wake kama hoja ya kisiasa ni kumwezesha kupata kura za huruma kwa wananchi

    Binafsi sikubaliani kabisa na ushenzi aliofanyiwa Lissu na watu ambao hadi leo hawajajulikana. Lile tukio lilikuwa ovu mno kuwahi kutokea. Mimi naamini katika utawala wa sheria. Kama kuna kosa alifanya basi ilipaswa tu kumfikisha mahakamani na sio kumshindilia marisasi. Kila ninapokumbuka...
  18. Simba waipiga Spana Yanga Instagram kwa kutumia logo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

  19. Sitosahau nilivyojilipua kutumia viagra pamoja na vumbi la Congo

    Kaka yenu shetani kabla sijaoa nikajilipua kwa binti mmoja alikuwa anapenda sana ngono ,basi ile tabia yake ukianza naye siku hiyo mpaka kesho yake. Nikawa na choka ikabidi nimfanyie ukatili ambao urusi na iran ujawai fanywa. Ujana sio mzuri bwana nikapata kibunda changu kipindi cha jakaya bado...
  20. Anza kutumia Nguvu ya Sayansi ya Data

    "Badilisha Biashara Yako kwa Masuluhisho ya Sayansi ya Data " Umuhimu wa Sayansi ya Data nchini. Faida za Kufanya Kazi na Mwanasayansi Maarufu wa Takwimu. Mwongozo wa Kina wa Zana Bora za Sayansi ya Data. Maudhui: Umuhimu wa Sayansi ya Data nchini : Katika ulimwengu wa kisasa wa biashara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…