Kanisa la Anglican la Uingereza (Church of England) linajadili kutumia maneno yanayomhusu Mungu yasiyowakilisha jinsia yoyote (gender neutral terms)

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Kanisa la Anglican linajadili uwezekano wa kutokutumia jinsia pale unapotaja Mungu. Yaani mungu sio baba ama mama.

Lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha kwamba dini inaendana na muda na wakati wa sasa na dini inakua jumuishi. Dini kua jumuishi ama inclusive ni kutambua haki za mashoga na watu waliobadili jinsia kwamba mungu mwenyewe hana jinsia.

20230208_040501.png


=========

The Church of England is considering whether to stop referring to God as “he”, after priests asked to be allowed to use gender-neutral terms instead.

The church said it would launch a new commission on the matter in the spring. Any potential alterations, which would mark a departure from traditional teachings dating back millennia, would have to be approved by synod, the Church’s decision-making body.

The Rt Rev Dr Michael Ipgrave, Bishop of Lichfield and vice-chair of the liturgical commission responsible for the matter, said the church had been “exploring the use of gendered language in relation to God for several years”.

“After some dialogue between the two commissions in this area, a new joint project on gendered language will begin this spring,” he said. “In common with other potential changes to authorised liturgical provision, changing the wording and number of authorised forms of absolution would require a full synodical process for approval.”

The specifics of the project are as yet unclear.

The bishop’s comments came in response to a question asked at synod by the Revd Joanna Stobart, vicar of Ilminster and Whitelackington in Somerset, about the progress on developing “more inclusive language” in services.

It is unclear what would replace the term Our Father in the Lord’s Prayer, the central Christian prayer that Jesus is said to have instructed his followers to say together down the generations.

Conservative critics have hit back at the possibility of changes, with the Rev Dr Ian Paul telling the Telegraph that they would represent an abandonment of the Church’s own doctrine.

He said: “The fact that God is called ‘Father’ can’t be substituted by ‘Mother’ without changing meaning, nor can it be gender-neutralised to ‘Parent’ without loss of meaning.

“Fathers and mothers are not interchangeable but relate to their offspring in different ways.”

A spokesperson for the Church of England said: “This is nothing new. Christians have recognised since ancient times that God is neither male nor female, yet the variety of ways of addressing and describing God found in scripture has not always been reflected in our worship.

 
Watatumia it badala ya he? Hawataweza kwa vile Miungu yote ya dini zote ilitengenezwa na wanaume kiasi cha kumpa jinsia yao ukiondoa wale wa kihindi wenye jinsia ya kike.

Kwangu Mungu hana jinsia wala majestic qualifications kwa vile hana mwili wala jinsi.
 
Tukiwambia watu kwamba hizi dini ni man made, ni hadithi za kutunga hazina maana yoyote watu hawaelewi.

Hizi dini walileta wazungu na wana haki ya kuzibadilisha wanavyotaka.
Na hapo ndio waafrika tuone tulivyo nyanyaswa kwa ujinga na udhaifu wetu hadi kuacha imani zetu za dini.
 
Tukiwambia watu kwamba hizi dini ni man made, ni hadithi za kutunga hazina maana yoyote watu hawaelewi.

Hizi dini walileta wazungu na wana haki ya kuzibadilisha wanavyotaka.
Uzuri ni kwamba hakuna aliyewahi muona mungu,sasa nani anayejua jinsia yake? Dini zote ni man made,ndio mana zimewatenga na kuwanyanyapaa wanawake ili kumpa mwanaume superiority.
 
Tukiwambia watu kwamba hizi dini ni man made, ni hadithi za kutunga hazina maana yoyote watu hawaelewi.

Hizi dini walileta wazungu na wana haki ya kuzibadilisha wanavyotaka.
wapi pameandikwa kuwa wazungu walileta dini?
 
Wanadai kumuita Mungu , Baba ni makosa ya kiteolojia

Ya kwamba Mungu anatakiwa awe katikati asieleweke ni Mwanaume au Mwanamke.

Waanglikana na matawi yake, mjiandaee kipigo hichoooooo kinaingia ,mtajua hamjui , Wazungu tunasema hamna Cha Yesu kukaa mkono wa kiume wa Baba yake 😂😂

Kumbukeni ,Angalikana alijitenga kutoka kwenye ROMAN CATHOLIC , Mara baada ya Roman Catholic kutangaza kua

👉👉"PAPA NI MWANA WA MUNGU"

👉👉Kua Ubatizo sio lazima uwe wa maji mengi hivo Roman ikaanzisha utaratibu wake wa Ubatizo.


Liberal Christians are pushing the Church of England to abolish gendered references to God from scriptures and services, the Telegraph reported on Tuesday. Describing God as a man, they argue, is a “theological misreading.”

The argument was brought up at a sitting of the General Synod – the Church’s lawmaking body – this week. According to the Telegraph, the Reverend Joanna Stobart of Bath and Wells asked the Liturgical Commission what steps were being taken “to develop more inclusive language in our authorized liturgy.”

Stobart said that she wanted more options to “speak of God in a non-gendered way,” and more prayers that didn’t refer to God “using male pronouns.”

The Liturgical Commission is responsible for setting out how church services are conducted, including what kind of language is used during these services. Its vice-chairman, the Bishop of Litchfield, told Stobart that the commission has “been exploring the use of gendered language in relation to God for several years,” and would discuss the matter with the Faith and Order Commission this spring.

However, any change to the Church’s liturgy would require the unanimous approval of the Synod, where there is strong opposition.

“The fact that God is called ‘Father’ can’t be substituted by ‘Mother’ without changing meaning, nor can it be gender-neutralized to ‘Parent’ without loss of meaning,” Rev. Ian Paul, a member of the Church’s Archbishop’s Council, said in response to Stobart’s proposal.

“Fathers and mothers are not interchangeable but relate to their offspring in different ways,” he continued. “If the Liturgical Commission seeks to change this, then in an important way they will be moving the doctrine of the Church away from being grounded in the Scriptures.”

The Church of England differs from the Catholic Church in several key ways: It does not recognize the Pope as the one appointed ‘Vicar of Christ’, it allows clergy to marry, and it permits women to be ordained, all while delegating more authority to individual bishops and ministers. Thus, while orders from the Vatican forbid Catholic priests from blessing same-sex unions, the General Synod of the Church of England is currently preparing for a divisive vote on the matter this week.

While the catechisms of both the Catholic and Anglican churches define God as neither a man nor a woman, both refer to him as male in their liturgy.
 
Religion is a crowd control Spirituality is the personal relationship with the Divine.

Amka mwafrika Achana na dini za kuletewa huitaji kuwa na dini ili umjue Mungu...

By the way Religion is a legalized Scam.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Watatumia it badala ya he? Hawataweza kwa vile Miungu yote ya dini zote ilitengenezwa na wanaume kiasi cha kumpa jinsia yao ukiondoa wale wa kihindi wenye jinsia ya kike. Kwangu Mungu hana jinsia wala majestic qualifications kwa vile hana mwili wala jinsi.
tupia picha ya mungu wako tuione
 
Back
Top Bottom