Je, kuna shida yoyote kutumia outdated OS ya simu?

McCollum

JF-Expert Member
Jan 10, 2023
384
679
images (2).jpeg

Nawasilisha, simu yangu inanidai kui"update" ila nimeona nipotezee kwakuwa nitakutana na vikwazo vya matangazo ya lazima ambayo yatatokana na launcher na Apps zingine ambazo zitahusishwa kwenye process ya ku"update".
images (1).jpeg


Ninachoulizia ni kwamba kuna side effect yoyote unapotumia OS ya aimu ambayo haijawa updated?
 
Shida hipo?
*Security app au os ni rahisi kushambuliwa.
*unakosa vitu vinavoendana na wakati
*fix,bug na error utachezea sana
 
Kuna mwamba ali update samsung utla 20 kitu kama icho camera ya simu ilikua kaliiii ila baada ya kui update camera ilikua kichekesho

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom