Ni wakati sahihi sasa wa kutumia majina ya Vladimir na Sergei

WhoWeBe

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
2,301
4,243
Ndiyo, sisi waafrika wenyewe si tumegoma kutumia majina yetu ya asili na kuyakumbatia majina fulani hivi enzi na enzi na sasa waliotukabidhi hayo majina sasa wanatuletea ushoga milangoni mwetu.........it gets nearer siku baada ya siku.

Kutokana na hilo, nafikiria ni wakati sasa wa kutumia majina ya kishujaa kama Vladimir, Sergei, Xi n.k ili kuondokana na balaa hili.

Nawasilisha!
 
Kwani Ina maana kina Yericko Nyerere au wale warusi wa Buza hakuna hata mmoja mwenye mtoto mwenye majina kama hayo?🤣🤣
 
Tuna majina ya dini tu yaani ya kikristo na kiislam. Majina ya kikomunisti ya kirusi na kichina hatuna na ni magumu kuyatamka
 
Kwani Ina maana kina Yericko Nyerere au wale warusi wa Buza hakuna hata mmoja mwenye mtoto mwenye majina kama hayo?🤣🤣
Hakuna sababu dunia ilikuwa imefichwa mno kuhusu uwepo wa mataifa takatifu na ya kishujaa kama Russia; wengi walikuwa kama nyie tu wamarekani wa kwa mtogole na temeke mikoroshini.
 
Tuna majina ya kiasili yapo reserve. Wakati tunaanza shule tulienda kuandikishwa. Changamoto ikawa ni magumu kutamkwa na kuandikika, ikabidi walimu waturudishe nyumbani tukalete majina ya dini yanayoweza kuandikika na kutamkwa.
 
Hakuna sababu dunia ilikuwa imefichwa mno kuhusu uwepo wa mataifa takatifu na ya kishujaa kama Russia; wengi walikuwa kama nyie tu wamarekani wa kwa mtogole na temeke mikoroshini.

Kwamba huoni sababu za kutumia majina hayo? Tuliwasikia watoto wakiitwa Osama, Saddam nk kwenye zama za nguli hai. Kulikoni enyi warusi wa Buza kutokuonesha fadhila kwa vitendo?
 
Back
Top Bottom