kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC03 Akiba ni kuweka kwanza inayobaki ndio unatumia na sio kutumia inayobaki ndio uweke

    Hii wala haihitaji aya nyingi ili ieleweke, ni maneno machache ya kutufanya tubadili mindset zetu kwenye kuweka akiba. Unapata hela unataka uitumie umalize shida zako ikibaki elfu tano ndio ukaweke kwenye simu, hapo ni marktime tu unapiga, akiba inatakiwa iwe ya kwanza unapopata hela halafu...
  2. Kodi ikatwe kutumia line za simu ili wengi tulipe

    Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi 1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi 2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
  3. Walimu kutumia Vishkwambi ni mpaka wapewe semina na elimu kutoka Wizarani?

    Mbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee! Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote! ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.
  4. Upimaji wa utendaji kazi kwa kutumia OPRAS hauna tija!

    Inashangaza kuona baadhi ya maeneo bado wanatumia opras kama rejea ya utendaji kazi wa watumishi. Ikumbukwe kwamba fomu hizi hujazwa na mtumishi kwa kushirikiana na kiingozi wake. Kwa asilimia kubwa, hakuna uhalisia katika upimaji kwa kutumia hizi fomu
  5. DSTV nimewaheshimu zaidi baada ya kutumia Azam TV

    Sometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana. Nimeteseka Sana na Azam TV, kila nikitaka kubadili kifurushi. Wao wanadai nikitaka kubadili kifurushi...
  6. Serikali kutumia Tsh. Bilioni 35.1 kununua Magari 316 ya Wagonjwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema katika mwaka wa fedha wa 2022/2023, Serikali imetenga shilingi Bilioni 35.1 kwa ajili ya ununuzi wa magari 316 ya kubeba wagonjwa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Dkt. Dugange amesema...
  7. Wakuu naombeni msaada juu ya kuagiza Alibaba, bila kutumia njia zao za usafiri

    Nimekuwa nikiagiza mizigo AliExpress kwa muda Sasa ,, nataka tumia alibaba kwa baadhi ya mizigo Nimechat na seller kanitumia link na nili inquiry logistics company akanipa cheapest Ni Dola 30USD Njia za Alibaba zinaonekana Ni fast Sana Ila Zina Bei Sana Nasikia Kuna silent ocean nisaidieni...
  8. Ofisi ya Rais Ikulu kutumia Tsh. Trilioni 1.1 mwaka 2023/24

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewasilisha Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.1 kutoka Ofisi ya Rais na kufafanua matumizi yake ambapo Ofisi ya Rais Ikulu itatumia Tsh. Bil. 32, Sekretarieti ya Baraza la Mawaziri Tsh. Bil. 678.19 za Matumzi ya...
  9. Nafasi za kazi vijana wawili form four na wanojua kutumia computer

    NAFASI ZA KAZI Posts: 2 -Elimu kuanzia form four -Uwe unajua kutumia computer, nb kama hujui computer usiombe plz -Ukiwa na certificate ya computer ni kigezo cha nyongeza -Kama una degree au diploma hatukuhitaji usiombe plz -Location ya kazi ni Dar es salaam -Jinsia ya kiume tu -Umri...
  10. Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D

    JE Unapenda Kujifunza Cinema 4D au Blender? ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D. Mwezi sasa toka nianze kujifunza Animation kwa kutumia Cinema 4D na Blender. Week hii nmefanya kazi moja ya kutangaza bidhaa ya mteja kwa kumdizainia flyer, logo na Motion graphic ya bidhaa yake...
  11. C

    Je, kuna Madhara yoyote ya kiafya ,Mtu anayoweza kupata kwa kutumia "Margarine"

    Naomba kufahamishwa kama kuna madhara yoyote
  12. Serikali Kutumia Trilioni 6.7 Kusambaza Umeme Kwenye Vitongoji

    SERIKALI KUTUMIA TRILIONI 6.7 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI Na Timotheo Mathayo, Dodoma. Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali imetenga fedha shilingi Trilioni 6.7 kwa ajili ya miradi ya kusambaza umeme kwenye Vitongoji 36,101 hapa nchini ambavyo havijapata huduma ya umeme...
  13. J

    Serikali: Katazo la kutumia Kuni na Mkaa kuanzia Januari 2024 linahusu Taasisi zinazolisha zaidi ya Watu 100 na sio Watu wote

    Msemaji mkuu wa Serikal Gerson Msigwa amesema Katazo la kutumia Kuni na Mkaa kuanzia January linahusu Taasisi zinazolisha zaidi ya Watu 100 na siyo Watu wote. Awali Waziri wa Mazingira Dr Jaffo alisema kuanzia January 2024 itakuwa ni marufuku mtu yoyote kutumia kuni na Mkaa kama nishati ya...
  14. Serikali Kutumia Trilioni 6.7 Kusambaza Umeme Kwenye Vitongoji

    SERIKALI KUTUMIA TRILIONI 6.7 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema Serikali imetenga kiasi cha shilingi Trilioni 6.7 kwa ajili ya miradi ya kusambaza umeme kwenye Vitongoji 36,101 hapa nchini ambavyo havijapata huduma umeme. Makamba amesema hayo...
  15. Serikali: Januari 31, 2025 ni mwisho wa kutumia mkaa na kuni

    Deadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo. Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni. Aidha Serikali imesema inataka kufikia 2030 Asilimia 80% ya Watanzania wote wawe wanatumia Nishati safi ya kupikia. Pia soma...
  16. T

    Serikali iache kutumia faini za barabarani kama chanzo Cha mapato kwenye bajeti

    Kwa kipindi hiki Cha bajeti serikali Ijiepushe na kutumia faini za barabarani kama mojawapo ya vyanzo vya mapato. Nakumbuka hii iliwahi kujadiriwa bungeni lakini mpaka sasa hivi bado kuna tetesi kuwa serikali inapohitaji hela ya ziada huwabana trafiki wa barabarani kutumia nguvu nyingi kukusanya...
  17. Ni aibu, uchanga, na kukosa weledi kwa wapinzani 'kushadadia' na kutumia taarifa ya CAG kuikosoa Serikali

    Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali. Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia...
  18. Ushuhuda baada ya Utafiti: Acheni kuwatongoza wanawake kwa kutumia simu (kuchat), watongozeni uso kwa uso

    Niko fasta kidogo leo, nitaenda kwenye mada. Vijana mnakosa mbususu za bure kwa kukosa maarifa, kaka yenu nawapa somo leo baada ya utafiti usio rasmi nliofanya kwa muda mrefu. Usitongoze mwanamke kwa simu unampa muda wa kukujudge sana, wewe panga siku baada ya salamu za hapa na pale. Hio siku...
  19. Yanga yajaribu kutumia njia za uani kuingia CAF Super League

    Wakati timu zitakazoshiriki duru la kwanza la mashindano mapya ya CAF linajulikana, na zimechaguliwa kutokana na ubora wake wa miaka ya hivi karibuni, katika hali ya kushangaza, timu ya Yanga kupitia kwa serikali imewapigia magoti CAF kuomba ipewe nafasi pia ya kushiriki mashindano hayo...
  20. L

    Marekani inavuna ilichopanda kufuatia kuibuka kwa wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola

    Siku hizi, wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola ya kimarekani “dedollarization” limeibuka kila pembe ya dunia. Kutoka India, Brazil hadi China na Russia, kulingana na takwimu zisizokamilika, hivi sasa kuna zaidi ya nchi 60 ambazo zinachukua hatua za kuacha kutumia dola kwa njia mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…