Aliyewahi kutumia modem hii anisaidie

Mgalula MzTz

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
438
401
Nahitaji kutumia modem hii lkn sioni card slot zaidi ya memory card slot.
Kwa anayejua namna ya kuitumia, anisaidie maelekezo, waungwana.
IMG_20231109_143702.jpg

IMG_20231109_143752.jpg
 
Unauhakika hiyo modem? Hiyo ni wif recever inafanya kazi as modem ,pale kunqpokuwa na wif network na dashboard yake unq download unq install kwenye pvlc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom