kutokana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Biashara zinanzoelekea kupotea kutokana na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia

    (1) Biashara ya kuunza Magazeti Hii ni biashara ambayo imewatoa watu wengi sana kama akina ERICK SHIGONGO mf. gazeti lake la ijumaa,Sun etc. But now days watu weng wanapata habari kupitia kwenye simu, TV etc. Mfano akina MIllard Ayo etc. (2) Biashara ya kuunza mafuta ya taa Hii ni biashara...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Mkataba haufai hata kuwa 'toilet paper'

    Mwabukusi amesema huu mkataba haukuwa wa ghalfa, walikuwa nao wameuficha, na walivyoupeleka bungeni waliulizwa dharura imetoka wapi wakati wamekaa nao kwa miezi tisa na kusema kwamba yeye alitumia dakika tano tu kuutazama mkataba huo na kusema haufai hata kuwa toilet paper. Akisema kuwa haamini...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wakipitia kurasa zako za mitandao ya kijamii wakati wa usaili utapata kazi?

    Wakuu, Kama tunavyojua na kama ulikua hujui basi uliweke akilini kuanzia leo, unachoweka mtandaoni hakifutiki, utasema nimedelete hakipo tena lakini ukweli ni kwamba kipo na kurudishwa ni sekunde tu. Hivyo ni muhumu kuchukua tahadhari unapokuwa mtandauni, kichani ukumbuke kila unachofanya...
  4. JamiiForums Tanzania Wanafunzi waacha shule na kwenda kufanya kazi za ndani kutokana na michango kuwa mingi mashuleni

    Baadhi ya wanafunzi wanaosoma Shule za Serikali za Kata wameshindwa kuendelea na masomo na kuacha shule kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni utitiri wa michango mashuleni. Moja ya shule kati ya nyingi zilizopo Jijini Arusha ni Sekondari ya Lemara iliyopo katika Kata ya Lemara kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma: Wananchi wanakosa imani kwa Serikali kutokana na matumizi yasiyoeleweka

    Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) imewafungia baadhi ya wazabuni ambao wamekuwa wakikikiuka mikataba ya ununuzi, kujihusisha na vitendo kinyume na maadili ya sheria za ununuzi wa umma. Ukosefu wa uwazi katika mchakato wa ununuuzi wa umma kunasababisha changamoto za upatikanaji wa...
  6. JamiiForums Tanzania Miji 15 nchini Italia yawekwa kwenye tahadhari kutokana na wimbi la joto kali

    Hali ya joto nchini Italia inatarajiwa kuongezeka kwa nyuzijoto 12C (53.6F) zaidi ya wastani. Utabiri wa siku ya Jumamosi kwa JIji la Roma unaonesha kuwa halo iko katika nyuzijoto 37C (98.6F), na 43C (109.4F) siku ya Jumapili. “Italia, Uhispania, Ufaransa, Ujerumani na Poland zote...
  7. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Airlines yaingiza Tsh. 164,340,701 kwa kusafirisha Maiti kila wiki

    Shirika la ndege la Uganda limeripoti kuongeza mapato kwa kuingiza zaidi ya Dola 67,137 kutokana na kusafirisha maiti za raia wa Uganda kurejea nyumbani tangu kuanza kwa safari zake takriban miaka miwili iliyopita. Kwa mujibu wa Meneja wa Mizigo wa Shirika la Ndege la Uganda Bw Morris Ongwech...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali imepoteza Tsh. bilioni 1,494.75 kutokana na rushwa, ubadhirifu, na udanganyifu

    Kupoteza mamilioni ya shilingi katika mifumo ya ukusanyaji wa mapato ni janga la kitaifa. Inaonekana kuwa Serikali yetu imepoteza shilingi bilioni 1,494.75 kutokana na vitendo vya rushwa, ubadhirifu, na udanganyifu. Hii ni idadi kubwa sana ya pesa ambayo ingeweza kutumiwa kuboresha huduma za...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI Ofisi ya CCM Kinondoni yavunjwa na Wananchi kisa Mkataba wa DP World

    Mdau wa JamiiForums ameweka Chapisho lenye kichwa cha habari "CCM kimeanza kuumana" akimaanisha kuwa hali imeanza kubadilika kwenye Chama cha Mapinduzi baada ya Serikali inayoongozwa na Chama hicho kusaini Mkataba na kampuni ya DP World kuhusu uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es Salaam. Hali hii...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nini kauli ya Mahakama kama Muhimili kwa kauli ya Rostam Aziz kuidhalilisha mahakama ya Kisutu?

    Rostom Aziz amesema hakuna mwekezaji atawekeza kwenye nchi ambayo kesi ikipelekwa hapo Kisutu kiongozi yoyote anaweza kupiga simu akaielekeza mahakama nini cha kufanya. Na kwamba mahakama zetu hazina uwezo wa kusikiliza kesi za kimataifa hivyo lazima tuzipeleke huko nje. Je, kauli hizi...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali inatakiwa kuelewa kwamba watanzania tunapinga mkataba kutokana na masharti yake

    Utetezi umekua mwingi ambao unatafuta visingizio na si kujibu hoja, masharti ya mkataba ndiyo yanapingwa sasa serikali ikija na mkataba ambao haupo juu ya sheria za nchi tunaweza tukaelewana, alafu pia hii ngoma ndo kwanza mbichi msidhani tutasahau hata mkimwambia Diamond amlete fantana bongo.
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Ipo siku wazazi wangu watanyanyua vichwa vyao na kutizama mbingu kwa furaha watasema "ahsante sana Mungu kwa kutupatia mtoto huyu"

    UTANGULIZI Andiko hili ni maalum kwa vijana wote wapambanaji wenye ndoto ya kurejesha, amani, furaha ya familia iliyopotea, dhiaka, dharau na kulipa madeni wazazi wetu waliyokopa pindi wanatuhangaikia. Ungana nami kwa kusoma nilichokiandika ukivutiwa nacho naomba usapoti andiko hili kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Waandaaji wa Tamasha la Boyz II Men kuchukuliwa hatua kutokana na show mbovu

    Shirikisho la Watumiji Huduma la Kenya (COFEK) limetangaza kuchukua uamuzi baada ya kupokea malalamiko ya mashabiki walioonesha kutoridhishwa na kiwango cha tamasha hilo linalotajwa kukumbwa na hali ya mvua pamoja na sauti mbovu ya muziki. Baadhi ya Mashabiki wametaka kuombwa radhi na waandaaji...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna mkataba wowote ambao umeshasainiwa kati ya TPA na DP WORLD

    Hadi muda huu, hakuna mkataba wowote ambao umeshasainiwa kati ya TPA na DP WORLD Vile vile hakuna mkataba uliosainiwa kati ya nchi yetu na Dubai, isipokuwa kilichosainiwa ni AGREEMENT kati ya Tanzania na Dubai; kwa Dubai kuwekeza kwenye sekta ya Bandari NOT ALL AGREEMENTS ARE CONTRACTS, BUT...
  15. JamiiForums Tanzania Senegal: Idadi ya Waliofariki kutokana na maandamano yafika 15

    Hali ya wasiwasi imeendelea baada ya mapigano mapya ya muda wote wa usiku ndani ya siku mbili tangu Mahakama imhukumu kiongozi wa upinzani, Ousmane Sonko (48) ambaye amehukumiwa kwenda jela miaka miwili. Sakata hilo la Sonko limesababisha Nchi Washirika kutuma ujumbe wa kusikitishwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Nikikutana na shabiki anayesema Yanga SC imefungwa kutokana na Mvua namzaba Keleb ( Kofi )

    Kwahiyo hiyo Mvua kwa dakika zote 90 na zile dakika 10 za Kubebwa ( Kutafutiwa Goli ) ilikuwa ikinyesha upande wa Yanga SC tu ( kwa Wachezaji Wao ) na kwa Klabu ya USM Alger kulikuwa na Jua linawaka ndiyo maana Wakawafunga na Wakashinda? Poleni na leo nina Furaha isiyoelezeka.
  17. JamiiForums Tanzania Kuna tishio la kituo cha yatima Ilemela mbioni kufungwa kutokana na Sherali Husein kukishtaki mahakamani kituo akidai alipwe fidia ya milioni mia moja

    KUNA TISHIO LA KITUO CHA YATIMA ILEMELA MBIONI KUFUNGWA KUTOKANA NA SHERALI HUSEIN KUKISHTAKI MAHAKANI KITUO AKIDAI ALIPWE FIDIA YA MILIONI MIA MOJA Hofu imetanda jijini Mwanza miongoni Mwa waislamu kutokana na Sherali na Ndugu yake BIM kuapa na kutamba Kwamba WAtakifunga kituo cha YATIMA...
  18. JamiiForums Tanzania Tutumie njia hii kutumia muda vizuri

    I wanna say ni kwamba kama una wanawake wengi lets say 4+ Unaweza unda group la WhatsApp ili uwe unawatumia Taarifa kwa Pamoja ili kuokoa Muda. Badala ya kupoteza Muda kuchart na kila mtu u may send a single messages to wish them Goodnight or Good morning at once.
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mafuta yatarajiwa kupanda bei kutokana na Muswada Mpya wa Fedha

    Wakenya wanatarajiwa kuongezewa bei ya mafuta kwa zaidi ya Ksh.10 iwapo Muswada wa Fedha ya 2023 utapata idhini kutoka bungeni. Muswada huo ambao sasa uko mbele ya Kamati ya Fedha na Mpango wa Kitaifa inataka kubadilisha uamuzi uliofanywa mwaka wa 2018, ambapo VAT kwa mafuta ilipunguzwa hadi 8%...
  20. JamiiForums Tanzania Athari zinazoweza kujitokeza kutokana na ugonjwa wa Homa ya mapafu kwa Mtoto

    Mtoto mwenye homa ya mapafu (pneumonia) ambayo haijatibiwa inaweza kusababisha jipu kwenye mapafu (Abscess formation), utiririshaji wa usaha au maji kwenye mapafu (empyema), kuanguka kwa mapafu (atelectasis) ambapo hutokea wakati hewa inatoka kwenye mapafu, kisha hewa hujaza nafasi nje ya pafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…