Athari zinazoweza kujitokeza kutokana na ugonjwa wa Homa ya mapafu kwa Mtoto

OCC Doctors

Senior Member
Jul 20, 2018
104
151
Mtoto mwenye homa ya mapafu (pneumonia) ambayo haijatibiwa inaweza kusababisha jipu kwenye mapafu (Abscess formation), utiririshaji wa usaha au maji kwenye mapafu (empyema), kuanguka kwa mapafu (atelectasis) ambapo hutokea wakati hewa inatoka kwenye mapafu, kisha hewa hujaza nafasi nje ya pafu kati ya pafu na ukuta wa kifua (Pneumothorax), kuharibika kwa bomba za hewa (Bronchiectasis), moyo kushindwa kusukuma damu ipasavyo (Cardiac failure), mchafuko wa damu na Ugonjwa wa Uti wa mgongo (Meningitis).

345605738_527637576046799_53653627813111072_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom