Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma: Wananchi wanakosa imani kwa Serikali kutokana na matumizi yasiyoeleweka

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) imewafungia baadhi ya wazabuni ambao wamekuwa wakikikiuka mikataba ya ununuzi, kujihusisha na vitendo kinyume na maadili ya sheria za ununuzi wa umma.

Ukosefu wa uwazi katika mchakato wa ununuuzi wa umma kunasababisha changamoto za upatikanaji wa taarifa za zabuni, thamani ya mkataba na kusababisha ukosefu na uaminifu na imani kwa taasisi za umma pia hata wananchi wanakosa imani kwa serikali kutokana na matumizi yasiyoeleweka

maswi.jpg

Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA), Eliakim Maswi​
 
Back
Top Bottom