Hakuna mkataba wowote ambao umeshasainiwa kati ya TPA na DP WORLD

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
10,330
6,851
Hadi muda huu, hakuna mkataba wowote ambao umeshasainiwa kati ya TPA na DP WORLD

  • Vile vile hakuna mkataba uliosainiwa kati ya nchi yetu na Dubai, isipokuwa kilichosainiwa ni AGREEMENT kati ya Tanzania na Dubai; kwa Dubai kuwekeza kwenye sekta ya Bandari
  • NOT ALL AGREEMENTS ARE CONTRACTS, BUT ALL CONTRACTS ARE AGREEMENTS

Kwa hiyo kilichopo mpaka muda huu, ni AGREEMENT ambayo SIYO CONTRACT, kati ya nchi hizi mbili na si kati ya DP WORLD na TPA

AGREEMENT HII KATI YA NCHI HIZI NDIYO ILE AMBAYO HAPO BAADAYE, ITAKUJA KUZAA MIKATABA KATI YA TPA NA DP WORLD; AU INAWEZA HATA ISIZAE MKATABA KAMA WAKISHINDWA KUKUBALIANA TERMS ZAO

Kwa hiyo kwa muda huu, hakuna CONTRACT WALA AGREEMENT kati ya DP WORLD na TPA, isipokuwa AGREEMENT inayowaunganisha hawa wawili kwa sasa ni ile ya nchi zao tu na si vinginevyo

Mchango wa Mh MDEE ulikuwa unaonyesha kuchanganya mambo haya mawili

A contract is an agreement, but an agreement is not always a contract.

An agreement can be informal or it may be written; a contract may be verbal or written, but a contract will always be enforceable if it contains certain requirements

Agreements vs. contracts: The same, but different

An agreement is a prelude to a contract. The “meeting of minds” that defines both an agreement and a contract is an essential part of both. One of the valid reasons to cancel a contract is a mutual mistake. This can occur when—despite both parties believing they agree on a fact or clause—one or both of them are wrong.

Both an agreement and a contract require that the parties be on the same page when it comes to who is doing what, who gets what in return, and when any necessary actions will take place. Both agreements and contracts are recognized to be arrangements between two or more parties to perform certain responsibilities.

The critical difference is that contracts are recognized as legally enforceable promises to perform. Some agreements—such as clickwrap agreements—have been held to be legally enforceable, but those agreements must have certain legal terminology that indicates the parties’ intent to enter into a binding agreement.
 
Ivi kumbe Kuna nchi inaitwa Dubai?
Nchi ni UAE NA SIYO DUBAI

ILE NI AGREEMENT SAWA SASA JE SO SEHEMU YA MKATABA ???
THIS IS A FOUNDATION OF ALL CONTRACTS

MIMI SI MWANASHERIA ILA HAKUNA MKATABA UTAKAO KUWA NJE YA HUU AU HII AGREEMENT
 
The Agreement is not enforceaable by law, kiasi kwamba either party (TPA (Tanzania) or DP WORLD (DUBAI)), inaweza ikaamua kutoridhia mkataba wowote na mwenzake na pasipokuwa na case yoyote ya kupeleka mahakamani

DUBAI ni mji wa nchi iliyo kwenye Muungano wa Falme za Kiarabu. Mbali na hilo, Djibout vile vile ni nchi iliyo bara la Afrika na mji wake mkuuu unaitwa Djibout

Tafadhali tunaomba Mh. Msigwa wiki hii atoe ufafanuzi kwa watanzania kuhusiana na swala hili ili waweze kuelewa.

Hii statement
"NOT ALL AGREEMENTS ARE CONTRACTS, BUT ALL CONTRACTS ARE AGREEMENTS"
bado inaendelea kuwanyanyasa Watanzania kuanzia Bungeni hadi uraiani
 
Back
Top Bottom