kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Makusanyo ya Kodi kupanda kutoka trilioni 1.2, mpaka trilioni 2 awamu ya 6, ni nani hawa walikuwa wanakwepa Kodi ya bilioni 800 Kila mwezi?

    Samia Suluhu Hassan katika makusanyo ya Kodi, amepanda kutoka trilioni 1.2 mpaka trilioni 2, swali la kujiuliza, hii Kodi ya bilioni 800 nani alikuwa anakwepa kuilipa? Na je akibanwa? Tunatarajia hatapiga au hawatapiga yowe? Piga hesabu bilioni 800 zilikuwa haziingii hazina zikajenge...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi, Ikulu Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El Sisi uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambae pia ni Waziri anaeshughulikia masuala ya Nyumba Mhe. Hassem El Gazzar mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar...
  3. JamiiForums Tanzania Dar iko chini ya amri kutoka ngome ya Wahehe Iringa

    Wadau nipo hapa nimetulia nikasema niwachokoze kidogo Dar sasa hivi ipo chini ya himaya ya wahehe baada ya chalamila kuwa mkuuu wa mkoa wahehe wanajidai sana nimeona kwenye magroup yao WhatsApp. Kwa sasa kwenye ulingo wa siasa kutoka iringa anawika sana ni chalamila hivyo ngome...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Watalii kutoka China wahimiza maendeleo ya sekta ya utalii Tanzania

    Muda mfupi baada ya serikali ya China kuondoa kizuizi cha mwisho cha hatua za kupambana na janga la COVID-19, wachina walianza kusafiri kwenda katika nchi mbalimbali duniani. Mwishoni mwa mwezi Aprili kundi la watalii 28 kutoka China, lilikuwa ni moja kati ya makundi ya mwanzo kusafiri kwenye...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa utambuzi wa kitabu kutoka kwa java developer

    Kwa mtu aliesoma kitabu hicho chini naomba title. Nimekiokota mtandaoni chapter moja tu, hakina title book. Nimevutiwa nacho ninahitaji title na mwaandishi ili niweze kukidownload. Thanks
  6. JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Ipe maneno picha hii

  7. JamiiForums Tanzania Ni Tabia gani unazo na ungependa Watoto wako warithi kutoka kwako?

    Tukiacha na mali ulizonazo, ni tabia gani ambazo unazo ungependa wanao warithi kutoka kwako? Ni tabia gani ambayo unayo unaisi wanao wakiwa nayo itawasaidia sana kwenye maisha yao? Mimi kwa upande wangu ningependa warithi, (UTU) hii kitu kwa upande wangu ninahisi ninayo sana vingine waachane...
  8. JamiiForums Tanzania Haya ndio maisha ya Marehemu Diego Maradona aliewahi kuwa mwanasoka Nguli kutoka Argentina,

    Ni moja kati ya wanasoka nguli waliowahi kutikisa ulimwengu wa soka zama zake, Fatilia mkasa wake.. Part 1:: Diego alizaliwa sehemu masikini alishindwa kuweza hata kumudu nauli ya kwenda kufanya majaribio ya kujiunga na academy, Rafiki yake anampigia connection ili apate nauli: WHILE THIS...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali Kupunguza Gharama za Kusafisha Figo Kutoka 350,000 hadi Kati ya 90,000-150,000

    Serikali imedhamiria kupunguza gharama za kusafisha figo kutoka Shilingi 350,000 mpaka Shilingi 90,000 hadi 150,000 kwa lengo la kuwapunguzia wananchi mzigo wa gharama za matibabu hasa kwa wenye vipato vya chini. Taarifa hizo zimetolewa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Wizara ya...
  10. JamiiForums Tanzania USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

    Natumaini wazima Naomba niwashirikishe hili jambo linanisumbua sana Miaka ya nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tulikuwa tunapendana sana,nilikuwa Niko chuo nae alikuwa anafnya kazi kwenye private sector tulivumiliana baadae nikamaliza nae akapata kazi serikalini tukaanza kuweka...
  11. JamiiForums Tanzania Mabomba kwa ajili ya Upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria kutoka Bomba Kuu kwenda Igunga

    📍 Igunga, Tabora IGUNGA: TUTAFIKA MWAKA 2025 TUKIWA TUMEMTUA MAMA NDOO KICHWANI Mabomba kwa ajili ya Upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria kutoka Bomba Kuu kwenda Vijiji na Vitongoji vya Kata za Mwamashiga, Mbutu, Isakamaliwa, Kining'inila, Mwamakona, Igurubi na Kinungu. Mradi wenye...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwanaume mmoja aokolewa kutoka kwenye kifusi miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi nchini Uturuki

    Picha moja iliyosambaa mtandaoni – ikiwemo hapa JamiiForums – inamuonesha mwanaume mmoja akiwa katika hali mbaya ya kiafya. Maelezo katika picha hiyo yameandikwa kwa lugha ya Kiarabu yakieleza: “Kutoka tetemeko la ardhi la Februari 6, leo ametolewa chini ya vifusi huko Antakya, Uturuki hai na...
  13. JamiiForums Tanzania Dar: Barabara ya kwenda Mbopo kupitia Madale Mikoroshini, Bwawani hadi Panga Boy ni mbovu

    Barabara ya kwenda Mbopo kupitia Madale Mikoroshini, Bwawani hadi Panga Boy ni mbaya, kipande cha kutoka Panga Boy hadi Mbopo kiasi fulani imerekebishwa. Wananchi waiomba Serikali iwatazame kwa jicho la Huruma. Awali kuna mtu alilalamika mtandaoni kwa kuandika: “Tunaomba mtusaidie Barabara ya...
  14. JamiiForums Tanzania Picha za kibao cha Kumbukumbu ya Merehemu, extract kutoka Uzi wa "Chanzo cha mabasi ya No Challenge kuitwa Tashrif

    Juzi kati nilivutiwa na thread hii ambayo pia nilikuta ikisambaa kwenye magroup mengi ya Whatsapp including Yale ya Sekondari. Thread yenyewe hii hapa https://www.jamiiforums.com/threads/chanzo-cha-mabasi-ya-no-challenge-kuitwa-tashriff.2092924/#post-46290142 Nakumbuka nilikomenti kwenye Ile...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Festo Aibana Wizara ya Maji Kupeleka Maji katika Mji wa Mpanda na Mkoa wa Katavi, Kigoma na Rukwa Kutoka Ziwa Tanganyika

    MBUNGE MARTHA FESTO AIBANA WIZARA YA MAJI KUPELEKA MAJI MPANDA NA KATAVI KUTOKA ZIWA TANGANYIKA "Sisi Wananchi wa Mji wa Mpanda, Mkoa wa Katavi tuna changamoto kubwa sana ya Maji ukizingatia Mji wa Mpanda ni Mji unaokua kwa kasi na kuwa na ongezeko kubwa sana la watu. Mji wa Mpanda Serikali...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini

    Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini, Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni. Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha, Jina la raia huyu ni Elva Johansson. Na kazi yake ni WAZIRI WA...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna safari za boat kutoka Dar mpaka Tanga?

    Wakubwa bila kuongeza maneno mengi, mwenye majibu tafadhali
  18. JamiiForums Tanzania Makombora ya kutoka Gaza sasa yafika Telavivi

    Katika wiki hii peke yake jumla ya wapalestina 24 wameshauliwa huko Gaza na ukanda wa magharibi kutokana na mashambulizi mazito kutoka ndege za Israel.Chanzo cha mashambulizi hayo si kitu cha kutafitiwa kwani mataifa ya Palestina na Israel huwa daima yako vitani. Kwa kujua wapalestina wote...
  19. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Karibu ununue Mchele, Mahindi na mazao mengine kutoka Mbeya

    Hello there ! Niko Mbeya, katika Uzi huu ntakuwa naweka bei za vyakula Mbalimbali kutoka Mbeya, kama mtu unataka utawasiliana Na Mimi,makubaliano yatakuwa hivi, mi nitaweza kukuagizia Kuanzia kilo ishirini, mfano Mchele au maharage Ikiwa utaagiza kilo ishirini za Mchele, katika Kila kilo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Agent from Turkey To Tanzania

    Wakuu..naomba kujua freight forwarder wa kulete mizigo kutoka Uturuki mpaka Tanzania. Wawe waaminifu na gharama nafuu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…