Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.
Katika mwezi Oktoba pekee mauzo ya gesi ya Urusi yamepanda kwa asilimia 1.1 kutoka 4.3 ya kabla yake.
Wateja wakubwa wa gesi ya Urusi ni mataifa ya Ulaya karibu yote. Katika kuiunga mkono Ukraine mataifa hayo isipokuwa Bulgaria yaliamua kutonunua gesi ya Urusi inayotiririka kwenye mtandao mpana...
Wakuu nimejaribu kuwaza kiusalama zaidi. Mungu si athmani hii iliyoanguka na kuchukua muda mrefu kuokolewa kama ingekuwa ni ndege ya kivita kutoka kwa maadui wetu jirani. Kwa mfano lakini.
Ingechukua muda gani kukabiriana na adui huyo?
How fast is our rapid response teams for any aspect of...
Taarifa ya Kamishna Mkuu wa Ufaransa Nabil Hajlaoui inasema timu kutoka Ofisi ya Uchunguzi na Uchambuzi wa Usalama wa Usafiri wa Anga ya Ufaransa itasaidia katika uchunguzi wa ajali hiyo.
Tayari timu nyingine ya washauri wa kiufundi kutoka kampuni ya Franco-Italia, ATR, imewasili nchini...
Howdy,
Wakuu hivi tuseme ule ukweli, kibongobongo ni aina ya biashara ipi rahisi kutusua kati ya uzalishaji, uchuuzi(ulanguzi) au udalali? By kutusua simaanishi Levo za kina Mo na bakhresa.
Namaanisha zile level za kujisustain middle income, nyumba kali ila sio mansion, ndinga kali ila siyo...
Kuna hizi windows za kudownload kutoka mitandaoni hususan kwenye torrents huwa zimekuwa cracked, pre activated na nyingine zipo modded
Ndizo windows ambazo wengi hutumia hapa bongo sababu kuu ni kukwepa gharama ya window original, bei imechangamka inafikia takribani laki 3, hata baadhi ya ofisi...
Peace be upon you all,
Aise waTanzania ni watu washamba sana sana kabisa. Mwanzo nilidhani ni watumishi pekee wenye huu ushamba ila nimebaini ni watu wengi wa sekta zote.
Yani unakuta watu wamekwenda semina fulani alafu muda wa kutoka wamebebelea vimaji vya mia tano hako kakopo atakabeba njia...
Wanasayansi wanasema kwamba aina vamizi ya mbu anayeeneza malaria kutoka Asia imeenea hadi Afrika, ambako ni tishio hasa kwa wakazi wa mijini.
Barani Afrika, ambapo vifo vingi vya Malaria duniani hutokea, ugonjwa huu huenezwa zaidi na mbu maalumu kwa maeneo ya vijijini.
Lakini aina ya mbu wa...
Halafu Morocco ni Waarabu kiaina, ukizingatia namna ambavyo tunapenda kuponda Wazungu na ambavyo Waafrika wanateseka wakijaribu kuingia uzunguni, vijana kama hawa kwenye hii video wanafikirisha sana, nguvu kazi tena vijana barubaru!
"Nchi zingine zote Vilabu vyao vikiwa vinashiriki Michuano ya Kimataifa huwa hawachezi Ligi Kuu zao mpaka wazimalize ila kwa hapa Tanzania ni kinyume hivyo sijui Kesho itakuwaje kwani tuna Majeruhi wengi muhimu Kikosini" Nasredinne Nabi Kocha Mkuu wa Yanga SC.
Chanzo: Spoti Leo ya Radio One...
Mfanyabiashara na mkazi wa Tabata Mawenzi, Mohamed Masoli (34) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu, akikabiliwa na shtaka moja la usafirishaji haramu wa binadamu.
Masoli amefikishwa mahakamani leo, Oktoba 31, 2022 na kusomewa shitaka lake na wakili wa Serikali, Caroline Materu...
"Njombe mkulima analima heka moja ya viazi mviringo, anavuna gunia 206 anauza elfu 40 anapata milioni 8, amewekeza milioni, sasa uzalishaji wenye tija upo Njombe" - Anthony Mtaka, Mkuu wa mkoa wa Njombe.
Chanzo: EastAfricaTelevision
Tafadhali hebu tuacheni kwa sasa!!!
Inasemekana meli za chakula hazipeleki kunako stahili bali huchepuka na kupeleka chakula hicho kwenye nchi za Ulaya.
Sasa kawabania gas na tena anawabania chakula hasa ngano.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Poland imetoa orodha ya fidia ambazo taifa hilo linatafuta kutoka kwa Ujerumani kwa hasara inayoonekana na isiyoonekana iliyopata wakati wa Vita vya Kidunia vya pili.
Yaliyomo katika agizo la ulipaji fidia la Poland lililotumwa Berlin mapema mwezi huu yaliwekwa wazi...
Kweli mapenzi saa ingine ni mateso tu.
Sitosahau siku ambayo tulitembea usiku zaidi ya migahawa 6 kisa kila mgahawa tunaoingia anasema hajaona chakula cha kula (na ni migahawa mizuri ya mjini) huku akidai ana njaa sana.
Baada ya kutoka mgahawa wa 6 akasema eti bora niende kumsongea mm mwenyewe...
Hata kwa elf 2 huwezii kununua Gb utaambulia MB, vifurushi vimepanda mno
Kwa hali iliyopo Sasa kumetokea mabadiliko yanayoongeza ukali wa maisha kiuchumi kwenye kuvimudu vifurushi, mitandao ya Simu imepunguza ujazo wa vifurushi na kuvifanya viwe ghali zaidi.
niliwahi kusema hivi vifurushi kuna...
Wanajamii wenzangu, barua yangu ya uhamisho katika ngazi za wilaya ilikamika kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine baada ya kusota kwa muda mrefu na nilishapeleka mkoani.
Nashindwa kuelewa process ya mkoani kwenda wizara itachukua muda gani isije ikawa zinawekwa kapuni mana mpaka naifikisha mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.