Ni Tabia gani unazo na ungependa Watoto wako warithi kutoka kwako?

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,703
5,477
Tukiacha na mali ulizonazo, ni tabia gani ambazo unazo ungependa wanao warithi kutoka kwako?

Ni tabia gani ambayo unayo unaisi wanao wakiwa nayo itawasaidia sana kwenye maisha yao?

Mimi kwa upande wangu ningependa warithi, (UTU) hii kitu kwa upande wangu ninahisi ninayo sana vingine waachane navyo, watapotea najua jinsi vimenikosti.

46126712-8371-454E-9AEE-E05AFB9BED4D.jpeg
 
Nadhani hivi vitu vinaendana, ukiwa na utu lazima hasira uwe nazo za kutosha
Sijui kwanini But all in all nashukuru utu wangu umechukua nafasi kubwa kuliko hasira...kuna muda naambiwa live "Dada Fulani unautu sana ila Mungu akusaidie kuondoa hivyo vihasira!" Kuna namna najisikia vibaya mno....nataka kunyooka kitabia yaan full
 
Ujasusi hii tabia waiige Tena waiige mapema kabla sijaondoka, kitasi kina lock 3 napiga lock 2 moja ya naiacha ili yakwamba akitokea mjanja anataka kunizidi akili akaingia ndani Mimi sipo huku nyuma akajisahau katika kutoka kwa Pupa akalock na ile moja ambayo hua naiacha ikiwa open najua kabisa hapa kuna boyanazi aliingia humu ndani Mimi hua nalock 2 tu moja naiacha
 
😎
 
Back
Top Bottom