INAUZWA Karibu ununue Mchele, Mahindi na mazao mengine kutoka Mbeya

May 8, 2023
21
16
Hello there !

Niko Mbeya, katika Uzi huu ntakuwa naweka bei za vyakula
Mbalimbali kutoka Mbeya, kama mtu unataka utawasiliana
Na Mimi,makubaliano yatakuwa hivi, mi nitaweza kukuagizia
Kuanzia kilo ishirini, mfano Mchele au maharage

Ikiwa utaagiza kilo ishirini za Mchele, katika Kila kilo utaniwekea sh 200/=
Yaani mzigo wako wa kilo 20, utanilipa 4000 ya huduma, Kisha nitakutajia nauli

Kutoka sokoni Hadi stand, Kisha stand kuja mkoani
Mfano , kipeto Cha kilo 20 kutoka stand -dar haipungui 6000 _7000 kwa basi, nauli sokoni to stand ni kama 2000/

Kama utakuwa unachukua kilo nyingi basi tutazungumza: ukilipia parcel ntachukua na tiketi, mfano Mchele 37000/=+4000(ya huduma)+usafiri kwenda mkoa labda 10000=51000(kilo zaidi Kuna maongezi, lakini Najua hata katika basi nauli inakuwa balanced ikiwa utaweka kilo nyingi zaidi, mfano kilo 80, inaweza fika kwa 15000/(mfano), KWA ROLI PIA TUNAWEZA RATIBU, MAROLI YAPO PI

BASI NAOMBA NIWEKE BEI ZA VYAKULA HIVYO
(Bei za Sasa)
1/ Mchele Debe sh 36000/ -42000/( KULINGANA NA GRADES)
2/maharage Debe ni sh 40000-44000(inategemea na aina siyo grades)
3/Mahindi Debe ni sh 14000(Naweza Kukusagia Unga pia Nikakutumia)
4/Viaz Mviringo Debe ni sh 12000/
5/Vingine ni NDIZI. MAPALACHICHI,na pia uliza kama Kuna kitu ntakuwa nimesahau,

NB, kuhusu uaminifu, mi ni mwajiliwa,na Nina biashara nyingine mbali na MAZAO ya shambani, ila biashara yangu iko karibu na stoo za mazao hayo niliyoyataja hapo juu
Kwa mawasiliano zaidi, nipigie au Whatsapp kupitia namba 0714620945

KARIBU
 
Kupitia nwandiko unaweza kujua tabia ya mtu. Kwa mwandiko wako, ni wazi nauona uaminifu wako.
 
W

Weka kwa kilo ili tuelewe, wengine hatufahamu hesabu za madebe.
 
Mahindi una koboa na kusaga kwa sh ngapi? Mahindi kwa hiyo bei ni mapya au mahindi ya zamani? Kama mapya yamekauka ipasavyo? Inaweza kutoa kilo ngapi kwa gunia la debe sita?
 
... hongera kijana. Kama inawezekana kuagiza magari nje ya nchi online na likafika vizuri na kwa uaminifu mkubwa inashindkana vipi kutumia the same idea kwa products zetu za ndani? Tatizo ni moja tu UAMINIFU; TRUST.

Otherwise, it is a good idea ambayo pia itapunguza mlolongo wa watu wa kati madalali wanaumiza wakulima! Ningetamani kila mkulima angeweza kuuza mazao yake online ingesaidia kuondoa madalali uchwara na mkulima akafaidika na jasho lake.
 
Mahindi una koboa na kusaga kwa sh ngapi? Mahindi kwa hiyo bei ni mapya au mahindi ya zamani? Kama mapya yamekauka ipasavyo? Inaweza kutoa kilo ngapi kwa gunia la debe sita?
Mahindi kukoboa na kusaga, Debe Moja bei ni 1000,
Kusaga Dona pia 1000
Hiyo bei ni mapya, ya zaman haipungui ishirini, na ni machache sana
Mapya yamekauka sana. Hayana shida
Kwa Debe ukisaga si chini ya kilo 18 kwa Dona na si chini ya kilo 15,
Kwa hiyo Debe SITA tunaweza pata wastan wa kilo 90, tukikoboa, na kilo 108 kwa Dona

NB, mahindi Yana Tabia tofauti KULINGANA na aina, Kuna yenye pumba nyingi, na yenye pumba kidogo, so ukikoboa ujazo unaweza ukapungua au ukaongezeka kutokana na aina,yenye punje ndogo ni mazuri, ila uwakika zaidi ni Dona

Karibu mkuu
 
Ni rahisi kukiri uaminifu kwa maneno, nijaribu kwa matendo uwe barozi wangu""
... hongera kijana. Kama inawezekana kuagiza magari nje ya nchi online na likafika vizuri na kwa uaminifu mkubwa inashindkana vipi kutumia the same idea kwa products zetu za ndani? Tatizo ni moja tu UAMINIFU; TRUST.
 
Mahindi una koboa na kusaga kwa sh ngapi? Mahindi kwa hiyo bei ni mapya au mahindi ya zamani? Kama mapya yamekauka ipasavyo? Inaweza kutoa kilo ngapi kwa gunia la debe sita?
Kukoboa au kusaga vyote ni 1000,
Akikoboa anabaki na pumba anauza,that's why ni 1000

Hiyo ni bei ya mahindi mapya,ya zaman YAPO, bei haipungui 20000/
Ni machache sana
Mapya yamekauka,kias ukidai ya zaman unaweza pewa mapya yaliovunywa mwez wa tatu mwanzon sehemu inaitwa umalila

Debe linaweza toa kilo 17 Hadi 19, inategemea na aina ya muindi, muindi wenye punje ndogo una Unga mwingi,

Ukikoboa unaweza pata kilo ,14 Hadi 16, pia aina ya mahindi inahusika
So

Kwa gunia ni wastan wa 17x 6=102 (wastan wa chin)Dona

Na 14x6=84kwa sembe

Karibu
 
Back
Top Bottom