Ni vitu gani vijana wa kiafrika tunaweza kujifunza kutoka kwa wajapani?

hermanthegreat

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
853
2,037
Habari wanajf

Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao

hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani.
Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa bara letu hili ambalo ujinga una mashabiki wengi sana kuliko vitu muhimu.

Karibuni kwa mchango.
 
UTU

Je, Japan ndiyo nchi inayoongoza kwa kuthamini Utu na Ubinadamu?
 
Habari wanajf

Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao

hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani.
Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa bara letu hili ambalo ujinga una mashabiki wengi sana kuliko vitu muhimu.

Karibuni kwa mchango.
Hivi kwanini wabongo wengi wanaendesha Magari mahututi? Yaan gari mtu anaendesha unasikia kabisa vyuma vinagongana ndani Ila jamaa anakomaa kukanyagia mafuta tu na hilo Gari linatoka Japan? Si unawajua SBT?
 
Habari wanajf

Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao

hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani.
Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa bara letu hili ambalo ujinga una mashabiki wengi sana kuliko vitu muhimu.

Karibuni kwa mchango.
😀😀😀mkuu mbona tunapeana mishe mbali mbali huko huko tunakutana ubunifu wenyewe tatizo hatuthamini vya kwetu
 
Back
Top Bottom