kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Kutoka Symbion hadi Sheria ya Fedha 2026 na Ufisadi katika Uagizaji Mafuta. je, Luhaga Mpina amebadili msimamo?

    Dar es Salaam. Taarifa waqliyoitoa Chama cha ACT-Wazalendo walipokuwa wanaongea na Waandishi wa habari. kuwa litafungua mashauri mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 limefungua mjadala mpya kuhusu nafasi ya siasa za upinzani katika usimamizi wa fedha za Umma...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Motjaba walishamla kichwa au ? unaogopaje kutoka hadharani nchi unayoiongoza iliyojigamba kushinda vita kwenye msiba wa kiongozi mkubwa na mzazi ?

    Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, hatohudhuria shughuli za mazishi ya baba yake, Ali Khamenei, Taarifa hiyo imetolewa na mwakilishi wa kiongozi huyo nchini India wakati Iran ikiendelea na maandalizi ya shughuli za mazishi. kuna possibility kubwa hata huyu walishapita nae
  3. venchwa

    JamiiForums Tanzania Kule Vietnam sasa nikakutana na wadada wawili ma nes kutoka Marekani, club inaitwa Blue bar

    Mwaka ule ule napata connection ya kisanga cha Mnyarwanda kabla ya hapo nawaleta kati Katika Uzi uliopita niliiongelea Vietbam nikasema itakuwa story ya siku ngingine Kifupi Vietnam nimeenda Mara mbili Moja ni awali kabla sijampata mnyarwanda Na ya pili nilimpeleka mnyarwanda aka pate kutoa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mchele super kutoka Kilombero

    BISMILLAHIR RAHMANIR RAHIIM Habari wana JamiiForums, Natafuta mnunuzi wa jumla au mshirika wa biashara ya mchele. Mimi ni mfanyabiashara mdogo kutoka Bonde la Mto Kilombero, Morogoro. Kwa sasa nina gunia 30 za mpunga tayari ghalani tunaweza kupata mchele mwingi zaidi INSHA ALLAH na lengo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya mabasi kwenye njia ya Tabora-Mbeya yana hitilafu za kiufundi na barabara hiyo ina mashimo mengi

    Kuna wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wa mabasi yanayofanya safari kati ya Tabora na Mbeya. Inadaiwa kuwa baadhi ya mabasi yanayotumika katika njia hiyo yana hitilafu za kiufundi, huku yakisafiri kwa mwendo kasi kwenye barabara yenye mashimo na makorongo mengi. Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba...
  6. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= tu. Delivery...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea katika siku ya gawio rais apokee gawio kutoka TANESCO, TTCL, ATCL, TRC ambao hawakutoa gawio na sio yeye kupewa tuzo.

    Siku ya kutoa gawio kwa serikali ni siku ambayo rais alipaswa kuichukulia kama accountability day kwa mashirika yote ya Umma. Ni siku ambayo mbivu na mbichi zinapaswa kuanikwa na pengine watu kuchukuliwa hatua kwa kutotoa gawio lolote. Lakini katika siku hiyo mwaka huu TANESCO, TTCL, ATCL, TRC...
  8. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ wazalendo waungeni Wananchi 7/7, Viongozi wazalendo kumbukeni mafunzo yenu kutoka chuo cha Taifa cha Ulinzi, kuhusu usalama wa Taifa

    Usalama wa Taifa si tu kutokuwepo kwa vita, usalama wa Taifa unahusu umoja wa Kitaifa, Utulivu wa kisiasa, uchumi, teknolojia, masuala ya kijeshi na mazingira. Chadema kimekwisha kuwa chama cha kitaifa kutumia taasisi za serikali kama Jeshi, polisi na usalama kukizuia kufanya kazi ni...
  9. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Vitaanguka vipande kutoka juu angani

    Mwanzo nilizani ni ajari ya air balloon kule Brazil, lakini viashiria pale chini viliwakilisha harakati za sokoni au mahali penye maonyesho ya au biashara isiyofanyika hapo mara kwa mara... Kulikua na nyasi fupi na kavu. Bora iwe ni ile ajari ya kule Brazil kwani ilikwisha kutokea tayari...
  10. Magical power

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupotea miaka kadhaa sasa nimerudi, nilikua kwa kina smigo 😂😂,Nina madini mengi kutoka huko, huku Duniani Kuna mpya gani tuanze nalo

    Baada ya kupotea miaka kadhaa sasa nimelud, nilikua kwa kina smigo 😂😂,Nina madini mengi kutoka huko, huku Duniani Kuna mpya gani tuanze nalo.
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na mahakama huru, zingezuia katazo la mikutano ya mikutano ya hadhara kutoka Kwa Waziri Katambi

    Mikutano ya hadhara Kwa vyama vya siasa ni takwa la kikatiba sio hisani wala huruma Waziri au kiongozi yeyote kuzuiq mikutano ya vyama vya siasa ni kuwa kinyume cha katiba ya nchi Katambi anavunja katiba Kwa maslahi ya nani? Hatuwezi kuwa na viongozi wanaopinga na kuvunja katiba, Nadhani huu...
  12. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, ni nani anayewalisha akina Hilda Newton, Pambalu na Viongozi wengine waliokimbilia Kenya?

    Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza? Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Jacinta Ngobese-Zuma: Kutoka kuwa mtangazaji wa radio hadi kuongoza "March and March"

    Hali sio shwari kwa wahamiaji nchini Afrika Kusini hasa wale wanaotoka mataifa ya Afrika. Maelfu ya wananchi kutoka Nigeria, Ghana, Malawi, Zimbabwe na Zambia na nyinginezo, wanatakiwa waondoke nchini humo kabla ya Juni 30, 2026. Siku hiyo yamepangwa maandamano makubwa ya kuwafukuza wahamiaji...
  14. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Naomba majibu sahihi kutoka kwa wataalamu wa Uchumi

    Pendekezo jipya la Serikali ya Tanzania kuruhusu kukopa moja kwa moja kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limezua mjadala mkali. Serikali inasema hatua hiyo itasaidia kukabiliana haraka na upungufu wa mapato unaotokana na matukio yasiyotegemewa. Hata hivyo, wakosoaji wanaibua maswali muhimu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto Somo la Pharmacognosy KIUT Dar, Mwalimu Atajwa...!

    Kutoka Chuo cha KIUT Dar es Salaam, wanafunzi wa corse ya Bachelor of Pharmacy mwaka wa 4 na 3 tunakumbana na changamoto ya mwalimu mmoja ambae somo lake (pharmacognosy)mpaka uzunguke mbuyu ndio ufaulu hata mitihani yake sio standard kabisa.
  16. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Piga collagen ifute chunusi na ikupe glow ya ukweli kutoka ndani!"

    Piga collagen ifute chunusi na ikupe glow ya ukweli kutoka ndani!
  17. W

    JamiiForums Tanzania Kununua spare parts kutoka Japan

    Wadau wa JF yoyote mwenye ufahamu kuhusu website nzuri kutoka Japan nayoweza kununua spare parts (pressure sensor) kutoka Japan. Maana nimeishanunua used mara mbili kutoka Kenya zinafeli nataka nijaribu Sasa kununua mpya kutoka Japan mdau anejua njia nzuri zaidi ya kupata hako ka sensor from...
  18. Mwanga wa Jua

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tunajifunza nini kutoka Uganda ya Mzee Museveni kwenye hili?

    Mzee Museni yeye ameamua kuiacha sekta binafsi ijenge uchumi wa Uganda, Mfano ni huu, Katika bajeti ya Uganda ya mwaka wa fedha 2026/27 yenye thamani ya Shs 84.4 trilioni ($22.8 bilioni), eneo la Ushirikiano wa Sekta ya Umma na Binafsi (PPP) limegusiwa kama nguzo muhimu ya kuchochea mkakati...
  19. tpaul

    JamiiForums Tanzania Nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar

    Watanganyika wamegeuka kuwa oombaomba ndani ya nchi ya Zanzibar. Kama wazanzibar hawawataki katika nchi yao si muondoke? Kwanini mnang'ang'ania kukaa katika nchi ya watu kwa lazima? Mnasubiri mpaka wazanzibar waanze kuwaua kama inavyofanyika kule Afrika Kusini ndipo mng'oke kutoka huko...
  20. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Report ya ubakaji nchini UK ilitoka na kuonesha wasichana 250,000 kama wahanga huku watuhumiwa wakuu ni wahamiaji kutoka pakistan na uarabuni

    RAPE GANG INQUIRY:https://t.co/EuKgGWBRhS Uingereza walijifanya sana kuwa na ubinadamu kuzidi watu wengine, wakawapokea wahamiaji kiholela kutoka nchi za kikobazi, kilichofatia ni UK kuwa kitovu cha magenge ya ubakaj na grooming barani ulaya.
Back
Top Bottom