kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Polisi wa doria mitandaoni, mlikuwa wapi wakati Wachina wanakwapua Bl 6 kutoka kwenye Akaunti za watu?

    Ilinishangaza kidogo wale wanaojiita Polisi wanaofanya doria mitandaoni walishindwa kabisa kujua hili wachina juzi walifikishwa mahakamani wakidaiwa kukutwa na minoti kwenye masandarusi huko MASAKI tena kwa washua kabisa. inadaiwa wachina hao walikuwa wakiiba pesa toka kwenye ATM usiku yaani...
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika-survive kwa saa 48 zijazo kutoka sasa. Polisi wamegoma kupokea orders

    Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa. Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC. Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
  3. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Mawasiliano: 0784 829565 @radhiyastore @prathrealestate...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Poppy H, ni mtu mwenye bahati sana kutibiwa hospitali Ile na kutoka salama

    Salaam! Kuna hospitali moja hapa mjini, hospitali hii hutibu watu special,wenye nguvu, Kuna baadhi wamewahi kuifananiasha hospitali hii na nyumba ya kuhifadhia wafu, sababu kuu ni kuwa, wachache sana waliingia humo kutibiwa wakiwa hai, hawakurudi wakiwa hai,bali wamekufa. Pongezi zimwendee...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Salamu za mwaka mpya (2026) kutoka kwa askofu Mwanamapinduzi kwa watanzania akiwa ukimbizini

    Ndugu zangu Watanzania! Mvua ya Haki na Amani toka kwa Mungu wa Mbinguni iwe nanyi! Ashukuriwe Mungu kwa kutuwezesha kuuona mwaka mpya. Kwani siyo jambo rahisi kwetu sisi Watanzania tuliobaki. Maana tumeshuhudia maelfu ya wenzetu wakiuawa, kutekwa na hawajulikani walipo huko wengine wako...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TRC yatangaza ratiba mpya za SGR kutoka Dar-Dodoma

    SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetangaza ratiba ya safari za treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kuanzia leo, Januari 3, 2026. Hatua hiyo inakuja baada ya shirika hilo kusitisha kwa siku chache safari zake ili kuepusha athari ambazo zingeweza kusababishwa na mvua zinazoendelea...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Ungepewa nafasi ukutane na mtu mmoja kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani?

    Nasoma Comment! Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna mada inasema ukiweza kutoka kwenye sayari,nyota ukatafuta mwisho unaweza usipate na kama umepata mwisho wake umerudi nyuma

    Wanasayansi kujikita zaidi kwenye quantum technology za hesabau mpaka sasa kwenye nyota yetu solar system tumefikisha sayari zaidi ya 5900 na zengine zikiendelea kutambuliwa . Hii yote ni mapinduzi ya hesabu na teknolojia ambazo wagunduzi wamechangia. Kuna kitu mpaka sasa kina wapa maulizo...
  9. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotapeliwa kizembe na muuzaji wa ‘Simu used kutoka Dubai’

    Wakuu poleni na matatizo yanayoikumba nchi yetu. Poleni kwenu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki kutokana na yaliyojiri oct29 Bila kuwachosha. Kuna msemo maarufu usemao """Wajinga ndiyo waliwao"""' Ilikuwa tarehe 20 mwezi wa 11 mwaka 2025 ndo siku ambayo kwa mara ya kwanza nilihisi...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Meli zilizobeba silaha kutoka DUBAI zashambuliwa Yemen

    Saudia imezishambulia meli 2 za Falme za Kiarabu zilizokuwa zimebeba silaha za kivita kwa ajili ya kugawia waasi ili wauwe watu wasiokuwa na hatia huko Yemen. Inaonekana hawa DUBAI wao maslahi mbele uhai wa watu nyuma. ===== The Coalition to Support Legitimacy in Yemen on Tuesday said it...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ujumbe katika picha ya Lissu, Samia na Mahakama kutoka Kwa bondia Hassan Mwikinyo

    Bondia Mwikinyo Jana katika Pambano lake dhidi ya Mnigeria (jina nimelisahau) alivaa t-shirt yenye ujumbe mzito katika picha 1. Samia kuwa kifuani, mbele Ina tafsiri ni mtu aliyejiweka mbele na kuweka upinzani nyuma, akikandamiza haki, na kufanya mauaji ili abaki madarakani 2. Lissu kuwa...
  12. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa knockout (KO) dhidi ya mpinzani wake, Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano mapema raundi ya pili

    Wadau hivi hili pambano la mwakinyo ni kweli au kiini macho?
  13. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Nimebarikiwa na mahubiri kutoka kwa mtumishi wa Mungu Dr. Alex G. Malasusa

    Namuona Mungu akinena ndani ya kinywa cha mtumishi wake Dr. Malasusa, hakika nimeponywa nafsi nimeuona utume wa Mungu ndani ya Malasusa. Ee! Mungu wetu Asante kwa kutuletea mtumishi huyu. Malasusa anasimama pamoja na watumishi wa Mungu wote wenye mapenzi mema na mioyo ya watanzania mfano wa...
  14. Think2

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuwa jiji lenye watu wengi hadi kuwa ghost city kwa leo

    Leo jijini Mwanza kumekuwa kama ghost city yaani hakuna watu kbs na baadhi ya maeneo machache tu ndo utakuta watu. Sikutegemea kuona hili yaani jiji zama limetulia limepigwa baridi kinoma polisi wamejazana kila pahala. Maduka mengi yamefungwa jiji letu halikuwa hivi asee . NB: sikupiga picha...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Msikilize chawa kutoka kanisani

    Askofu mmoja amesema kuwa KKKT inasemwa vibaya. Msikilize huyu chawa kutoka Kanisani Kanisa limepatwa
  16. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ikulu ndogo ya Chato mpaka Ikulu ndogo ya Tunguu

    Siku hizi Rais Samia anaenda Ikulu ya Chamwino iliyopi Dodoma mara moja kama kupokea wageni na kurudi zake siku hiyohiyo Ikulu ndogo Tunguu iliyopo Zanzibar. Zamani sio sana tulikuwa na Ikulu ndogo ya Chato, bwana yule angeweza kukaa kule hata zaidi ya mwezi na hata nyakati fulani alimuapisha...
  17. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Watu waliopiga kura milioni 31 wameshindwa hata ku-view nyimbo za wasanii wao SISI

    “Watu waliopiga kura milioni 31 wameshindwa hata ku-view nyimbo za wasanii wao 😂😂 Demokrasia online imegoma kufanya kazi 🤣” WE NANI ANA NAMBA ZA MAMA AMPIGIE KUNA WATU WANAVIPAJI VYA KUCHEKESHA AENDE AKECHEKESHE SISI WANANCH TUKATISHIWA NYAU ETI KOSA SI KOSA WAKASEMA TUWAACHE SI TUKAWAACHA...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Marekani wamepiga ban drones zote kutoka “nje” ya nchi yao!

    Vita ya kiuchumi kati ya USA na China inazidi kupamba moto. Baada ya kuweka vikwazo vingi kwenye magari ya umeme (EV) kutoka China, sasa panga limekuja kwenye drones. Federal Communication Commission (FCC) wametoa tamko kwamba unmanned aircraft systems (UAS) na components zake zote kwa...
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania Dkt. AshaRose Migiro kutoka Naibu Katibu UN hadi kuwa katibu wa CCM ya wauaji; anaishije na aibu hii?

    Kwa mtazamo wangu. Huyu binti anachoangalia ni pesa anayopata bila kujali njia anayotumia kuzipata. Asha Rose Migiro miongoni mwa waanzilishi wa Tanzania Gender Network Program (TGNP) akaja baadaye kupata teuzi enzi za Kikwete na hata kufikia kupata nafasi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa...
  20. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba aliwahi kuandika uzi humu kuwa alipewa utajiri na majini kutoka uajemi na akasema wahindi wanakitabu cha namna ya kuwatumikisha watu weusi

    Jamaa mjanja sana baada ya huo uzi hajawaahi tena kuonekana na hicho kitabu hakuwahi kukisema, 😂😂 Jf is a mystery sometimes
Back
Top Bottom