kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    Njia rahisi ya kutoka kwenye utumwa na laana. Simplest

    Utumwa ni kuwa chini ya mtu au kitu fulani kwa 100% . Sasa utumwa wa kiroho mara nyingi hubase kwenye jambo moja mahsusi. Mtumwa wa kiroho anaweza kujua kuwa yuko kwenye kifungo au akahisi tu kuwa ana kifungo lakini asijue wapi hasa kagungwa . Dalili za mtu aliyefungwa kiroho; 1. Kufanya kazi...
  2. 1Africa54

    Historia ya McDonald's: Safari Kutoka Mgahawa Mdogo Hadi Mnyororo Mkubwa wa Chakula Duniani

    McDonald's ilianzishwa mwaka 1940 na ndugu wawili, Richard na Maurice McDonald, waliokuwa wakijulikana kama Dick na Mac. Walifungua mgahawa wao wa kwanza huko San Bernardino, California, Marekani. Mwanzoni, walikuwa wanauza vyakula vya barbeque na walikuwa na menyu yenye zaidi ya aina 20 za...
  3. 1Africa54

    Safari ya Harland Sanders: Kutoka Kituo cha Mafuta Hadi KFC ya Dunia na Mafunzo kwa Vijana wa Leo

    KFC ni kifupi cha Kentucky Fried Chicken, mgahawa maarufu duniani kwa kuuza kuku wa kukaanga. Historia yake inaanzia kwa mtu mmoja aitwaye Harland Sanders, ambaye alizaliwa mwaka 1890 huko Indiana, Marekani. Maisha yake hayakuwa rahisi. Baba yake alifariki akiwa na miaka sita, na hivyo...
  4. I

    Muarabu kutoka Uganda anaongoza mbio za umeya New york

    Hivi tunavyoongea kijana wa miaka 33 mzaliwa wa Kampala Uganda Zohran Mamdani anaongoza mbio za umeya kwenye jiji kubwa duniani la New york ,akipambana na mpinzani wake meya aliyeshika kiti hicho awali Cuomo. Zohran ambaye hakuwa na uwezo mkubwa wa kifedha kama mpinzani wake huyo ambaye anapata...
  5. ELI COHEN

    Baada ya tishio ya jihadi ya itikadi ya msimamo mkali, tishio lingine ni kutoka mataifa ya magharibi, wanaitwa LIBERALS.

    Hawa ndio wanao-force watoto wenu wasome vitabu vyenye details za kishoga shoga mashuleni. Hawa ndio wanaoforce uwezekano wa kumbadili mtoto wako jinsia ukihisi tu ana elements za jinsia ambayo sio alionayo. Hawa ndio wanao -force mwanamke afanye abortion kwa namna na wakati wowote aupendao...
  6. kavulata

    Waamuzi kutoka Misri kuchezeshwa derby ni sawa lakini sio 100%

    Mimi ni mtanzania lakini kule uingereza ni mshabiki wa Arsenal. Kama ningekuwa mwamuzi na kuambiwa nikachezeshe mechi kati ya arsenal na Manchester united lazima ningeipendelea Arsenal tu. Kule Misri mm ni mshabiki wa Al-Masry. Je, hawa wanaokuja huku hawana timu wanayoishabikia kati ya Simba...
  7. radhiya

    Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  8. Papillon 1906

    Joan Garcia amepokea vitisho vikali kutoka kwa mashabiki wa Espanyol

    Joan Garcia aliekuwa kipa wa Espanyol amepata vitisho kutoka kwa mashabiki wa timu hiyo, baada ya kukamilisha dili lake la kutimkia Barcelona. Baadhi ya marafiki zake wa karibu wanamuunga mkono kwa kulamba dili hilo lakini raia wengine hawataki kuambia kitu. Ikumbukwe Espanyol na Barcelona...
  9. Mad Max

    Nissan Leaf 3rd gen imeshazinduliwa: Bonge la improvements kutoka kwenye matoleo yaliyotangulia!

    Nissan wako serious sana kwenye issue ya EV na hybrids hivi karibuni. Kwa sisi wapenzi wa magari madogoa na economy, wametugusa sana na Nissan Note (hybrid) na Nissan Ariya (EV). Sasa wametuletea all new Nissan Leaf 3rd gen, soon inaingia masokoni. Wamefanya mapinduzi makubwa sana kuanzia...
  10. Ashampoo burning

    Iran na Israel: Kutoka Mabest hadi Maadui wa Kuuana

    Iran na Israel: Kutoka Mabeste Hadi Maadui Basi hebu nikusimulie hii stori kali – kama vile tupo vijiweni tunagawana kahawa ya jioni. Zamani hizi, kabla mambo hayajaharibika, Iran na Israel walikuwa kama mabest wa damu. Walishirikiana kwenye biashara, walipigiana tafu kwenye siasa, na walikuwa...
  11. R

    Watawala, particularly dictators in Africa, sikilizeni kisa hiki kutoka Zambia Edgar Lungu akilalamika

    Hebu nikueleze kuhusu simulizi ya kusikitisha lakini yenye nguvu kubwa inayotokea sasa nchini Zambia – simulizi ambayo kila dikteta wa Afrika anapaswa kuitafakari kwa makini. Mwaka 2017, Edgar Lungu alikuwa Rais wa Zambia. Wakati huo, mpinzani wake mkubwa, Hakainde Hichilema, alikuwa tu...
  12. Just Pray

    Naibu katibu mkuu TEC: Hata akija kiongozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibada

    Wakuu, TEC wapo serious si kidogo Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania-TEC limetoa Limetoa mwongozo mpya kuwakumbusha Waamini taratibu na kanuni kwenye Ibada kanisani ambao unapiga marufuku wageni kuzungumza kanisani isipokuwa paroko/padri kama tukio ni la Kiparokia, Askofu wa Jimbo...
  13. Isenye

    Taarifa kutoka IDF (Israel defence forces)

    Hii ndio the latest report kutoka IDF.
  14. Dr Adam Francis

    Vita ya serikali na kanisa; je, Tanzania ina cha kujifunza kutoka Uingereza

    Tarehe Mei 28 hadi Juni 2, 1982 itakumbukwa kwa Papa John Poul II, kuwa Papa wa kwanza wa Kanisa Katoliki kutembelea taifa la Uingereza tangu mgawanyiko wa Reformation 1530, uliosababisha kuundwa kwa Kanisa la Anglikana, yaani Church of England. Mojawapo ya matukio muhimu katika ziara hiyo...
  15. L

    Mke kutoka kwa Bwana karibu

    Hodii humu ndani ! Kama kichwa Cha habari hapo juu kinajieleza, ikiwa upo humu na huenda unawaza Kama Mimi unahitaji upate mme Basi karibu Sana. Umri wangu 35 Elimu degree moja, nimejiajiri Hela ya matumizi ya kawaida ipo uwezo was kupanga nyumba nzima upo kusomesha watoto na kumtunza mama yao...
  16. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    Karibu ujipatie Mabati kutoka Sunbank Tanzania

    Karibu Sunbank Ujipatie Mabati kwa bei rafiki . Tupo na Aina zifuatazo za Mabati Tupo na Aina zifuatazo za Mabati. 1. Gloss ( Mtelezo ) 2. Rich tile 3. Ridge /Valley 4. Matte (Chenga chenga ) Call +255 675 335 081 Bei zetu Location :- DSM-Banda la ngozi karibu na...
  17. R

    Lissu siyo mjinga kuamua kujitetea, nadhani Ina maana kubwa kisheria. Soma hii kutoka mtandaoni

    In Tanzania, the right to legal representation is enshrined in various laws and constitutional provisions, and the courts have emphasized its importance in ensuring a fair trial. Any denial of this right, especially if it prejudices the accused, can have serious legal consequences. Denying an...
  18. radhiya

    Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  19. Prof_Adventure_guide

    Mwongozo wa Kitaalamu: Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Kupitia Alibaba

    WanaJF nawasalimu kwa heshima na taadhima. Katika zama hizi za biashara ya kidigitali na mitandao, wengi wetu tumekuwa tukivutiwa na fursa ya kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka nje ya nchi ili kupanua biashara au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi. Mojawapo ya majukwaa maarufu duniani...
  20. W

    Trump anaweza kutoa mkeka wa Nchi 36 zitakazopigwa marufuku kuingia Marekani, Tanzania yadaiwa kuwepo

    Trump Kufikiria Kuongeza Nchi 36 Katika Orodha ya Marufuku ya Kusafiri, Ikiwemo Nchi za Afrika na Karibiani – Ripoti Utawala wa Donald Trump unafikiria kuweka vikwazo vya usafiri kwa nchi nyingine 36, kulingana na waraka uliosainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ambao...
Back
Top Bottom