Mwanangu,
Kwenye maisha, si kila mlango unahitaji kugongwa,
si kila siri unapaswa kuijua,
na si kila ukaribu una maana ya kwamba una ruhusa ya kuvuka mipaka.
Heshimu mipaka ya watu.
Kuna watu hawapendi kuulizwa maswali ya faragha.
Kuna wengine hujificha nyuma ya tabasamu, na si kwa sababu...