kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Salaam kutoka Jimbo la Indiana Marekani kuhusu kufungiwa makanisa

    Nadhani huyu ni mtanzania kwa lafdhi yake. Msikilize.
  2. Sigara Kali

    Hivi wanawake wa kihangaza kutoka Ngara Kagera wana tabia gani?

    Kama mada inavyojieleza Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
  3. LAZIMA NISEME

    Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia

    Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuhusu ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Tanzania na Benki hiyo, kikao ambacho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma. Katika kikao...
  4. chiembe

    Gitonga, mwana tiktok maarufu kutoka Kenya asema Boniphace Mwangi ni muongo wa kutupwa

    Wakenya wameshtukia uongo wa Boniphace Mwangi, wanamuanika upuuzi wake kila mahali.
  5. radhiya

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  6. Poppy Hatonn

    Kutoa Uhuru kutoka kwa hatari zote

    Heshima kwa mabudha na bodhisattvas wote. Hivi ndivyo nilivyosikia wakati mmoja. Mwenye Baraka alikuwa akisafiri katika nchi ya Magadha alipofika kwenye shamba la mwembe. Katika shamba hilo la maembe, aliishi katika Pango la Miamba la Indra kwenye Mlima wa Vaidehaka. Śakra bwana wa devas...
  7. The Father of All

    Somo kutoka kwa Gwajima

    Nina somo rahisi. Wanasiasa walio wengi ni viumbe wasahaulifu hasa wanapokabiliwa na uchaguzi. Somo nililopata ni kwamba Gwajima hakujifunza kitu toka. kwa Job Ndugai. Wanaotaka asamehewe wanapoteza muda.
  8. R

    Msikilize Mo Ibrahim anavyoshangaa Tanzania kuwa na utawala wa kidictator kuwatesa wapinzani, kitu ambacho anasema hakutegemea kutoka Tanzania

    .....among other Places, Tanzania?!! Hakutegemea kuwa Samia anaweza kuwa hivi alivyo! Sikiliza
  9. Mtuache

    Nauli kutoka Tanzania - Ufaransa 30,000/= Je upo tayari?

    🚨Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na wazo jipya la kupunguza zaidi nauli za ndege: kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake. Mpango huu unalenga kuanzisha safari maalum ambapo abiria watasimama kwa muda wote wa safari, kwa kutumia mikanda ya usalama maalum...
  10. Mai-Ndombe

    Somo zuri kutoka kwa Dkt. Hussein Mwinyi-Rais wa Zanzibar kwa viongozi wote wa Tanzania

    Enyi viongozi mliopewa dhamana na wananchi kuliongoza hili taifa chukueni huu ushauri mzuri kutoka kwa Dr Hussein Mwinyi utawasaidia. Tusipokuwa makini UCHAWA utaliangamiza taifa, leo hii Daktari anayeokoa maisha ya watu kila siku pale Muhimbili hana issue kuliko Mwijaku anayesifiasifia tu hata...
  11. Valencia_UPV

    Dr Medard Kalemani (PhD) kutoka Utukufu hadi kusahaulika

    1. Mwamba alikua wa moto Enzi za jiwe, Mkoani alikua anatembelea king'ora. 2. Leo hii Hana uwaziri na huenda akakatwa juu kwa juu. 3. Ndugu zangu tutembee juu ya Ardhi kwa unyenyekevu na adabu kubwa.
  12. Royal Son

    Watu wanaongoza kutokuwa na amani/furaha

    Watu Wanaoongoza Kukosa Amani 1. Wanasiasa Hasa wale wa upinzani, mara nyingi hukosa amani katika nchi nyingi za Afrika na zile zinazoongozwa kwa misingi ya kidikteta. Wanakumbwa na ukandamizaji, vitisho, na hata vifungo kwa sababu ya msimamo wao wa kisiasa. 2. Wakosoaji wa Serikali Watu...
  13. Scared

    Nimewin milion 8 kampuni ya 1 win ila inagoma kutoka wakuu hii kampuni ni ya kitapeli au

    Naombeni msaada wenu wazee nimeshinda pesa 8m kampuni ya 1win naona inagoma kutoka aisee mods naombeni huu Uzi usihamishwe kokote nahitaji kupata msaada aisee
  14. Mohamed Said

    Kutoka James Ngugi Hadi Ngugi Wa Thiong'o

    KUTOKA JAMES NGUGI HADI NGUGI WA THIONG’O TOFAUTI YA ‘’JAMES’’ NA ‘’THIONG’O’’ Wengi wa kizazi kile ambacho Ngugi alianza kuandika tulimfahamu kwa jina la James Ngugi. Inawezekana sana wengi kati yetu kila wakisikia jina hili Ngugi linawakumbusha siku zao miaka mingi iliyopita walipokuwa...
  15. H

    Siri 15 za Mafanikio Nilizojifunza Kutoka Kwenye Barua za Rockefeller Kwa Mwanae (unaweza Kujifunza pia Kuhusiana na Maisha)

    📆 Mei 29, 2025 Jioni... Nilikuwa nimetulia chumbani kwangu Huku niki-scroll Tu Instagram — boom! Nikakutana na post Kumuhusu: "John D. Rockefeller Yenye mkusanyiko Wa barua 38 kwa mwanae kuhusu mafanikio. Hizi barua Niliandikwa Kwa sentence fupi fupi Tu Sikupoteza muda... Nikaamua...
  16. Waufukweni

    Timu kususia mechi za Ligi, Bodi ya Ligi (TPLB) wasema hatujapokea barua ya malalamiko kutoka timu yoyote, hata Singida Black Stars

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha kuwa haijapokea barua yoyote ya malalamiko kutoka kwa klabu yoyote inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC wala NBC Championship hadi sasa. Taarifa hiyo imetolewa na Afisa Habari wa Bodi hiyo, Karim Boimanda, ambaye amesema kuwa hata klabu ya Singida Black...
  17. Kichuguu

    Marefarii wanaotambulika na FIFA kutoka Afrika ya Mashariki

    Kutoka Kenya Kutoka Uganda Kutoka Rwanda Kutoka Burundi Kutoka DRC =Zero Kutoka South Sudan Kutoka Somalia Kutoka Tanzania
  18. mbozimbozi kumwitu

    Jamani haya ndio maswali kutoka mtaala mpya?.

    Kwa elimu yetu ya kibongo na shule zetu za st kayumba ambazo mara nyingi ukute shule Haina mabechi ya kutosha,mara madarasa hayatoshi,mara wazazi wachangie Hera za mitihani na kuanda report sijui km mtoto wa darasa la kwanza anaweza kujibu swali Hilo hapo.
  19. K

    Naamini mda umefika wa kupata msaada wa kifikra kutoka Kenya ili tujielewe sisi ni kina nani?

    Nakumba Mzee jomo kenyata aliwa kusema sisi ni maiti,kilikuwa ni kipindi cha utawala wa Nyerere, Ni kauli katika makuzi yangu nilikuwa siipendi hata kuisikia,baada ya kupata ufahamu akili na uwezo wa kuchambua mambo nikaona kama kuna ka ukweli vile Lakini mwaka huu nimejiridhisha na kujikubali...
  20. 4

    Nini kifanyike ili Taifa letu litoke kwenye mkwamo huu?

    Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake wana jf popote mlipo. Rejea mada tajwa hapo juu. Taifa kwanza Mengine badae wakuu. Mambo yamekuwa mengi kwa muda mchache katika Taifa letu, bila kujali itikadi zetu za vyama, tufanye nini ili taifa letu kutoka katika mkwamo huu...
Back
Top Bottom