kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Unalichukuliaje suala la Wanasiasa kujitokeza Majimboni kutoa zawadi na kutatua kero za wananchi kwa mwaka huu?

    Kwa sasa kumekuwa na tabia ya Wanasiasa kujitokeza majimboni kuweka ukaribu na Wananchi kwa kutoa zawadi na kujaribu kutatua kero zao? Walikuwepo wapi miaka hii yote? Kwa upande wako unachukuliaje vitendo hivi? Soma: Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro
  2. JamiiForums Tanzania 'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

    Unakaribia mwezi mmoja sasa tangu msafara Ndugu Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, upate ajali kule Sululu, Masasi mkoani Mtwara. Ajali hiyo iliyohusisha magari yapatayo 10, ilitokea tarehe 11 mwezi uliopita na kusababisha uharibifu wa magari kadhaa yakiwamo ya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tukio la Stanslaus Ishengoma kutoa tangazo la kupotea na kumtafuta jirani yake Abdallah Juma limenigusa sana sana!

    Nimemuona ITV kwenye kipindi cha 'YUPO WAPI?' Anasema ni jirani yake huyo ametoweka tangu 28.2.24 bila kujulikana ameelekea wapi. Ameongeza pia kuwa mtafutwa ana tatizo la kifafa na kwamba ni majirani tu hapa mjini. Kwa uzoefu wetu tu tunajua hapo ni watu wa imani mbili tofauti lakini wameishi...
  4. JamiiForums Tanzania Hatimaye APHFTA na Hospitali Binafsi zote Warejesha huduma za HNIF Hospitalini

    Wizara ya Afya Tanzania wameupongeza Uongozi wa Bodi ya Wamiliki wa Vituo vya Afya binafsi (APHFTA) kwa hatua hii nzuri yenye kuleta matumaini katika kufikia suluhisho la changamito iliyojitokeza. "Sote ni wamoja, turudi kwenye majadiliano, huduma bora za afya ziendelee kutolewa kwa wananchi."...
  5. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kuona baadhi ya hospitali binafsi ambazo ni PENDWA zinagomea kutoa huduma

    Zipo baadhi ya hospitali binafsi ambazo ziliwahi kubebwa sana na Serikali na hatimaye zikapata faida kubwa na kujiimarisha. Zipo baadhi ya hospitali zilianza kama hospitali za kujitolea yaani Charitable hospitals lakini leo zinaingia kwenye mkumbo wa kishabiki. NHIF amehusika kukuza hospitali...
  6. JamiiForums Tanzania Hackers wadukua IG ya Chaumbea Soudybrown na kufichua Sura yake huku wakimtishia kutoa Mamilioni ya pesa ili wasifichue siri zake

    Wazee wa kazi au kule Nigeria tunawaita Yahoo Boys wame-hack account ya Soudybrown, mtangazaji wa kamapuni ya utangazaji ya Clouds Media Group, na Chaumbea namba mmoja nchini TANZANIA. Hata hivyo vinara hao wa udukuzi hawakuishia ku-hack tu account yake, pia walimpa na masaa ya kuwalipa pesa...
  7. JamiiForums Tanzania Ninachowapendea Al Ahly wao hata wakiwa Wameshafuzu kutoa Kipigo Kitakatifu kuko pale pale tu

    Kila la Kheri National Al Ahly FC mechi yao ya mwisho ya CAFCL huko Kwao Weekend hii japo bado sijajua anacheza na nani.
  8. JamiiForums Tanzania Stigler’s George imeanza kutoa umeme, tunaamini mgao utaisha kabisa

    Ni habari Njema kwa Stiglers George kuanza kutoa umeme tangu Feb 25th, hivyo tuna amini mgao wa umeme utapungua sana kama sio ukisha kabisa. ANGALIZO Kwa kuwa stiglers tumeambiwa in outlets (vinu 9) na jana wamewasha kimoja tu; Pengine wahakikishe hawawashi vyote ili tuwe na backup pale...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mtu anayeweza kutoa ushauri mzuri kwa Watanzania kuhusu mtindo wa maisha (lifestlye) ni Rais Mstaafu Mzee Ali Mwinyi

    Mungu amemjalia maisha marefu mzee wetu huyu, mpaka sasa anaikaribia miaka 100. Pamoja na kuwa tunasema ni kwa neema na kudra za mwenyezi Mungu lakini nina uhakika kuna mambo huwa anaepuka kuyafanya ama huyafanya kwa kiasi mpaka kuufikia umri huu. Basi ni muda umefika mzee wetu aulizwe ili...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA yatuma Salamu za rambirambi na kutoa pole kwa Ajali ya Ngaramtoni

    Chadema Tanzania , kimekuwa Chama cha kwanza cha Kisiasa nchini Tanzania kutoa salamu za Rambirambi kwa waliopata ajali huko Ngaramtoni , Arusha . Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba Watu 25 wamefariki , huku kukiwa na majeruhi kadhaa
  11. JamiiForums Tanzania KERO Responded Chuo cha UDOM kuna utaratibu mbovu wa kutoa vitambulisho, wanatuumiza Wanafunzi

    Chuo Kikuu cha Dodoma kuna tatizo, Wanachuo tumelipa ada na kujisajili mapema lakini mpaka tunafika mwisho wa mhula hatuna Vitambulisho. Kibaya zaidi Sheria au utaratibu wa hapa ulivyo haturuhusiwi kuingia kwenye mtihani bila kitambulisho hai (active), yaani unatakiwa kuwa na ID ambayo...
  12. JamiiForums Tanzania Ungependa kiongozi gani aje Jukwaani kutoa majibu na ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayoendelea nchini?

    Habari wadau, Jamiiforums imekuwa sehemu ya wanachama kushiriki kutoa maoni yao, kuelezea kero zao na kupata ufafanuzi juu ya masuala mbalimbali nchini, nafasi inayowawezesha kufanya maamuzi mkiwa na taarifa sahihi na zenye ubora. Wapo viongozi wachache kama Dkt. Gwajima D ambao wamekuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Gerald Hando: Watanzania wanataka sukari, usituambie tusitumie. Asema majibu ya Janabi na Chalamila ni dharau kwa watanzania

    Mwandishi wa EFM, Gerald Hando ameshangazwa na majibu ya sukari yaliyotolewa na Prof. Janabi yaliyoungwa mkono na mkuu wa mkoa wa Dar. Hando amesema ni mtazamo finyu kuwaza sukari ni chai pekee ilhali sukari inayotumika kwenye chai ni vijiko viwili. Hando amesema sehemu kubwa ya vitafunwa...
  14. JamiiForums Tanzania Israel kwenye kesi ya ICJ - nchi 52 kutoa ushahidi kuanzia Feb 19-26

    Wanakumbi. 🚨🇮🇱ISRAEL KWENYE KESI YA ICJ - NCHI 52 KUTOA USHUHUDA KUANZIA FEB 19-26 Kesi za ICJ zitaendelea hadi Februari 26. Baadaye, majaji wanatarajiwa kuchukua miezi kadhaa kujadili kabla ya kutoa maoni ya ushauri. Kikumbusho: Hata iwe uamuzi gani, ni juu ya nchi kote ulimwenguni kutunga...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa waliowahi kutusaidia tukapotezana nao kabla hatuwalipa fadhila

    Naamin jukwaa la JamiiForums ni dubwasha kubwa zaidi ya bahari.. Huenda tukakuta humu kuna watu wazuri walitusaidia lakini tukapotezana nao bila kurudisha fadhila ni vyema tukashare story huenda wahusika wapo humu**** Ngoja nianze kushare kisa changu ***************** PART: I...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kwenye misiba tunafanya nini hasa, kuaga mwili wa marehemu au kumuaga marehemu? Kutoa heshima kwa mwili wa marehemu au kutoa heshima kwa marehemu?

    Kifo ni fumbo. Ni nini hasa hutokea mtu anapokufa? Je binadamu ni nini hasa mwili au pumzi ya uhai ndani ya mwili au vyote? Je ni sahihi kusema tunaaga mwili wa marehemu au tunamuaga marehemu? Je hata wale wasioamini maisha nje ya mwili hufanya nini mbele ya miili ya marehemu? Kuheshimu, kuaga...
  17. JamiiForums Tanzania Naona aibu kutoa 10,000 kwa teller maana sina ATM card wala sim banking

    Game tafu sana Wakuu ikabidi nikumbuke nina kachenji uchafu kalibaki CRDB, ndio kwenda kuhakikisha balance nikaambiwa kuna 15800 sasa kibaya sina card ya ATM, ilipotea na hata sim banking line niliyosajilia siitumii ilipotea kwa hiyo option hapa ni kutoa kwa kutumia card ya NIDA kwa teller...
  18. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi laahidi kutoa ushirikiano Maandamano ya CHADEMA (MWANZA)

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikitarajia kufanya maandanamano ya amani jijini Mwanza Februari 15 mwaka huu, Jeshi la Polisi limetoa rai kwa viongozi na wafuasi wa chama hicho kuwa wanalo jukumu mahsusi la kuhakikisha wanazuia lugha za uchochezi, kejeli na matusi kwa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Hungary: Rais ajiuzulu kwa kumpa msamaha mtu aliyehusishwa na kesi ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto

    Rais wa Hungary, Katalin Novak ametangaza kujiuzulu baada ya kutoa msamaha kwa mtu aliyeficha taarifa katika kesi ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya Watoto Mtu huyo alitiwa hatiani kwa kuwalazimisha watoto kubadili kauli zao kuhusu ukatili wa kingono uliodaiwa kufanywa na msimamizi wa kituo cha...
  20. JamiiForums Tanzania ChatGPT:swala utekaji tanzania kwa nini vyombo ya polisi kutoa majibu ya kawaida na matukio ya utekaji

    Masuala ya utekaji nyara ni jambo serious na lenye athari kubwa kwa usalama wa raia na heshima ya haki za binadamu. Ni muhimu kutambua kwamba suala la utekaji nyara linapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa, na vyombo vya usalama vinapaswa kuchunguza kwa kina na kutoa majibu yanayokidhi haki na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…