kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Njia za kutoa pete iliyokwama kwenye kidole kilichovimba

    Kwa wale wanaovaa Pete iwe dhahabu au silver au shaba ukijiskia kuitoa halafu ikagoma unaanza kuchanganyikiwa relax usipanic ni hatari lakini ni salama kama iliingia lazima kuna namna ya kuitoa. Na Mara nyingi Pete kugoma husababishwa nakuilazimisha Pete ndogo, au kuivaa Kwa muda mrefu Hatimaye...
  2. Informer

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi. Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tujenge 'mentality' mpya ile ya Serikali haipo kwa ajili ya faida bali kutoa huduma nafikiri ndio inaua mashirika ya Umma

    Kuna mtazamo ambao umejengeka kwamba Serikali Haina lengo la kutengeneza faida bali kutoa huduma, mtazamo huu Kwa uono wangu hafifu nafikiri ndio chanzo kikubwa Cha baadhi ya mashirika kushindwa kujiendesha na kupelekea kubinafsishwa ama kuingia ubia na sekta binafsi. Badala ya kuwa na mtazamo...
  4. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Simba kutoka sare ya 1-1 na Al Ahly

    Mchezo utapigwa kesho utabiri wetu Ni 1-1😆
  5. J

    JamiiForums Tanzania Je, Mazingira ya kutoa na kupokea Rushwa Nchini yamebadilika?

    Mazingira ya kutoa na kupokea Rushwa yanaweza kutofautiana kulingana na Utamaduni, Mifumo ya Kisheria, na muktadha wa Kisiasa wa nchi husika. Watu au makundi yanayohisi kutengwa na Mifumo ya Kijamii au Kiuchumi wanaweza kuona Rushwa kama njia pekee ya kupata Huduma au fursa ambazo zinapaswa...
  6. proton pump

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Usijisikie kukata tamaa sasa karibu humu ndani tupeane moyo kwa kutuma picha na mziki unaojenga ubongo, pia kutoa maoni yanayojenga afya

    Hivi karibu kuna nyuzi nyingi za watu kukata tamaa na kutaka kujiua, kuacha au kuachika katika mahusiano ya me na ke, biashara kugoma, kukosa kazi ya kufanya, kuchukiwa na ndugu jamaa na marafiki n.k Ewe mwanadamu mwenzagu hukuzaliwa kwa bahati mbaya ndani ya ulimwengu huu. Huenda unapitia...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni kigezo gani hutumika na viongozi wa kitaifa kutoa pole kwa familia iliyoondokewa na mpendwa wao?

    Pale unapotokea msiba wapo ambao viongozi utoa pole kupitia mitandao ya kijamii, ipo misiba Mhe Rais utumia barua ya Ikulu nk Napenda kufahamu ili Mhe Rais atoe pole kwa kupitia akaunti yake ya kijamii anapaswa kuzingatia vigezo gani? Je, anapotumia barua rasmi ya Ikulu kutoa pole utumia...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Haya majenereta yanaweza kutoa na kupeleka maji umbali gani?

    Jamani nimeambatanisha picha za maelezo ya generator mbili za kuvuta na kusukuma maji .Naomba mtaalamu aniambie generator hizi Kila Moja inaweza kuvuta maki kutoka vhanzo kwa umbali Gani na kutupa majo Kwa umbali Gani?na kiwango cha maji yakusukumwa kwa dakika ni kiasi gani?
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini: Wanasiasa wengi wa Upinzani wamekuwa masikini sababu ya kutoa

    Joseph Selasini, Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi amesema kwamba ukiingia kwenye siasa hasa zile za upinzani jiandae kutoa zaidi kuliko kupokea, na wanasiasa wengi wamekuwa maskini kwa sababu ya kutoa.
  10. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Songea: Vyoo vya shule ya Msingi Mshangano vilivyolalamikiwa vyafanyiwa maboresho, mdau aomba kero ya maji kutatuliwa pia

    Tarifa iliyowekwa hapa kuhusu matundu ya vyoo kuziba shule ya msingi Mshangano Manispaa ya Songea sasa yamezibuliwa na baadhi kubadilishwa sink. Ni jambo la heri kwa afya ya wanafunzi na walimu. Hongera JF na Serikali. Changamoto zipo nyingi ikiwemo uhaba wa madarasa, madawati na maji...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ni ubinafsi au unafki, Waarabu wanaosifiwa kuogelea kwenye pesa ni kwanini wanajibana kutoa misaada kwa ndugu zao wapalestina huko Gaza ?

    Inashangaza kuona Saudi Arabia inayosifika kuwa nchi tajiri ya kiarabu kuona kiasi pekee walichochangia ni dola milioni 133 tu kuisaidia Gaza. Saudi Arabia imebarikiwa mafuta, visima vingi vinamilikiwa na wanafamilia wa kifalme na ndugu zao (royal family), huonyesha ufahari wao kwa kutumia...
  12. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Daniel Mgogo anasema Sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji. Mungu hana account ya kupokelea Sadaka, Wachungaji ndio Meno ya Mungu

    Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka. wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila sadaka kwa niaba ya Mungu
  13. Half american

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

    Habari wakuu, Dunia inaenda kasi sana tupo kwenye zama za nipe nikupe, mwanamke unataka hela ya mwanaume(kuhudumiwa) basi uwe tayari kutoa atakachotaka mwanaume. Sio kutaka kuhudumiwa alafu mwanaume akihitaji tunda zinaanza sababu "ooh bado ni mapema sana kufanya hivyo". Mbona hela na...
  14. Fateema

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu shule ya EM iliyogoma kutoa uhamisho wa mwanangu anayetakiwa kufanya mtihani wa std 4: Asanteni sana wanaJF kwa msaada wenu

    Habari zenu wana Jf mwezi ulio pita nilianzisha Uzi hapa kuhusu namna ambavyo shule moja ya EM ya huko Mwanza ambao waligoma kutoa uhamisho kwa kijana wangu wa darasa la nne jambo ambalo lingeleta ugumu kwa kijana wangu huyo kuandika mitihani yake ya darasa la nne. Nashukuru sana kwa wana Jf...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Unalichukuliaje suala la Wanasiasa kujitokeza Majimboni kutoa zawadi na kutatua kero za wananchi kwa mwaka huu?

    Kwa sasa kumekuwa na tabia ya Wanasiasa kujitokeza majimboni kuweka ukaribu na Wananchi kwa kutoa zawadi na kujaribu kutatua kero zao? Walikuwepo wapi miaka hii yote? Kwa upande wako unachukuliaje vitendo hivi? Soma: Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro
  16. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania 'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

    Unakaribia mwezi mmoja sasa tangu msafara Ndugu Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, upate ajali kule Sululu, Masasi mkoani Mtwara. Ajali hiyo iliyohusisha magari yapatayo 10, ilitokea tarehe 11 mwezi uliopita na kusababisha uharibifu wa magari kadhaa yakiwamo ya...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Tukio la Stanslaus Ishengoma kutoa tangazo la kupotea na kumtafuta jirani yake Abdallah Juma limenigusa sana sana!

    Nimemuona ITV kwenye kipindi cha 'YUPO WAPI?' Anasema ni jirani yake huyo ametoweka tangu 28.2.24 bila kujulikana ameelekea wapi. Ameongeza pia kuwa mtafutwa ana tatizo la kifafa na kwamba ni majirani tu hapa mjini. Kwa uzoefu wetu tu tunajua hapo ni watu wa imani mbili tofauti lakini wameishi...
  18. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Hatimaye APHFTA na Hospitali Binafsi zote Warejesha huduma za HNIF Hospitalini

    Wizara ya Afya Tanzania wameupongeza Uongozi wa Bodi ya Wamiliki wa Vituo vya Afya binafsi (APHFTA) kwa hatua hii nzuri yenye kuleta matumaini katika kufikia suluhisho la changamito iliyojitokeza. "Sote ni wamoja, turudi kwenye majadiliano, huduma bora za afya ziendelee kutolewa kwa wananchi."...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kuona baadhi ya hospitali binafsi ambazo ni PENDWA zinagomea kutoa huduma

    Zipo baadhi ya hospitali binafsi ambazo ziliwahi kubebwa sana na Serikali na hatimaye zikapata faida kubwa na kujiimarisha. Zipo baadhi ya hospitali zilianza kama hospitali za kujitolea yaani Charitable hospitals lakini leo zinaingia kwenye mkumbo wa kishabiki. NHIF amehusika kukuza hospitali...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hackers wadukua IG ya Chaumbea Soudybrown na kufichua Sura yake huku wakimtishia kutoa Mamilioni ya pesa ili wasifichue siri zake

    Wazee wa kazi au kule Nigeria tunawaita Yahoo Boys wame-hack account ya Soudybrown, mtangazaji wa kamapuni ya utangazaji ya Clouds Media Group, na Chaumbea namba mmoja nchini TANZANIA. Hata hivyo vinara hao wa udukuzi hawakuishia ku-hack tu account yake, pia walimpa na masaa ya kuwalipa pesa...
Back
Top Bottom