kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania RFA kulikoni hawako hewani mikoa ya Nyanda za Juu Kusini karibia wiki sasa

    Wakazi wa Mbeya tunaomba kujuzwa, kulikoni RFA, hawako hewani karibia wiki sasa!!
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani

    Mahakama ya Juu zaidi Nchini Afrika Kusini imemhukumu aliyewahi kuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma kifungo cha miezi 15. Uamuzi huo umekuja baada ya Mahakama ya Kikatiba kumkuta na hatia ya kudharau Mahakama baada ya kukaidi agizo la kufika kwenye Uchunguzi wa Ufisadi wakati akiwa Rais. ======...
  3. Dadiz

    JamiiForums Tanzania Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

    George Michael Uledi. Tabora, Tanzania. June, 2021 Naweza nikasema mchakato wa ndani wa CCM wa kuchakata watia nia wa Ubunge mwaka 2020 ulikuwa bora sana pengine kuliko michakato mingi ya nyuma na pongezi za pekee ziende kwa Chama cha Mapinduzi na Serikali yake chini ya hayati JPM,Makamu wake...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aingia Kanda ya Kusini, ni katika Mkakati unaondelea wa Operesheni Haki

    Mwenyekiti wa Chadema Mwamba Freeman Mbowe anaendelea na kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kampeni hiyo imebatizwa jina la Operesheni Haki . Anatarajiwa kuongoza vikao kadhaa vya Mashauriano ndani ya Kanda hiyo. Pichani Mwamba Mwenyewe akisaini...
  5. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nilichostaajabu wakati nakula bata nchi za SADC

    Habari wadau. Tutaongea sana ila amini usiamini viongozi wetu ndio wachawi ndio wanaotufanya vijana wengi tusifanikiwe kwa vitu vidogo vidogo tu ambavyo wanatubania. Kipindi cha mzee wa RUKSA kila kitu kilikuwa RUKSA ndio maana yule mzee Mungu amemjalia maisha marefu sana,sababu alikuwa...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo atembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini

    MKUU WA MAJESHI WA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA JENERALI VENANCE MABEYO ATEMBELEA UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA- PRETORIA Leo Jumamosi tarehe 29 Mei, 2021. Mkuu wa Majeshi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo, alitembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania South Africa's ex-president says he is ready for graft trial

    kesi ya Jacob Zuma hiyo South Africa's ex-president says he is ready for graft trial JOHANNESBURG (AP) — Former South African President Jacob Zuma says he is ready for his trial on charges of corruption, racketeering, and money laundering. Zuma appeared at the Pietermaritzburg High...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Rais wa CAF ni Mzulu Patrice Motsepe kutoka Afrika Kusini. Simba pulizeni dawa muone Wazulu walivyo wabaya

    Nawakumbusha tu simba.. Zama za kupuliza dawa zimeisha... au kusema watu wana corona.... Ama mseme wana corona kama al mereik.. rais wa caf anawapiga ban milele
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais wa Sudan Kusini atangaza bunge jipya

    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amefungua njia kwa wabunge wapya na kuunda bunge lililovunjwa siku ya Jumamosi. Majina ya wabunge walioteuliwa yalitangazwa kwenye chombo cha habari cha taifa hilo, Shirika la Utangazaji la Sudani Kusini, Jumatatu usiku. Bunge la sasa linahusisha wabunge kutoka...
  10. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini: Rais Salva Kiir avunja Bunge

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amelivunja bunge katika hatua iliyosubiriwa kwa muda mrefu, akipanga kuwateua wabunge wapya kutoka pande mbili zilizokuwa na mzozo nchini humo. Msemaji wa Kiir amewaeleza waandishi wa habari siku ya Jumapili kuwa bunge jipya litaunda muda si mrefu, ikiwa ni...
  11. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Aina ya Virusi vya Corona vya India na Uingereza vyagunduliwa Afrika Kusini

    Aina mpya ya Virusi vya COVID19 kutoka India na Uingereza imegunduliwa nchini Afrika Kusini, Wizara ya Afya imeeleza. Visa 11 vya maambukizi ya aina ya Virusi vya B.1.1.7 (Uingereza) na visa 4 vya B.1.617.2 (India) vimegunduliwa katika majimbo ya Gauteng na Kwazulu-Natal, na waathirika wamekuwa...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Nimesomea Diploma ya Ualimu

    Wakuu habari za saizi! Mimi ni kijana wa kiume, mhitimu wa diploma ya ualimu lakini bado sijafanikiwa kupata kazi. Hivyo naomba kazi yoyote ya halali ya kuniwezesha kuendesha maisha yangu. Iwe niliyosomea au yoyote nitakayoweza kuifanya. Mimi naishi Dodoma. Kama kazi ikipatikana mikoa ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Meli ya India yawasili Afrika Kusini na kile kirusi Baba lao

    Mabibi na mabwana kutokea Afrika Kusini, kuna habari za meli kuwasili huko ikiwa na mzigo wa hatari na wa kutosha kutokea India: https://www.enca.com/news/vessel-india-docked-durban-crew-tests-positive-covid-19 Huu umewasili kwenye meli. Tena bila shaka kabla ya kutoka India walipimwa dhidi...
  14. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Suleiman Mathew ahamia CCM

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mkoa wa Lindi, Suleiman Mathew amehamia CCM na kueleza kuwa amerudi nyumbani. Amesema kuwa amerudi CCM kuunga mkono juhudu za maendeleo zinazoletwa na chama hicho.
  15. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amteua Mohamed Dewji (Mo) kuwa mshauri wake kwenye masuala ya Uwekezaji

    Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa amemteua Mohamed Dewji kuwa mshauri wake wa Masuala ya uwekezaji. Mohamed dewji 'MO' atashiriki vikao vyote vinavyohusiana na uwekezaji na atakuwa miongoni mwa washauri wa Rais Ramaphosa kwa kipindi Cha miaka mitatu. ---- Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika...
  16. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Diamond Mfalme wa Youtube kwa wasanii Kusini mwa Jangwa la Sahara, aweka rekodi nyingine

    Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amepiga hatua nyingine kubwa katika kazi yake ya muziki. Diamond kwa jina halisi Naseeb Abdul amekuwa mwanamuziki wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kupata subscriber milioni tano katika mtandao wa Youtube, kupitia chaneli yake ya youtube. Mbali na...
  17. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Leo tumeletewa tena Thamsanqa Jantjie mtafasiri feki kutoka Afrika Kusini

    Kama mnakumbuka mwaka 2013 kwenye kifo cha Mandela, serikali ya Afrika Kusini ilileta mtafasiri wa Lugha anaeitwa Thamsanqa Jantjie ambae alitia fora kwa ishara za lugha ambazo hazipo Duniani. Mtafasiri huyo aliletwa na chama tawala cha ANC kutafsiri lugha ya alama kwa viziwi ambapo alitafsiri...
  18. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu Afrika Kusini amlazimisha mwanafunzi kutafuta simu kwenye shimo la Choo

    Mwalimu mkuu wa shule moja nchini Afrika Kusini amesimamishwa kazi kwa madai ya kumlazimisha mwanafunzi kijana wa miaka 11 kutafuta simu kwenye shimo la choo. Inadaiwa kwamba mwalimu huyo alimshukisha mwanafunzi huyo kwenye shimo la choo kwa kutumia kamba akimuahidi randi 200 sawa na dola 14...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Watengeneza chanjo bandia ya Covid-19 walivyonaswa Afrika Kusini, China

    Polisi nchini China na Afrika Kusini wamekamata maelfu ya dozi bandia za chanjo ya Covid-19 na kuwakamata wahusika, Polisi wa kimataifa, Interpol wameeleza. Polisi wamewakamata watu 80 kwenye kiwanda nchini China kwa madai ya kutengeneza chanjo bandia , ambapo dozi 3,000 zilibainika tayari...
  20. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mikoa ya Kusini wapo hoi bin taaban kiuchumi. Ni baada ya uporaji wa KOROSHO zao 2017

    Wandugu, Hali ni mbaya Mikoa ya kusini, Pwani, Lindi na Mtwara. Zao la KOROSHO siyo mkombozi wao tena. Ikumbukwe hapo mwishoni mwa mwaka 2017 serikali ilitangaza ununuzi wa zao la KOROSHO kwa kisingizio cha kukomesha unyonyaji kwa WAKULIMA wa zao hilo. Kwa mujibu wa wakazi wa huko tangu wakati...
Back
Top Bottom