Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.
Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in amesema kuwa muda sahihi umefika wa kupiga marufuku ulaji wa mbwa katika nchi hiyo.
Rais Moon ambaye ni Moja ya watu wanaopenda ufugaji wa mbwa amesema upigaji marufuku wa ulaji wa mbwa ni njia mojawapo itakayosaidia kulinda wanyama hao wasiteketee zaidi...
Leo napenda kuwauliza Wizara ya Maliasili ya Utalii;
1. Kumekuwa na kupungua Wanyama Mbuga za Mikumi na Saadani kwa kiwango cha kutisha! Leo hii ukienda Hifadhi ya Saadani unaweza tembea saa zima bila kuona mnyama yeyote, hali hii ipo Mikumi pia ambapo imekuwa na hali kwa kasi ya kutisha sasa...
Hadi ninavyo andika hapa hakuna hata mbuga moja ya kusini Inayofanya Covid sample collection
Halafu unasikia Mtu anasema eti tuna promote mbuga za kusini watalii waende huko
Mbuga hizo ni;
1. RUAHA NATIONAL PARK (pamoja na kuwa na dispensary ndani ya Park wameshindwa kuiwezesha ichukue sample?)...
Nyanda za Juu Kusini, Mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, Rukwa hata Katavi imenyanyapaliwa sana na Awamu ya Tano kimaendeleo.
Mikoa hii ndiyo bread basket ya nchi-wazalishaji wakubwa wa chakula.
Mwaka huu wamezalisha mahindi mengi kuliko uwezo wa Serikali.
Pengine Magufuli alitembelea mikoa hiyo...
Japo Afrika Kusini balaa sana, wana vyuo sita kwa mkupuo, Nigeria viwili, Kenya na Uganda kimoja kila mmoja.
Chuo cha Nairobi kimekua namba 563 duniani, Makerere ya Uganda ikaambulia kwenye kundi la 600-800
Baada ya hapo mataifa mengine yote choka mbaya, Afrika bado tuna safari, elimu...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko, majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Ali Abdallah Maarufu (Mzee Kichupa) kilichotokea Jumanne 27 Julai, 2021 katika Hospital Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
Hapa chini ni Muonekano wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini inayojengwa eneo la Mitengo, Mtwara ambayo ujenzi wake umefikia 98% kwa gharama ya TSH Bilioni 15.8 ambapo itawekwa jiwe la msingi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango Julai 26, 2021...
Waziri Mkuu, Kim Boo-kyum ameomba radhi mbele ya Umma kwa Serikali ya Korea Kusini kushindwa kuzingatia #Afya za Askari wake wa Kikosi cha Maji
Wanajeshi hao wa Korea Kusini wako kwenye doria maalum ya kukabiliana na Uharamia katika Pwani ya Afrika Mashariki
Wizara ya Ulinzi imethibisha kuwa...
Wachezaji wawili wa Afrika Kusini ambao wapo nchini Japan kushiriki mashindano ya Olimpiki wamethibitishwa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona siku ya Jumamosi, wakitajwa kuwa washiriki wa kwanza wa mashindano hayo kupata maambukizi ya virusi vya corona wakiwa ndani ya Kijiji cha Olimpiki...
Vurugu zilizoibuka wiki iliyopita nchini Afrika Kusini zimemrudisha nyuma kimaisha Mtanzania Omari Juma, anayeishi na kufanya shughuli zake nchini humo.
Juma, aliyekuwa akimiliki studio na kiwanda cha kuchakata chupa za plastiki kwa kushirikiana na raia wa Cameroon, Alino Alino, amejikuta...
Watu 72 wamepoteza maisha nchini Afrika Kusini kufuatia ghasia zinazoendelea kushuhudiwa kati ya wafuasi wa Rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma na maafisa wa usalama.
Kwa siku zipatazo tano, wafuasi wa Zuma ambaye anaendelea kutumikia kifungo chake cha miezi 15 jela, wamekuwa wakiandamana...
Habari Wana JF natumaini mpo njema,
Husika na kichwa hapo juu,
Wote tunaona yanayoendelea Huko bondeni Kwa madiba, Hivi wale ndugu zetu kwa zile akili zao sijui hata nisemaje maana imekua too much aisee.
Yaani katiba ya nchi inamuwajibisha Rais mstaafu Kwa Yale mambo aliyoyatenda akiwa...
Kinachoendelea Afrika kusini ni baada ya kuwepo kwa:
1. Uongozi mbovu katika nchi,yaani kuwa na Taifa ambalo uongozi umefeli kudeliver leadership.
2. Tofauti ya kipato na maisha kati ya Tajiri na masikini kuwa kubwa sana.
3. Ukosefu wa ajiri uliopitiliza.
4. Watu kuwa na chuki pamoja na...
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameongeza wiki mbili nyingine za “lockdown” kama njia mojawapo ya kupunguza maambukizi ya Covid- 19 nchini humo.
Hatua hiyo imekuja kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu waliopata maambukizi ya ugonjwa wa Corona nchini Afrika ya Kusini. Ramaphosa alisema...
Mamia ya watu wamekamatwa nchini Afrika Kusini huku ghasia zikienea kufuatia kufungwa jela kwa rais wa zamani Jacob Zuma.
Waandamanaji wanaomuunga mkono Zuma kwanza waliingia mitaani baada ya kiongozi huyo wa zamani (79) kujisalimisha kwa mamlaka Jumatano ili kuanza kifungo cha miezi 15...
Wadau, wiki iliyopita nimekuwa nikitazama hii kesi ya Jacob Zuma. Zuma alifungwa kifungo cha miezi 15. Alikamatwa usiku wa kuamkia Alhamisi. Wafuasi wake wakaanza kuandamana. Usiku wa kuamkia juma mosi walichoma trucks (Ukipenda trela yaani yale malorry makubwa) zaidi ya 30.
Baada ya kuchoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.