Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.
Huu wakati ndani ya Chama cha Mapinduzi tunaweza kusema ni muda wa lala salama au muda wa majeruhi na hii inapelekea wananchi wote pamoja na wanaCCM kusubiri ni nani jina lake litarudi na hii macho yote ni kwa majimbo yote Tanzania nzima. Miaka ya nyuma tungekuwa tumeishashangilia ushindi lakini...
South Africa's president has said coronavirus infections appear to have peaked in the country, as he announced a sweeping relaxation of lockdown measures.
President Cyril Ramaphosa said nearly all restrictions on the country's economy will be eased from Monday.
A controversial ban on the sale...
Kwakweli linapokuja swala la CCM bora kwangu ni hiyo hapo juu.
1. Iliyoongoza mapambano dhidi ya makaburu kule nchi za Kusini.
2. Iliyoongoza mapambano ya kumchapa nduli Uganda.
CCM hii iliweza kuunganisha watu ndani na nje ya nchi. CCM ya Sasa imegawa sana Watanzania kuliko kipindi chochote...
“Nataka Tanzania iwe kama Ulaya, nataka Nchi hii iwe kama Ulaya, sisi ndio tuwe tunatoa misaada na mipango hiyo tunayo na mipango hiyo imepangwa vizuri kupitia Ilani ya CCM” -JPM
East Africa Television - News
Kama Kauli hii imetolewa tu 'Kisiasa' zaidi kuelekea katika Kampeni za Uchaguzi huu...
Tujikumbushe siasa kidogo, katika miaka ile ya 60, makaburu wa Afrika Kusini walilitumia Jeshi lao kumnyanyasa katika kila hali mzalendo wa nchi hiyo Nelson Mandela, hadi mwaka ule wa 1964, alipohukumiwa kifungo cha maisha jela, katika kesi ya kubambika ya uhaini
Nelson Mandela hakuvunjika moyo...
Moja kwa moja kwenye mada.
Afrika Kusini wamezifunga tena shule zote kwa mwezi mmoja wanapoendelea kupambana na ugonjwa huu.
Mapambano ni pamoja na tathmini ya wazi ya mirejesho pasipo na kujidanganya.
Korea kusini, China nk, nako wanapita katika hali kama hizo hizo.
Marekani ya Trump sasa...
It goes without saying that the reason Africa will face the worst of Covid-19 last is because we are very poorly connected to the rest of the world.
We do very little business with the rest of the world, which spared us the initial hit.
Probably more people move from China to the US in a week...
Sudan ilikuwa ni nchi moja kabla ya kugawanyika na kuwa nchi mbili hivi karibuni. Sasa binafsi nashangazwa kidogo kwa namna hii nchi ilivokuwa yaani kule kaskazini raia wa kule ni weupe peee mpaka nywele zao ambazo ni ndefu kama waarabu halafu wa kusini ni weusi tiiii nadhani Afrika nzima ndio...
Jana Kisiki cha Mpingo kimepokelewa ACT-Wazalendo, na leo hii kimechukua fomu za kugombea Urais kupitia chama hicho. Katika hotuba yake wakati kikipokelewa ndani ya chama hicho, mbali na makosa ya ufahamu wa mahali kilipo, kilionesha uelewa mdogo sana wa Tanzania hii. Mara zote kikitoa solution...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, Jumapili alitangaza kwamba serikali yake itarudisha marufuku iliyokuwepo ya uuzaji wa pombe na curfew ya kutoka nje usiku
Hii alisema ni katika juhudi za kupunguza misongamano ya majeruhi, inayoshuhudiwa kwenye...
Mliojichokea kwenye hii safari na kuacha watu wenu wajihangaikie wenyewe huko kwenye mitaa ya mabanda mnatakiwa mfahamu hiki kitu kinazidi kuwa hatari, Afrika Kusini namba zinapandisha balaa, karibu elfu kumi kwa siku.
=====
South Africa has announced another record daily number of confirmed...
Afrika kusini imeanzisha majaribio ya kwanza ya chanjo ya virusi vya corona barani Afrika wiki hii, chuo kikuu kinachoongoza hatua hiyo kimesema leo, wakati nchi hiyo ikikabiliana na idadi ya juu ya kesi za maambukizi barani Afrika. Chanjo, iliyotengenezwa na taasisi ya Oxford Jenner, tayari...
Mnaoendelea kupuuza na kukaidi ushauri wa tahadhari dhidi ya Corona mfahamu mnamtekenya simba na kucheza na masharubu yake, hiki kitu kinaua bila huruma, na ndio kinaendelea kupata kasi Afrika, yaani chini ya wiki mbili tayari kimelamba watu 800 nchini Afrika Kusini.
-----
COVID-19, the...
Kwa takribani miaka 27 Nelson Mandela (Tata/Madiba) amekuwa gerezani Hadi mwaka 1990 alipoachiwa.
Hadi kufikia mwaka 1990 nchi zote za kiafrika zilikuwa zimepata Uhuru kutoka kwa wakoloni. Ikumbukwe Afrika Kusini ilipata Uhuru wake mnamo 1931, mwaka 1994 haukuwa mwaka wa kupata Uhuru kwa Afrika...
Hali inazidi kuwa tete, hawa ndio ndugu muda wowote watazichapa, hawana muda wa kusubiri corona iishe.
North Korea has blown up its liaison office with the South in a dramatic escalation of tensions between the old rivals.
There are fears military conflict could erupt along the heavily...
Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini Mhe.Selemani Bungara (Bwege) ametangaza kukihama chama Cha Wananchi Cuf na kuhamia chama cha ACT Wazalendo azalendo mara baada ya bunge kuvunjwa hapo kesho.
---
Ifahamike kuwa, nimeitumikia nafasi ya uwakilishi wa wananchi kwa maana ya ubunge wa Kilwa Kusini...
Huyu mdada huwa kimya muda mwingi lakini wengi wanafahamu nguvu alizo nazo kwenye himaya, na hufanya mambo mengi nyuma ya pazia, ila ameanza kujitokeza na tayari katupia mkwara mzito dhidi ya serikali ya Korea Kusini, akiwaonya dhidi ya kupokea watoro, na wakiendelea hivyo watapokea hatari hivi...
Hali ni mbaya sana Sudani Kusini kuhusiana na huu ugonjwa. Kama ilivyokuwa kwetu na kugongelewa vilivyo na Mh. Makonda: "Watu huko wanapukutika kweli kweli." Hii siyo siri ya kuficha tena.
Ndani ya mwezi mmoja tu hali iko hivi:
Horror as South Sudan Loses 35 Generals, Senior Officials in one...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.