kusimamia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi; Nini hatima ya Tanzania na Maamuzi ya Mahakama ya Rufani?

    Mahakama Kuu ya Tanzania ilisema SIO SAWA Wakurugenzi (ma-DED) Kusimamia Uchaguzi. Mahakama ya Rufani ikatengua Maamuzi hayo👆🏿, moja ya sababu ilikuwa kwamba Wakurugenzi huwa wanakula kiapo cha kukana vyama vyao vya Siasa, pia hoja ya kwamba wanateuliwa na Rais hivyo hawawezi kukosa upendeleo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika yaiagiza Tanzania kufanya marekebisho ya sheria inayowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia uchaguzi

    Kesi itakayotolewa uamuzi Leo ni kesi iliyofunguliwa na Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo vinaruhusu wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi, ikidiwa kuwa 'makada wa Chama Cha Mapinduzi'...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Imeshindikana vipi kuwapa tenda DP world au shirika lingine kuwa train kwa vitendo watanzania kusimamia bandari kwa miaka miwili kisha wao kuondoka?

    Wao wamefunzwa namna ya kusimamia bandari, hiyo knowledge yao imeshindikana kuihamisha kwa watanzania nasi tuweze kusimamia bandari yetu? Waletwe hapa wakae hata miaka miwili na kisha waondoke, pakitokea tatizo wawe wanakuja hata kwa wiki wanarudi kwao. Haya mambo kwa jinsi yalivyo kwa kujenga...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mwananchi communications kupitia gazeti la The Citizens wanavyoshindwa kusimamia maslahi ya nchi (national interests)

    Moja katika habari kubwa kwenye medani ya siasa za Kimataifa inayomhusisha Mtanzania ni habari ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson kuteuliwa kuwania Urais wa Umoja wa Mabunge ya Dunia (IPU) katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2023. Taarifa za...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mhe. Philip Mulugo asisitiza kiwepo Chombo huru Chenye Mamlaka ya kusimamia Elimu Tanzania

    Mbunge wa Jimbo la Songwe Mhe. Philip Mulugo akichangia kwenye makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2023/2924 iliyosomwa Bungeni na Mhe. Prof Adolf Mkenda "Awamu ya Sita toka tumepata Uhuru ukienda Vijijini tumepeleka fedha nyingi sana kwa...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Khamis Hamza - Fedha Zinatumika kwa Kusimamia Miongozo

    MHE. KHAMIS HAMZA KHAMIS - FEDHA ZINATUMIKA KWA KUSIMAMIA MIONGOZO Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Khamis Hamza Khamis (Mb) akiwa katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni yaliyoulizwa na Mhe. Zahor Mohamed Haji ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Mwera "Fedha za...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kusimamia mradi wa ufugaji

    Habari wakuu, Nina plan ya kuanzisha mradi wa kufuga nguruwe, mbuzi na kuku wa kienyeji, Niko dodoma, nahitaji kijana mwamininfu mwenye taaluma ya mifugo at least certificate level, awe mvumilivu (not too demanding) mwamininfu ambaye atakuwa anaishi hapo hapo, gharama za chakula na matibabu ya...
  8. Jeff

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Wakili/Mwanasheria aliyepo Mbeya Jiji kwa ajili ya kusimamia kesi yangu

    Habarini wana Great Thinkers, Natafuta wakili au mwanashetia aliyopo Mbeya. Nina mgogo wa ardhi/shamba ambao ulisikilizwa kwenye mahakama ya mwanzo na imetolewa hukumu. Sasa nahitaji kukataa rufaa mahakama kuu mjini Mbeya. Hivyo basi nahitaji wakili au mwanasheria aliyepo mjini Mbeya ili...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Samizi amshukuru Rais Samia kwa kuwapatia gari la kusimamia elimu Jimboni

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi ameishukuru Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia Jimbo lake la Muhambwe gari kwa ajili ya usimamizi wa maendeleo ya elimu ya sekondari. Gari hilo limeshakabidhiwa Jimboni tayali kwa usimamizi wa elimu...
  10. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Hongera Gerald Hando kwa kusimamia weledi kwenye kazi yako. Piga kazi watanzania tunakukubali

    NANDY HAWEZI KUMSHAWISHI BINTI YANGU - GERALD HANDO. Mjadala umeibuka kwenye #MsumariWaMoto kuhusu baadhi ya Wasanii kuoa au kuolewa kuonekana kupoteza ushawishi wao kwa Mashabiki Vijana, mfano mzuri 'The African Princess' Nandy. King Mende @geraldhando anaamini kitendo cha Nandy kuolewa na...
  11. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda, kiokoe Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kusimamia kauli yako

    Nakuandikia Waziri wangu wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda, Mnamo mwezi Disemba, 2022 wewe Mhe Waziri ulitoa kauli: Waziri Mkenda: Ajira ya Chuo Kikuu isiwe kuangalia GPA pekee lazima wapimwe, wafanye na usaili. Mimi ni mstaafu chamani na Serikalini. Pamoja na kwamba nami pia nimehitimu Chuo Kikuu...
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaisifu Tanzania kusimamia Uchumi kwa umahiri

    BENKI ya Dunia imeimwagia sifa Tanzania kwa usimamizi mzuri wa uchumi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayopata fedha kutoka kwenye taasisi hiyo ikilinganishwa na nchi nyingine nyingi za Afrika. Pongezi hizo zimetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayesimamia Kundi...
  13. comte

    JamiiForums Tanzania Bodi za Wadhamini za CHADEMA hazina Ufanisi katika Kusimamia Utendaji Kazi wa chama chao

    Katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inaitaka Bodi ya Wadhamini ya Chama kufanya mikutano isiyopungua mitatu kila mwaka. Hata hivyo, nilibaini kuwa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haikufanya mikutano yoyote katika mwaka huu wa fedha...
  14. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Uzalendo ni kusimamia maslahi ya Taifa

    Imefika wakati sasa, somo la uzalendo lifundishwe kwa undani zaidi ili kuweza kukomboa fikra za vijana. Vijana wengi leo hii wanadhani uzalendo ni kumtetea kiongozi wa nchi na ndio maana wanaanzisha hadi vyama vya kusifia. Tupate fursa ya kufahamu kuhusu uzalendo.
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tanzania kutoa misaada kwa nchi jirani ni kusimamia sera yake ya mambo ya nje

    Katika siku za karibuni tumeshuhudia Tanzania ikikabidhi "misaada" ya kibinadamu kwa nchi zilikumbwa na majanga ambazo ni Malawi ambayo ilikumbwa na kimbunga Freddy pamoja na Uturuki ambayo ilikumbwa na tetemeko kubwa la ardhi lililopelekea uharibifu mkubwa wa mali na mazingira. Nchini Malawi...
  16. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa TCU kusimamia elimu sasa kila mtu anajipa cheti cha PhD

    Jana, leo, watu wanajitangaza kupewa PhD. Bunge sasa limekuwa ni kama chuo cha kutafuta PhD. Yaonekana hata semina za ndani ya CCM hawapeani maonyo juu ya tabia mbaya. Kubwa zaidi ni udhaifu wa TCU. Yaani TCU wapo kwa ajili ya kusimamia udahili wa wanafunzi wa vyuo vikuu tu! Hawasimamii...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati wa Makamu wa Rais Mpango kuacha unyonge na kusimamia mikopo ya nchi?

    VP Mpango tuna kuhitaji kusimama na kumsaidia Raisi kwenye masuala ya mikopo ya nchi na wizara ya fedha badala ya kukaa kinyonge nyonge kila siku. Hauja chaguliwa kwasababu ya upole pekee lakini ni kwasababu ya uwezo wako mkubwa kwenye miradi na kujua fedha sasa hata kwenye miradi na mikutano...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Mpango, ataka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kusimamia ubora wa elimu inayotolewa chuoni hapo

    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimetakiwa kusimamia ubora wa elimu inayotolewa chuoni hapo ili kuhakikisha hadhi ya Chuo na elimu ya Tanzania kwa ujumla inalindwa. Hayo yamesemwa leo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Mpango wakati alipotembelea Chuo hicho...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Qatar ni taifa la kuigwa kwa kusimamia maadili na misingi ya nchi yao. Kwanini tusiwaige?

    Pamoja na mgao wa umeme, nafuatilia kombe la dunia, na moja kati ya vitu nilivyofurahishwa navyo, ni namna hawa wenyeji Quatar walivyosimama kidete kutetea utamaduni na mila za nchi yake. Hili ni jambo zuri na huenda katika vitu vilivyosababisha nchi hiyo kuwa juu sana kimaendeleo ni misingi...
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu: Hivi ni kweli Mkuu wa nchi anashindwa kusimamia na kuwajibisha watendaji wake au anafanya makusudi kuwalea?

    Mimi huwa si mpenzi sana wa kuanzisha mada kwenye jukwaa la siasa, maana huwa naona vurugu ni nyingi sana humu, watu huwa hawajadili kwa hoja, bali ni kujibu jibu tu arguements kwa vijembe kama mataahira flani hivi. Ila leo nimeshindwa kuvumilia, inabidi niulize. Hivi inawezekanaje mtu amepewa...
Back
Top Bottom