kusikiliza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr am 4 real PhD

    Huwa unakumbuka nini ukisikia au kusikiliza nyimbo za Judy Boucher

    Can't Be With You Tonight You Caught My Eye That Night We Met Dreaming of a Little Island Turn Back the Time Hizo hapo juu ni baadhi ya nyimbo za Judy Boucher zikipigwa nakumbuka Christmas 🎄 Moja udogoni udogoni baada ya kula pilau na kunywa soda Inachukuliwa Redio cassettes then zinawekwa...
  2. sanalii

    Kurekodi na kusikiliza mazungumzo na mpenzo wako kama wimbo

    Ni kipi chema kama upendo? Wakati nilipokua niko mbali na mwandani wangu, nilikua kila tukiongea narekodi mazungumzo, kisha nikikaa nasikikiza bas nafarijika sana. Unakua unahisi kama vile yuko karibu au mnaongea, now we are together, i am her and she is me.
  3. R

    Ni vipindi gani vizuri vya Radio na TV vya kusikiliza na kuangalia?

    Habari wakuu, Ni vipindi vp vizuri vya kusikiliza mbali na Story Book ya Wasafi?
  4. Replica

    Rais Samia ashauri umuhimu wa kusikiliza watangulizi lakini hailazimiki kufata matakwa yao. Akemea udikteta kwani hufupisha safari

    Rais Samia leo ameongelea ushauri ambao anaweza kuwapa wanawake viongozi wa sasa. Rais Samia amesema wasijikite kwenye misingi ya uongozi ya chuoni pekee. Ni muhimu kutambua na kujua lengo na ni muhimu kuwa mnyenyekevu ikiwemo kuwasikiliza watu zaidi na kuzungumza kidogo. Rais Samia kasema ni...
  5. adriz

    Wabongo wanakera sana tabia ya kusikiliza mpira redioni kibanda umiza wakati mechi inaendelea

    Moja kwa moja. Inakera sana unakuta upo kibanda umiza mnaangalia mechi mtu anaanza kushangilia goli kabla ya mpira kuingia wavuni au mtu anahadithia tukio la mbele kabla kutokea wakati mechi inaendelea. Watu wa namna hii nashinda kuwatafsiri kichwani mwao kupo vipi, natamani niwatandike makofi...
  6. madaili

    Kazi ya Kusikiliza Kiingereza Kisha Uandike Maneno (Transcribing)

    Nahitaji watu wanaoweza kusikiliza kiingereza kisha kuyaweka hayo maneno kwa maandishi. Kazi ipo kila wiki mara tatu, si zaidi ya dakika 20 kila mara. Ikizidi dakika 20 tutakuongezea mpunga. Mshahara wa kila mwezi ni 100,000 tshs (base salary). Kwa kila kazi inayozidi dakika 20 tunalipa 800...
  7. Mkurya romantic

    NYIMBO ZA KUSIKILIZA UKIWA NA MPENZI WAKO CHUMBANI

    Kabla ya kupitia hii thread hakikisha mpenzi wako ana umri kuanzia 18+ pia asiwe mtu kutoka kanda ya ziwa au mbeya maana hawa ndugu zangu nawafahamu vizuri 😂😂 ⚠️Hakikisha mpenzi wako wallau anakijua kiingereza hata cha kuombea maji cause mtaenjoy saana Okay nimeamua ku share playlist ya...
  8. M

    Kusikiliza nyimbo za injili(dini) wakati 'mnangonoka' kwa wanandoa na 'mnazini' kwa wasiooana ni jambo jema?

    Tena kuna wakati unasikia kabisa mtu anakandamizwa(anangonolewa) vilivyo na sauti ya kuulilia mkurudungu wa aliye kifuani kwake ukiisikia dirishani, ila hapo hapo tena unasikia playlists za gospel songs tupu zinaimba. Kwa mnaojua mna imani hii ni sawa?
  9. Ulamaa Abagangaji

    SoC02 Sio wote wanaoSIKIA wanaSIKILIZA, wengi wao wanaSIKILIZIA. Tujifunze kusikiliza ni fursa

    Habari wanajamvi na poleni kwa majukumu ya kujitafutia riziki ili kujenga nchi. Nawaombeni msome mwanzo hadi mwisho ili kuweza kunufaika na FURSA hii ya 'kusikiliza'. Nijikite kwenye mada moja kwa moja Sote tunafahamu kazi ya kiungo SIKIO ni kusikia,na ni miongoni mwa 'milango' ya fahamu ya...
  10. D

    Ndoa yavunjika kwa kusikiliza maneno ya mama mkwe, binti aanza kuhaha

    Nachelea kusema ukiona ndoa inaendeshwa na ushauri wa watu toka nje ya ndoa basi hiyo ndoa haina safari ndefu, itakufa kifo cha mende. Kuna rafiki yangu alioa miaka miwili imepita kwa harusi kubwa ya kifahari lakini ndoa yake imevunjika, khaaa!! Kwa ninachoweza kusema ile ndoa imevunjwa kwa...
  11. saidoo25

    Profesa Ndalichako heko kwa kazi unayofanya ya kuitisha mikutano ya kusikiliza kero za wastaafu

    Nimekuwa nikifuatilia utaratibu mzuri ulioanzishwa na Waziri, Profesa Joyce Ndalichako wa kusikiliza wastaafu alianza Dodoma na leo Dar es Salaam natumaini zoezi hili litafika ngazi ya wilaya ili kuweza kuwafikia wastaafu wengi ambao hawana mahali pa kusemea shida zao. Kongole sana Profesa...
  12. Quince de Junio

    Utambulisho wa mimi member mpya

    Habarini za humu jukwaani ndugu zangu. Mimi ni member mpya humu ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu kidogo humu jukwaani. Hope mtanikaribisha kwa bashasha tele ndugu zangu wenyeji wa humu. Pamoja na hayo naomba niwajuze kuwa mimi ni msanii wa kizazi kipya ninayechipukia hivyo siku chache...
  13. B

    Dkt. Samizi achanja mbuga kusikiliza kero za wananchi na kuhamasisha sensa jimboni

    DKT. SAMIZI ACHANJA MBUGA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI NA KUHAMASISHA SENSA JIMBONI. Leo imekuwa mwendelezo wa ziara ya Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe Dkt. Florence George Samizi ambaye ametembelea kwenye Stendi ya Halmashauri ya Kibondo na kuhamasisha Sensa ya watu na makazi...
  14. Pascal Mayalla

    Rais Samia: Ukinikuna Vizuri, mimi nakukuna huku nnakupapasa na kukupuliza. Lakini "Ukinipara...Nakuparura!

    Wanabodi Rais Samia ambaye ni Rais Mwanamke wa Kizanzibari mwenye lugha tamu laini na lafudhi ya Kizanzibari, yenye maneno na vineno, vitamu hadi raha kumsikiliza haku ukitamani asimalize kuzungumza. Leo kwenye maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa habari, Rais Samia katamka maneno haya...
  15. Amani ya Mungu

    Tumechoka kusikiliza VIITIKIO, tunataka UBETI kuanzia wa kwanza na kuendelea

    Closed
  16. sky soldier

    Kiingereza cha Watanzania wengi ni cha kuandika, kusoma na kuongea kwa kusoma maandishi. Tatizo ni kusikiliza, kuelewana na kuongea freely

    Kiingereza cha watanzania wengi kinawasaidia na kinaishia kwenye kuandika status, kuelewa kilichoandikwa kwa kiingereza mfano magazetini na pale kinapotumika kuongea kwa kufatiliza maneno ambayo yameshaandikwa kwa mpangilio kwamfano kutoa hotuba kwa kufatiliza speech iliyochapishwa kwenye...
  17. Nyendo

    Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana. Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya...
  18. Erythrocyte

    Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022

    Kama kawaida kesi hii yenye kuvutia mamilioni ya watu duniani inaendelea tena leo 14/01/2022, kila siku inapotajwa yanaibuka mambo mapya yenye utata mkubwa, ya miamala umeyasikia, sasa hatujui leo kutaibuka jambo gani. Peter Kibatala na timu yake wapo tayari. ======= Kufahamu ilipoishia...
  19. Doctor Mama Amon

    Maono ya Papa Francis Katika Sinodi ya Maaskofu Katoliki 2021-2023 ni Kuhusu Umuhimu wa Kukutana, Kusikiliza Na Kung'amua

    Papa Francis, Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis, katika mahubiri yake mwanzoni kabisa mwa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu mnamo Oktoba 10 2021, Mjini Roma, Vatican, alikazia mambo makuu matatu mintarafu Liturujia ya Neno la Mungu: Kukutana, Kusikiliza na Kung’amua. Katika Dominika...
  20. Rebeca 83

    Hongera Rais Samia kwa kusikiliza maoni yetu wanaJF

    Habari wakuu. Nimeona huko kwa Millard Ayo, hela zimetengwa kujenga upya Kariakoo ambayo ita accommodate wafanya biashara 2000! ...hii tulishauri hapa kulivyokua na discussion za kuhamisha wamachinga. .Kariakoo ni mjini, kituo cha biashara mama Samia ametambua ni vizuri pajengwe vizuri, pawe...
Back
Top Bottom