Ubunifu: Njia ya rahisi ya kuhamisha watu kushiriki zoezi la sensa ilikuwa ni kupitia ushabiki wa vilabu vya Simba na Yanga

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Serikali ikitaka isitumie resources nyingi katika kuhamasisha watu washiriki zoezi la sensa, njia rahisi ilikuwa ni kuchomekea swali: mtu anaehssabiwa aseme kama yeye ni Yanga au Simba.

Japo hilo swali sio lengo la sensa, lakini kupitia swali hilo, lengo la sensa lingefanikiwa zaidi- the end justifies the means.

Ni sawa na CCM kumtumia Diamond kupata watu kwenye mikutano yao ya kampeni enzi za Mwendazake.
 
Acha kuwaza ujinga

Sensa inauliza maswali 100

Yenye maana kamili

Pia wajinga ndo wanafatilia Mambo ya kijinga Simba na Yanga
 
Back
Top Bottom