Kenya 2022 Raila Odinga agoma kushiriki hafla ya IEBC kutangaza matokeo ya Urais kabla hajayaona na kujiridhisha

Kenya 2022 General Election

Nobunaga

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
1,169
4,985
Raila Odinga kwa sasa ndiye anasubiriwa kwenye ukumbi wa IEBC yatakapotangazwa matokeo ya mshindi wa Urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu.

Ikiwa Mgombea wa Kenya Kwanza Coalition, Willium Ruto ameshawasili zaidi ya saa moja iliyopita, hali ni tofauti kwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga ambaye wakala wake mkuu ameongea na vyombo vya habari kwamba Raila Odinga hatafika ukumbini hapo mpaka pale watakaporuhusiwa kuyaona matokeo na kujiridhisha kama yapo sawa ama laah.

IMG_20220815_164459.jpg

IMG_20220815_164628.jpg

Nilisema toka mwanzo raila alijichanganya toka march handshake

Ruto na Uhuru hawakukutana semina
 
Sasa si akasikilize alichovuna, apokee kwanza matokeo kama hayako sawa ndio aanze mchakato wa kupinga ndio matokeo yalivyo, mbona ni matokeo ya kawaida ingekuwa HIV si anamuachia daktari karatasi lake
 
Hongera kwa Ruto, nilikuwa namkubali sana huyu bwana, na nilitamani saana awe rais, hongera kwake na Mungu ambariki
 
Ashashindwa Mchawi yule, hawezi kuwa Rais wa Kenya katika Ulimwengu huu. Wako wajinga wa Chadema walikuwa wanamuunga mkono ndio wajue nao hesabu zao ni Mbovu
 
Mungu wa mbinguni ndiye huwaweka wakuu wa Dunia hii kwa kutimiza kusudi lake wakiws wema au wabaya! Taifa likimwasi Mungu hupata watawala wabaya Kama adhabu kwa Taifa Hilo. Taifa likimcha Mungu hupata watawala wema Kama baraka kutoka kwa Mungu! Na wote hao wanastahili kuombewa!!
 
Acha woga
 
Ashashindwa Mchawi yule, hawezi kuwa Rais wa Kenya katika Ulimwengu huu. Wako wajinga wa Chadema walikuwa wanamuunga mkono ndio wajue nao hesabu zao ni Mbovu
Kumbe magufuli alikuwa chadema pia? Raila ni mccm mwenzenu faken hell
 
Ashashindwa Mchawi yule, hawezi kuwa Rais wa Kenya katika Ulimwengu huu. Wako wajinga wa Chadema walikuwa wanamuunga mkono ndio wajue nao hesabu zao ni Mbovu

..Chadema walikosana na Odinga alipoamua kufumbia macho UKATILI wa Magufuli.
 
Back
Top Bottom