kushika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yaanza kutumia 'soft power' yake kuzuia moto wa kukataa ushoga kushika kasi Afrika

    Baada ya Vladmir Putin kutangaza kuwa Taifa hilo linapinga ndoa za jinsia moja, ilipelekea watu wengi sana wa dunia ya tatu kumuunga mkono licha ya udhalimu wake wa kupeleka majeshi Ukraine kuivamia ardhi ya nchi hiyo ili kupora baadhi ya maeneo. Uungwaji mkono huu wa Vladmir Putin kutoka kwa...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwa sura nazoziona hapa (CHADEMA) hamna dhamira ya kushika dola 2025, mnajua mama yupo

    Rais Samia akiwa katika Maadhimisho amezungumza mambo mbalimbali. Akiwa anajibu hoja ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAWACHA kuhusu nia yao ya kushika dola 2025 Rais Samia amesema: "Ndugu zangu siasa ni mchezo wa kulumbana kwa hoja Wote tukiwa na lengo la kushika dola kama alivyosema...
  3. President of China

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushika mpini shambani

    UTANGULIZI Kwetu hapa Tanzania kilimo ni uti wa mgongo. Hata duniani kote watu wanategemea mazao yatokanayo na kilimo. Kwetu hapa Tanzania tumekuwa na kilimo cha jembe la mkono kwa muda mrefu sana. Zamani wazazi wetu walikuwa wakiwafundisha vijana wao namna iliyo bora ya kushika mpini wakati...
  4. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Rekodi mbalimbali za Mawaziri Wakuu wa Tanzania

    Leo tujikumbushe kwenye historia ya nchi yetu tangu tulipoungana na wenzetu wa Zanzibar mwaka 1964. 1. Ni watu wawili tu wamewahi kushika madaraka hayo zaidi ya mara moja ambao ni Edward Sokoine na Cleopa Msuya Edward Sokoine akishika madaraka hayo mwaka 1977 mpaka 1980. Kwa mara pili...
  5. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ya mafanikio ya ghafla kwa wafanyabiashara ya kuuza smartphones?

    Wengi huwa ni vijana wadogo tu wapo kwenye 20s hasa wahitimu wa degree na diploma. ni tabaka tofauti na wauza simu wengine, wao hujitofautisha kwa kuuza simu zenye brand zinazotrend ulaya na marekani tu kama iphone, samsung na google pixel... Simu za kichina na vitochi hawauzi. Simu hizo bei...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tuna dhamira ya kushika dola 2025

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema chama hicho kitahakikisha kinaimarisha majimbo yote ya Tanzania na Zanzibar ili kufikia dhamira ya kuiondoa CCM madarakani katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. “Tuna dhamira ya kushika dola mwaka 2025, kutokana na...
  7. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Baada ya sakata la mabehewa kushika kasi, kipi kinakuja kufuta hili fukuto?

    Tumezoea kuona jambo gumu linapowakabili viongozi wetu, huwa kunatokea jambo lingine la kufuta sintofahamu iliyopo na watu kuhamia kwingine. Unafikiri ni jambo gani au kituko gani kitaletwa kufuta fukuto hili la mabehewa?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuisema nchi yako kwenye majukwaa ya kimataifa kunaweza kumsaidia mtu kushika dola?

    Hii tabia ya kuivua nguo nchi yako kwenye MAJUKWAA ya kimataifa inasaidia kivipi kushika DOLA kwa mtu, hapa afrika Kila mpinzani aliwaunda serikali alitumia MAJUKWAA ya kimataifa KUISEMA vibaya nchi yake huko nje? Kwa upumbavu huu wakutokujali hadhi na heshima ya Taifa lako. Ni Bora CCM...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kusema lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka ni kupotosha

    Kumekuwa na haka kamsemo ka kizembe kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Huu ni upotoshaji. kwanza chama cha siasa ni kitu gani? chama cha siasa ni umoja wa watu wenye mawazo(Sera) zinazofanana juu ya kuendesha nchi. Mwanachama wa chama cha siasa lengo lake kuu ni kuona sera...
  10. NetMaster

    JamiiForums Tanzania THE POWER GAME: Ni ukanda upi hapa Tanzania wanaongoza kwa uwezo mkubwa wa kucontroll power?

    The power Game, Anaeweza kushika madaraka ndie yupo juu zaidi, Mfano kwa Nigeria kanda ya kaskazini wapo nyuma kielimu na kibiashara lakini linapokuja suala la Power wao ndio wameikamta na kuweza kuitumia kuwa juu ya kanda ya kusini mashariki walioshika biashara za nchi na kanda ya kusini...
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuleni kilichopo mezani, CCM haiwezi kuwatengenezea njia ya ninyi kushika Dola!

    Nasikia huko Zanzibar kimeumana! Sijajua Othman Masoud na Rais Mwinyi kama wanatazamana usoni kwa sasa. Masoud anaonekana ni mtata sana hata akiwa ofisini sijajua anamshauri vipi Rais Mwinyi. Kilichopo kwa ACT wamshukuru Maalim Seif kwa heshima yake suk imekuwepo. Hiyo haimaanishi CCM...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani anzieni hapa kuelekea kushika dola 2025+

    Kutokana na uhalisia wa kwamba Chama.Cha Mapinduzi kujikita kwenye siasa zenye malengo ya kuimaliza nchi ishindwe kuwa na uwezo wa kupata maendeleo ya kweli. Nimewaza sasa kutoa ushauri kwa vyama vya siasa hususani vya upinzani kuwapa mbinu za kufikia kutwaa dola kwenye chaguzi zijazo za...
  13. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Kushika Nafasi ya 7 Mashindano ya Dunia ni Ushindi Kwetu.

    Mwanariadha Gabriel Gerald Geay Ametutoa kimasomasokwa kushika nafasi ya 7 kwa muda wa saa mbili dakika Saba na Sekunde thelathini na moja (2:07:31) katika Mashindano ya Dunia ya Riadha, yaliyofanyika Oregon nchini Marekani tarehe 17 Julai 2022 Jumapili iliyopita. Kwa upande wa Mwanariadha...
  14. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Wanawake tuache kushika simu za waume zetu

    Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia. Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana! Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua.
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji 14 waliokuwa wakizamia kwenda Ulaya wafariki baada ya boti kushika moto Senegal

    Wahamiaji 14 wamefariki Dunia baada ya boti waliyokuwa wakiitumia kushika moto katika Jimbo la Kasamance Nchini Senegal. Safari yao ilikuwa ni kuelekea Ulaya kupitia Visiwa vya Kanari vya Hispania. Meya wa Mji wa Kafountine jimboni hapo, David Diatta amesema wamefanikiwa kupata mili 14 baada...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Je, unasumbuliwa na tatizo la kushika ujauzito?

    Habari wana jamvi... Kuna sababu nyingi zinazopelekea mwanamke kutoshika mimba ikiwemo.. Uvimbe kwenye mirija ya uzazi Homone imbalance Magonjwa kwenye mfumo wa uzazi n.k Kuna dawa itakusaidia wewe mwenye tatizo la kushika mimba ukitumia dawa matokeo utayaona ndani ya mwezi mmoja.. Itakusaidia...
  17. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Ni siku zipi mwanamke anashika Mimba baada ya kutoka hedhi?

    Naomba kujua ni siku zipi mwanamke anaweza kushika mimba baada ya kutoka kwenye siku zake za hatari?
  18. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusogeza kitu bila kushika

    ninatamani sana kuweza kufanya hili jambo maana kuna video ya megician mmoja anasogeza vitu bila kushika nani atanisaidia Bado na search tutorial youtube
  19. FOX21

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kushika ujauzito baada ya kujifungua (kipindi cha kunyonyesha)?

    Kweli wanawake wengi wanadhani kuwa hawawezi kupata ujauzito kipindi wananyonyesha hasa kutokana na kutopata hedhi au kupata hedhi kidogo katika miezi ya awali tangu wajifungue. Kitabibu ni sahihi kunyonyesha na ni mojawapo ya njia ya asili ya uzazi wa mpango ambayo watu wenye imani za kidini...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania List ya Mirabaha ni kama orodha ya wauzaji wakubwa mitaa ya uswazi, si ajabu vitumbua vya mama chiku kuuzwa vingi kuliko bidhaa za azam / bakresa

    Taasisi ya Haki Miliki Tanzania COSOTA imetoa orodha ya Wasanii 21 wa Tanzania ambao wameongoza kwa kupata pesa nyingi za mirabaha kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye Radio na TV. 21. Ray C 20. Lady Jaydee 19. Abby Chamz 18. Luludiva 17. Mwasiti 16. Linah...
Back
Top Bottom