brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 248
- 143
Naomba kujua ni siku zipi mwanamke anaweza kushika mimba baada ya kutoka kwenye siku zake za hatari?
Kijana wewe endelea kuchakata mbususu tuu. Masuala ya mimba utajuana nauo mbeleni huko ikiingiaNaomba kujua ni siku zipi mwanamke anaweza kushika mimba baada ya kutoka kwenye siku zake za hatari?
Chati ya kwanza ipo vizuri zaidi. Hiyo siku ya 14 inauwezekano wakupata mtoto wa kiumeCheki hio table View attachment 2249711View attachment 2249712