kurejea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Congo DR yatangaza Ebola kurejea tena nchini humo

    Wiki moja baada ya kufanya uchunguzi wa chanzo cha kifo cha mwanamke aliyefariki katika mji wa Beni, Serikali nchini humo imetangaza kurejea tena kwa ugonjwa huo hatari katika jimbo la Kivu Kaskazini. Taarifa hii inakuja ikiwa ni mwezi mmoja tangu ilipotangazwa kumalizika rasmi kwa ugonjwa huo...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Bernard Morrison kurudi Yanga, kuna mvutano mkali unaendelea!

    Jana hata kabla ya Simba kutoa taarifa kuhusu kumsimamisha Bernard Morrison nilieleza kuwa mchezaji huyo amesimamishwa kwa sababu ya utovu wa nidhamu kwa kile kilichodaiwa kuwa alitoroka kambini. Baadaye Morrison akapost kwenye pages zake kuwa kuna kitu kikubwa kinakuja akiwa ameweka picha...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Shanghai (China) wahofia lockdown baada ya Covid kurejea kwa kasi

    Mamilioni ya wakazi wa Shanghai Nchini China wamefanyiwa vipimo vya UVIKO-19 kutokana na kusambaa kwa Virusi vya Omicron na ikiwa maambukizi yatakuwa mengi kuna uwezekano wa kutolewa amri ya kutotoka nje bila sababu za msingi. Mkakati wa China ni kuhakikisha hakuna maambukizi kabisa, baadhi ya...
  4. 5

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Ukraine: Wanajeshi wa Urusi wagoma kurejea vitani Ukraine

    Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wanakataa kurejea kupigana nchini Ukraine kwa sababu ya uzoefu walioupata wakiwa mstari wa mbele mwanzoni mwa uvamizi huo. Hii ni kwa mujibu wa wanasheria na wanaharakati wa haki za binadamu wa Urusi. BBC imezungumza na mmoja wa askari mmoja hao. "Sitaki kurejea...
  5. Poker

    JamiiForums Tanzania Profesa Jay aruhusiwa kurejea nyumbani!

    Hali ya ex MP imekuwa shwari kama bahari ya hindi! Alipatiwa matibabu kwa siku 127 na sasa yupo Gado. Waliokuwa wanamuombea mabaya salamu ziwafikie huko walipo! Picha: Moja ya pozi la Joseph Haule kipindi akiwa na afya tele === Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema kuwa msanii Joseph Haule...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

    Hali iko hivyo, tunaelekea kule 7kule tulipotoka, sasa ni rasmi twiga wetu wataanza kupandishwa ndege tena kwenda Ughaibuni. _______________ Wafanyabishara sasa huru kusafirisha wanyama Pori kutoka Tanzania Marufuku hiyo imeondolewa kwa muda wa miezi sita ambapo wafanyabiashara watakuwa...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rais Biden aidhinisha majeshi ya Marekani kurejea Somalia

    Rais wa Marekani Joe Biden amrudhia ombi la Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin lq kuidhinisha kurejeshwa kwa wanajeshi wa Marekani nchini Somalia kupambana na Al Shabab na kubatilisha uamuzi wa mtangulizi wake Donald Trump mwaka jana wa kuondoa karibu vikosi vyote vilivyokuwa huko. Kabla ya Trump...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni. Kipaumbele itakuwa kupambania Katiba mpya na mikutano ya siasa ya hadhara.

    Chadema kaeni mkao wa kula maana sasa mpambano kwa ajili ya katiba mpya na mikutano ya hadhara umeiva. Lissu sio wa mchezo linapokuja suala la haki za wananchi 👇Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bondia Floyd Mayweather kurejea ulingoni Mei 14, 2022

    Bondia mstaafu Floyd Mayweather anatarajiwa kurejeaulingoni kwa kupigana na Don Moore katika pambano la raundi nane la maonyesho ambalo litafanyika Mei 14, 2022, Dubai. Mayweather atapigana na mpinzani huyo ambaye alishinda mapambano ya kulipwa 18 kati ya 19 aliyocheza alipokuwa akipigana...
  10. Stroke

    JamiiForums Tanzania Wamarekani Wenye Asili ya Afrika waamua kurejea Nyumbani hasa hasa Tanzania

    Tanzania imefanikiwa kupokea baadhi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika ambao baada ya miongo kadhaa ya kuishi huko wameona warejee kwenye asili yao na kuichagua Tanzania kama sehemu watayoita nyumbani. Hii ni fursa adhimu kwa Tanzania kuendelea kuboresha huduma mbali mbali ili kuendelea kuwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tundu Lissu kurejea nchini na atafanya mikutano nchi nzima, wanachama waombwa kuchangia chama!

    Mjumbe wa kamati kuu na Katibu wa BAWACHA mkoani Mwanza amesema wanamtarajia Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni na kwamba pamoja na kuendesha kikao cha Baraza kuu pia atafanya mikutano nchi nzima. Katibu huyo amewaomba wanachama wa CHADEMA kuchangia chama ili kukiwezesha kutekeleza...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Haya mambo mbona yanachanganya, ina maana Tundu Lissu anarejea Tanzania hivi karibuni?

    Hebu wote tuangalie video hii halafu tutafakari, sitaki kuongeza maneno nisije nikaharibu. Mungu Ibariki Chadema.
  13. May Day

    JamiiForums Tanzania Kurejea kwa 'Bongo Muvi' kupitia tamthilia, waandaaji wamejifunza au watarudi kule kule?

    Kwa muda sasa ni kama nimegundua kuibuka upywa kwa ushabiki wa kazi za nyumbani haswa kupitia tamthiliya mbali mbali kwenye TV. Ni Muda mrefu sana sijaona Watu wamekaa kuangalia Kazi za nyumbani kama ninavyoshuhudia sasa maeneo mbalimbali, kuanzia majumbani hadi kwenye mabaa huko mitaani...
  14. lwambof07

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kujiuliza kurejea kwa Triple C Msimbazi

    Kuna maswali mengi sana watu wanajiuliza mimi nikiwemo mmoja wapo kurejea kwa Chama SSC ndani ya mda mfupi; Je, Chama atakuwa bora kama kipindi kile? Kwa nini amerejea ndani ya kipindi kifupi? Huko alipoenda alikuwa hapati namba? Je, kiwango kimeshuka? SSC imeshindwa kabisa kupata mbadala wake...
  15. Peter Stephano 809

    JamiiForums Tanzania Muda umewadia kwa waliojifungua kurejea masomoni

    Baada ya kilio cha muda mrefu kuhusu Wanafunzi wa kike kufukuzwa masomoni pindi wanapopata ujauzito hatimae serikali imeridhia kuwarudisha masomoni. Katika walaka uliotolewa mwezi Novemba mwaka 2021 na aliyekuwa Waziri wa elimu Professa Joyce Ndalichako ukibainisha kuwa wanafunzi wote walio...
  16. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania LHRC yaikumbusha Serikali kurejea Mahakama ya Afrika

    Kituo cha sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimekumbusha Serikali ya Tanzania kubadili uamuzi wake wa kujitoa katika Mahakama ya Afrika na kurejea kwenye Mahakama hiyo ili kuimarisha heshima ya Taifa katika uwanda na kikanda. Novemba 21, 2019 Serikali ya Tanzania ilifanya uamuzi wa kujitoa...
  17. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Speaker akerwa na mwendo wa kurudisha makao makuu dar kwa viongozi kurejea dar kila mara

    Mwendo wa kurudisha shughuli za makao makuu dar umeonekana mara baada ya kuaga dunia magufuli na mama samia kua rais. Swala la kuhamia dodoma limekua gumu kwa miaka zaidi ya arobaini hadi alipoingia magufuli. Kitendo cha rais samia kuonekana kwa kupenda au kushauriwa kufanya shughuli za...
  18. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Dkt. Leonard Akwilipo: Wanafunzi waliopata mimba Tanzania kurejea masomoni kupitia vyuo vya maendeleo ya wananchi

    Serikali ya Tanzania imetangaza kuwaruhusu wanafunzi waliokatiza masomo yao kwa kwasababu ya kupata mimba kurejea masomoni kupitia vyuo vya maendeleo ya wananchi. Akizungumza na wakuu wa vyuo vya maendeleo ya wananchi nchini humo, Katibu mkuu wa wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia , Dk...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Madiwani na wabunge walioacha nafasi zao na kurejea CCM walilipwa mafao kamili kwa kodi za Serikali?

    Lipo zoezi lililoendeshwa na Dkt. Bashiru na Polepole kwa udhamini wa mwenyekiti lililopewa jina la kuunga juhudi mkono. Zoezi lile lilijaa uhalifu ikiwemo matumizi ya vitisho kwa waliokataa kuunga juhudi mkono. Moja ya zawadi waliyopewa wale waliounga mkono juhudi ilikuwa ni kuakikishiwa...
  20. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dawa za kulevya kurejea kwa kasi? Watanzania 2 wakamatwa na Cocaine kilo 2 tumboni Uwanja wa ndege wa Mumbai

    Kwa masikitiko makubwa naangalia jinsi wasafirishaji wa Madawa ya kulevya wameona kuwa huu ni muda muafaka kuanza biashara yao haramu. Baada ya lile tukio la kukamatwa kwa kiwango kikubwa zaidi ya tano moja kule lindi ambapo ukisoma muendelezo wake kwenye magazeti utaona hati ya mashtaka...
Back
Top Bottom