kurejea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. safuher

    JamiiForums Tanzania Ndugu Lissu, ukitaka kurejea nchini rejea; usiweke masharti haina maana

    Habarini za jioni, Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mara kadhaa nimeona katika mitandao Ndugu yetu,kaka yetu Lissu akizungumza kuwa atarudi Tanzania endapo jambo fulani na fulani litafanyika. Hii sio sawa kwa sababu zifuatazo: Kusema kuwa mukitaka nirudi basi mufanye...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Lissu: Nitarejea Tanzania endapo yafuatayo yatafanyika

    Dar es Salaam. Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameomba kuhakikishiwa mambo sita ili aweze kuanza safari ya kurejea nchini akitokea Ubelgiji anakoishi tangu Januari mwaka 2018. Lissu, aliyepelekwa kwa matibabu nchini Ubelgiji Januari 2018 baada ya kushambuliwa kwa risasi akitokea...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo waweza kurejea rasmi hivi karibuni

    Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ambao wafuasi wa Chama cha Lumumba walidai ni wa kinyonyaji unatarajiwa kurejea rasmi. Sasa Bagamoyo kuwa kama Dubai. ======== Discussions are ongoing to get the China-backed US$10 billion Bagamoyo Port project in Tanzania, which was “suspended indefinitely” by...
Back
Top Bottom