Bondia Floyd Mayweather kurejea ulingoni Mei 14, 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Mayweather.jpg
Bondia mstaafu Floyd Mayweather anatarajiwa kurejeaulingoni kwa kupigana na Don Moore katika pambano la raundi nane la maonyesho ambalo litafanyika Mei 14, 2022, Dubai.

Mayweather atapigana na mpinzani huyo ambaye alishinda mapambano ya kulipwa 18 kati ya 19 aliyocheza alipokuwa akipigana.

Mara ya mwisho kwa Moore kupanda ulingoni ilikuwa mwaka 2018 wakati Mayweather alistaafu mwaka 2017, pambano lake la mwisho ikiwa ni dhidi ya Conor McGregor.

Source: Mirror
 
Huyu Maywether kula yake, uchumi wa maisha yake %kubwa inategemea ngumi
Aliposema ana staafu, wenye uwezo mkubwa hatukulitiilia maanani,
Lilikua swala la muda tu kurudi kwenye ring
 
Huyu Maywether kula yake, uchumi wa maisha yake %kubwa inategemea ngumi
Aliposema ana staafu, wenye uwezo mkubwa hatukulitiilia maanani,
Lilikua swala la muda tu kurudi kwenye ring
Ila ni kama pambano la maonyesho, ni kama bonanza tu, labda iwe sikuelewa vizuri.
 
Huyu Maywether kula yake, uchumi wa maisha yake %kubwa inategemea ngumi
Aliposema ana staafu, wenye uwezo mkubwa hatukulitiilia maanani,
Lilikua swala la muda tu kurudi kwenye ring
Eti Kula yake, Kuwa kwwnye ndondi lazima upigane. Wenzetu wanainvest kwwnye vitu vingi si kiutegemea kitu kimoja. Usitegemme Leo Ronaldo akistaaafu atapta shida. Ushaambiwa hilo ni pambano la maonyesho tu, jpo Lina hela LKn Bado hajarud kwwnye ndondi za ushindan
 
Back
Top Bottom